David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

Investigation Unit

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
394
Reaction score
403
UTANGULIZI,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha Runinga cha "Mezenia ya Wiki" kinachorushwa na Kituo Cha Televisheni Cha Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakao kuwa na thamani ya $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuji wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaupiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu Barani Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

View attachment 3418186
kuna makabila watakuchomamoto wakikusikia, hawa wa huko vijijini...wale Lumpen proletariat
 
Aache ujinga hii nchi bado mapori mengi sana, tuzaliane kwa wingi ili tuzalishe zaidi tuwazidi majirani zetu. Tatizo la hii nchi ni viongozi wa serikali hawana uwezo wa kuhandle idadi kubwa ya watu ndio maana hata sasa watu milioni 60 imekuwa mtihani kuwamudu.
 
UTANGULIZI,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

Hivi KAFULILA ni MCHUMI???

GDP, GDP per Capita zinamsaidia nini mwananchi, zikiwa kubwa???

Badala ya kutengeneza mifumo watu WAZALISHE yeye anaona watu ni MIZIGO kwasababu anaona ukiwa na watu wachache GDP ikiwa kubwa unahesabika uko kipato cha kati.

Sasa kuna manufaa gani kuitwa uko kipato cha kati wakati watu wako hata kula ni SHIDA kama Kenya??

Of course, ni jambo zuri watu kuzaa watoto wanao wamudu kuwahudumia, ila siyo kwasababu ya Hizo sifa za KIJUHA Tanzania hatuzitaki.

China mpaka leo wanajiita taifa linaloendelea, siyo kwamba hawawezi kujiita Nchi tajiri.

Kujiita TAJIRI hakukufanyi kuwa TAJIRI.

Achana na sifa za kijuha, FANYA KAZI.
 
Akizungumza katika kipindi maarufu cha Runinga cha "Mezenia ya Wiki" kinachorushwa na Kituo Cha Televisheni Cha Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakao kuwa na thamani ya $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuji wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaupiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu Barani Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

View attachment 3418186
Mtu kama huyu alipaswa kutangazwa kama adui wa Taifa na binadam kwa ujumla wake ni mtu mwenye fikra za kikoloni.
Mmambo kama haya ya kupunguza idadi ya watu yanakuwa na malengo maalumu hasi kwa ubinadamu na hakuna ukweli wowote kwa hicho kinachosewa na Bwaba huyu, kma ni kweli ni vipileo mataifa mengi ya ulaya yanakilio cha upungufu wa rasilimali watu na taifa kamCHINAlinafanya vizuri katika uchumi duniani pamoja na kuwa na idadi kubwa ya watu kuliko nchi yeyote ile duniani
 
UTANGULIZI,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

Alete dawa ya kupunguza nyegezi.
 
Ukiwa na viongozi wa Low IQ watakuja na solutions za kijinga sana kwa wao kushindwa kusimamia rasilimali za nchi vizuri kwa kukuza uchumi wetu. Kama idadi ya kuzaliana ingekuwa shida China na India wangekuwa maskini sana
 
Bado tuko wachache sana na maeneo makubwa sana bado tunayo.
Kama Taifa lazima tuwe na projection ya hata 100yrs kwa maana ya population na mipango yetu.

Population growth sio issue, tunapaswa kuendana na hiyo speed ya population growth in terms of mipango yetu.

Ndani ya mitaa ya Rostov.
 
UTANGULIZI,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

China imegundua ilifanya kosa kubwa sana kusimamisha raia wake kuzaa watoto, nguvu kazi imeisha China na wanaotoka kwenda nchi nyingine ni wengi, China imejikuta inaweza kufeli na hivi sasa imeruhusu Wachina kuzaa watoto kadri mtu awezavyo.
 
Bado tuko wachache sana na maeneo makubwa sana bado tunayo.
Kama Taifa lazima tuwe na projection ya hata 100yrs kwa maana ya population na mipango yetu.

Population growth sio issue, tunapaswa kuendana na hiyo speed ya population growth in terms of mipango yetu.

Ndani ya mitaa ya Rostov.
Awapi mkuu Marekani Ina watu Mil 300 tu
 
Huyu ana shida

Idadi ya watu haipo miongoni mwa factors zinazoathiri ukuaji wa uchumi

Myth sio vitu vya kuvichukulia umanani
Nita differ na ww on that, china ni mfaidikaji mkubwa wa idadi yao, mostly ndio nguvu kazi ya viwanda
Lakin right now pia japan na ujerumani wana suffer kwa kuwa na nguvu kazi ndogo na wazee wengi

So itadepend na nchi inawatumiaje watu wake, wakiwa wengi halaf huwa direct to activities zinazoluza uchumi wa nchi au ukuaji wa nchi wanageuka kuwa mzigo
 
Back
Top Bottom