MWANZA: Ni mjadala mkali hapa Prof. Mukandara pale David Kafulila, Jumamosi 26|07|2025

Hii fursa sio ya kuikosa Kwa mtu yoyote mwenye afya na malengo makubwa ya Maisha kesho,,

Serikali imefanya kila Kitu kazi kwenu Wananchi wa Mwanza,

Hii ni bila Malipo,
 
View attachment 3417376
View attachment 3418139

Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo.

Mwanza mmebahatika msikosee,

Hao si ni wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm? Kesho kuna mkutano mkuu wa mabadiliko ya katiba. Watashirki vipi vikao viwili tofauti. Au wameshajua ni mabadiliko ya kihuni hivyo hawana muda wa kufuatilia?
 
Kabisa, njia mojawapo ya kurejesha bilioni 700 ni kulipanga na kulipima eneo la Kigongo Busisi itengenezwe Capri point ndogo au kubwa. Hotels, Industrial parks, residence kali kuanzia Usagara-Nyegezi-kuelekea Sengerema.
Ngoja tuone
 
Utakuwa Kafulila mwenyewe unajipigia demu.hainingii akilini kuwa Kafulila ana chawa wake hapa jamii forum.
 
tvs pia zitaonesha
Nitafuatilia kupitia Tv. Naamini Watanzania wote watafuatilia kwa ukaribu sana na hakuna atakayejuta kutumia muda wake kufuatilia mjadala huo. hasa kwa kuzingatia uwezo mkubwa na kipaji cha kipekee alichonacho Mheshimiwa Kafulila katika Ujenzi wa Hoja.
 
Utakuwa Kafulila mwenyewe unajipigia demu.hainingii akilini kuwa Kafulila ana chawa wake hapa jamii forum.
Wivu tu ndio unaokusumbua. Mkisikia jina La Mheshimiwa Kafulila Ma CHADEMA mnaanza kupata homa na kutetemeka kama wogonjwa. Maana mnajua kuwa hamumuwezi kwa hoja . Kwa sababu ninyi ni zero au waweza kusema sifuri kichwani mwenu.
 
Natamani Kafulila apate mbabe wake kwenye hoja
Kafulila ni Mwamba kwelikweli katika kujenga hoja. Ndio sababu upinzani wanamuogopa sana na kuliogopa sana jina la Mheshimiwa Kafulila. Maana wanajua yeye huongea na kuzungumza ukweli wenye ushahidi wa kisayansi na takwimu za kutosha na halisia. Tofauti na upinzani na wapinzani ambao wao kazi yao ni mimatusi na uropokaji tu.
 
Salama Bwana Lucas
 
Alipohamia CCM utumbili wake ukaisha?
 
Wivu tu ndio unaokusumbua. Mkisikia jina La Mheshimiwa Kafulila Ma CHADEMA mnaanza kupata homa na kutetemeka kama wogonjwa. Maana mnajua kuwa hamumuwezi kwa hoja . Kwa sababu ninyi ni zero au waweza kusema sifuri kichwani mwenu.
Samahani mkuu sikujua kama kafulila ni kijana wako.nimekosa mimi.
 
Dira ya taifa ipo, mikoa zinaivinjavunja kivipi ili mtu ajue mkoa utakuwaje 2050,wilaya itakuwaje 2050,kata, mtaa?
 
Back
Top Bottom