Doubleclick
JF-Expert Member
- Apr 26, 2024
- 274
- 123
SureDira ya taifa ipo, mikoa zinaivsinjavunja kivipi ili mtu ajue mkoa utakuwaje 2050,wilaya itakuwaje 2050,kata, mtaa?
SureDira ya taifa ipo, mikoa zinaivsinjavunja kivipi ili mtu ajue mkoa utakuwaje 2050,wilaya itakuwaje 2050,kata, mtaa?
Prof VS DalaliView attachment 3417376
View attachment 3418139
==
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa.
==
Mwanza mmebahatika msikosee,
View attachment 3418612