MWANZA: Ni mjadala mkali hapa Prof. Mukandara pale David Kafulila, Jumamosi 26|07|2025

MWANZA: Ni mjadala mkali hapa Prof. Mukandara pale David Kafulila, Jumamosi 26|07|2025

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,157
Reaction score
5,451

IMG-20250723-WA0198.jpg


==
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa.
==
Mwanza mmebahatika msikosee,
 
Eneo jirani na daraja la Busisi kwa nini isiwe satellite town ikapimwa na kupangwa vizuri? Billions zimelala pale si vyema ikawa skwata.

Kwa nini mwanza haina public beaches?
 
Eneo jirani na daraja la Busisi kwa nini isiwe satellite town ikapimwa na kupangwa vizuri? Billions zimelala pale si vyema ikawa skwata.

Kwa nini mwanza haina public beaches?
nitakuwepo aise
 
nitakuwepo aise
Kabisa, njia mojawapo ya kurejesha bilioni 700 ni kulipanga na kulipima eneo la Kigongo Busisi itengenezwe Capri point ndogo au kubwa. Hotels, Industrial parks, residence kali kuanzia Usagara-Nyegezi-kuelekea Sengerema.
 
Back
Top Bottom