David Kafulila: Ubora wa Treni ya SGR ya Tanzania unazidi treni nyingi za Ulaya

9F5D8D02-F067-4100-AFCA-3AD2D2FA010A.jpeg
 
View attachment 3386333

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,

Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.

Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.

Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Ulaya Sio mbinguni. Fikra mgando kama hizo ni changamoto kwa maendeleo ya Taifa
 
View attachment 3386333

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,

Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.

Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.

Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Sawa
 
Points ni nyingi
 
View attachment 3386333 Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC, Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni. Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke. Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,

Treni yetu tumeidizaini wenyewe na kuitengeneza wenyewe kulingana na mazingira ya nchi yetu, hatukuiagiza kama walivyofanya wenzetu.
 
View attachment 3386333

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,

Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.

Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.

Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Tumbili oyeeeee,Tumbili saaaafiiiiii Hongera sana Tumbili kafulila yaani mtu unakuwa chawa hadi Akili zinaisha kichwani.kuna watu kama akina kafulila kama Reforms zinafanyika wanatakiwa kupigwa stop kufanya siasa maisha yao yote.
 
View attachment 3386333

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,

Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.

Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.

Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
hivi kafulila aliwahi kutembea nchi gani ya ulaya?
 
Back
Top Bottom