Kila Kipindi Anachofanya Anapiga Bhalaa Bhalaa Ingawa Watanzania Siyo WajingaKabisa halafu anaona wana nchi wote hawajui anacho kisema.
Kuna hoja hapo au kuna kioja?Sasa simjibu hoja zake kwanza au mnasubiri reforms kumjibu Kafulila?
Hija ijibiwe Kwa hojaView attachment 3386333
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.
Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.
Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Huyu naye sijui kama anajua analoongea fala huyu. Kwani tunashindana na Ulaya? Kama tunashindana tangu lini huyu Kafulila amekuwa judge?View attachment 3386333
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.
Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.
Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Msimshangae kwani huko TBC alikoibukia ndiko kwenye jiko la kupika uongo.View attachment 3386333
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.
Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.
Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Bandari ya Dar inaendeshwa kwa PPP kati ya TPA na DP World.Kafulila ni Chawa Pro- Max, mtu hovyo kabisa, muha akishiba anakuwa empty minded..! Tafuteni mradi hata mmoja tu wa PPP ambao umekamilika tangu Kafulila ateuliwe katika nafasi hiyo.
Kafulila amejisahau, amebakia kusifia sifia tu kila kukicha, na mashaka sana kama anajua majukumu yake vema, huyu amekua msanii sana, na ipo siku Mh. Rais atamshtukia na kumtimua haraka sana, sbb amebakia kusifia sifia tu katika mitandao na vyombo vya bahari na yeye na Mkurugenzi wa PPP sio kazi yake hiyo kusifia sifia tu badala ya kuvutia wawekezaji na kuonyesha miradi iliyomalizika kwa PPP na inayoendelea kwa PPP, sio kila kukicha kisifia sifia kama kaajiriwa kufanya hivyo.
Uzuri ni kwamba Watanzania hata kwenye kutoa maoni na hata maono huwa tunaangalia chama kwanza!Cha Chuga kina hadhi labda kuber
Ukushakuwa chawa hata kama umesoma unaonekana useless.View attachment 3386333
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.
Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.
Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Deleted01 😅Wakuu hivi huwa mnawezaje kuacha shughuli zenu na kuwasikiliza watu Wapumbavu kama Hawa!?
Unajua kumtegea sikio mtu Mjinga nacho ni kipaji !
Yakweli haya?????