David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

Naunga mkono hoja ya Kafulila, zamani tulizaliwa kama rasilimali za familia. Mpo 12 na mashamba yapo tu, kadri siku zinavyoenda mambo yanabadilika. Jamii katika level ya familia lazima tujue, uzae kutokana na uwezo na rasilimali zako, watoto sio rasilimali tena.
 
Takataka kabisa huyu mpuuzi

Hakui idadi ya watu ndo inaongeza uzalishaji mali
Angalie nchi ambazo zinasumbua dunia zikoje kiidadi
 
Aache ujinga hii nchi bado mapori mengi sana, tuzaliane kwa wingi ili tuzalishe zaidi tuwazidi majirani zetu. Tatizo la hii nchi ni viongozi wa serikali hawana uwezo wa huhandle idadi kubwa ya watu ndio maana hata sasa watu milioni 60 imekuwa mtihani kuwamudu.
Wakiwa wengi huo mtaji wa kwenda kujinufaisha na hayo mapori wanatoa wapi?
 
UTANGULIZI,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

Kafulila mpumbavu tu hajui umuhimu wa kuwa na population kubwa na Maendeleo na utajiri

Watoto wakizaliwa wengi nguo za watoto,vyakula vya vya watoto nk vinauzika sana na TRA inapata pesa nyingi

Mabilionea wote duniani hutoka nchi zanye population kubwa sio ndogo sababu ina consumers wengi wa kila product husika iwe chakula mavazi vifaa vya ujenzi ,vitabu na vifaa vya elimu nk
 
Hadi mabilionea wa middle east 😁 ?

Naunga mkono wingi wa population, japan anahofu ya kupoteza population miaka ijayo
 
Middle east hawashiki hata nafasi ya 10 duniani kwa utajiri

Mfano Afrika mashariki Tanzania ndio inaongoza kutoa mabilionea wako wawili

Bakheresa na Mo Dewji sababu consumers wa bidhaa zao kwa population yetu tuko wengi kuliko nchi yeyote East Africa

Dangote bilionea namba moja Africa na Nigeria ndio yenye population kubwa kuliko nchi yeyeto Africa Ana consumers wengi mno wa bidhaa zake
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Middle east hawashiki hata nafasi ya 10 duniani kwa utajiri

Mfano Afrika mashariki Tanzania ndio inaongoza kutoa mabilionea wako wawili

Bakheresa na Mo Dewji sababu consumers wa bidhaa zao kwa population yetutuko wengi kuliko nchi yeyote East Africa

Dangote bilionea namba moja Africa na Nigeria ndio yenye population kubwa kuliko nchi yeyeto Africa Ana consumers wengi mno wa bidhaa zake
NAam
 
UTANGULIZI,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

siyo kweli kwamba tukizaliana sana ina madhara makubwa. wewe jenga viwanda ,jenga barabara zuri za lami kila mkoa ,jenga sgr, jenga shule sa msingi na sekondari nyingi,jenga hospitali bora njingi,punguza nauli ya ndege, zipiti bidhaa nyingi kutoka nje ya nchi. uchumi wa nchi utakuwa kwa kukusanya kodi kutoka makundi mbali mbali.angali china,india nchi ambazo kwa ujumla wao watu popilation iko 3 billion.je uchumi wako ukoje
 
UTANGULIZI,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

Huyu jamaa ni kizazi kweli.

Kwahiyo anataka walichopanga kuonekana ni Chanya, ninshariti Idadi iwe ndogo
 
Aache ujinga hii nchi bado mapori mengi sana, tuzaliane kwa wingi ili tuzalishe zaidi tuwazidi majirani zetu. Tatizo la hii nchi ni viongozi wa serikali hawana uwezo wa huhandle idadi kubwa ya watu ndio maana hata sasa watu milioni 60 imekuwa mtihani kuwamudu.
Jibu ni hilo hilo, shid ipo kwa viongozi wetu
Mali zilizopo nchini, ilibidi standard ya maisha ya mtanzania iwe BORA SAAANA. hata tukiwa milioni 100.
 
UTANGULIZI,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

Kachanganyikiwa huyu..... Tanzania tupo UNDERPOPULATED uki compare ardhi na watu unagundua tuna jukumu kubwa la kuzaliana kwa wingi usiku na mchana

Inasikitisha/huzunisha/shangaza huyu mwanasiasa chapati aanze kutupotosha kwa faida na maslahi ya nani naomba kuwasilisha msisitizo mkuu uwe sisi watanzania ni UNDERPOPULATED tufyatue usiku na mchana in voice of the late JPM.
 
Bado tuko wachache sana na maeneo makubwa sana bado tunayo.
Kama Taifa lazima tuwe na projection ya hata 100yrs kwa maana ya population na mipango yetu.

Population growth sio issue, tunapaswa kuendana na hiyo speed ya population growth in terms of mipango yetu.

Ndani ya mitaa ya Rostov.
Mkuu, kapicha japo tusafishe macho nione jiji la ROSTOV
Maana nimeona several times ukilitaja jina Hilo.

Itapendeza mkuu 😊 maana waswahili husema kizurii kula na nduguzoo
 
Back
Top Bottom