CCM YA KIJANI
Member
- Jun 26, 2025
- 27
- 1
ManzeseUlaya ni wapi?
ManzeseUlaya ni wapi?
Thubutu,kafulila anaongea ukweli mtupu gentleman,
na ukweli ni mchungu 🐒
Ulaya hiyo hiyoUlaya ni wapi?
Hata wewe ?Thubutu,
Hakuna chawa mkweli
Hoja ni nani anaeongea hayo manenoView attachment 3386333
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.
Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.
Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Kuna ukweli wowote?View attachment 3386333

Asifie za Ulaya, atakuwa haipendi na hiyo kazi yenyewe, kitengo chake hicho, kinamtaka akae akilambalamba miguu ya aliyemteua
Tanzania vipofu ni wengi sana, mtu anaweza asipewe hongo tu ya kofia, baiskeli n.k ili apige kura, lakini pia anaweza kuhongwa cheyo ili awe mlamba miguu ya amhongaye cheyo!
Hovyo kabisa
Ni Kafilila huyu ni mjuae ..alinyang'anywa Ubunge akahongwaa cheo..ama kweli penye udhia penyeza rupiahView attachment 3386333
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.
Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.
Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Alie muita tumbili hakukoseaHivi viongozi wetu wakikaa pekeyao wanafikiriaga nini? wakijisikiliza wanacho kisema wanajifikiriaje jamani?! inaumiza sana kwakweli.
TUMBILI ALIYE BORA KATIKA MSITU.View attachment 3386333
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.
Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.
Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
TANGU LINI TUMBIRI AKAWA NA AKILIView attachment 3386333

🤣🤣
Aibu