Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Ndio yapo kibao sana, hio hoja yake haina msingi lbd aipeleke Rwanda huko😁Kuna maeneo amboyo hata hayajawai kufikiwa/ kufikika na watu Tanzania ni kubwa mnoo Kuna ARABLE LAND kubwa na yakutoshaa.
Ndio yapo kibao sana, hio hoja yake haina msingi lbd aipeleke Rwanda huko😁Kuna maeneo amboyo hata hayajawai kufikiwa/ kufikika na watu Tanzania ni kubwa mnoo Kuna ARABLE LAND kubwa na yakutoshaa.
Hawa ccm bana, miaka michache iliyopita Magufuli alikuwa anasema watu wazaane ili kukuza uchumi na wote walikaa kimya. Huyu chawa naye anakuje na mashairi yake, tushike lipi?UTANGULIZI,
Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,
Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,
Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,
Msikilize hapa mpaka mwisho,
Si ndio huko watu wanakunywa maji na wanyama pamoja?Kuna maeneo amboyo hata hayajawai kufikiwa/ kufikika na watu Tanzania ni kubwa mnoo Kuna ARABLE LAND kubwa na yakutoshaa.
Ndio mkuu..mkuu Kuna maeneo ukifika mpaka unastaajabia.Si ndio huko watu wanakunywa maji na wanyama pamoja?
Hizo Hebo yebo wanazouza, hutengezi wewe.Ndio maana wanauchumi mkubwa ila wanauza yeboyebo Kariakoo,
Tunahitaji viwandambona kama kuna ukweli hivi, asilimia zaidi ya 60 ya watanzania ni wategemezi(umri 0-24)
wanavyoongezeka sio tatizo kweli?
duuuh sio kweliChina imegundua ilifanya kosa kubwa sana kusimamisha raia wake kuzaa watoto, nguvu kazi imeisha China na wanaotoka kwenda nchi nyingine ni wengi, China imejikuta inaweza kufeli na hivi sasa imeruhusu Wachina kuzaa watoto kadri mtu awezavyo.
China wanapunguza ukuaji. Sana sana India, Congo na Nigeria ndo population zinazokua kwa kasi duniani kwa Sasa.Vipi kuhusu China Mhe
Dr, kweli kwa ardhi tuliyonayo tupo underpopulated lakini je watu Wana uwezo wa kulea watoto ikiwa watazaa wengi? State siku zote haitakaa ihusike na uleaji wa watoto wetu hata siku Moja. Utahangaika mwenyewe kuwapa elimu Bora, chakula, malazi na vitega uchumi vya kujiendeleza. Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba zake. Najua unajua gharama za afya maana wewe ni daktari naamini wa binadamu. Unajua namna ilivyo ghali kwa chanjo zote na madawa mengine.Kachanganyikiwa huyu..... Tanzania tupo UNDERPOPULATED uki compare ardhi na watu unagundua tuna jukumu kubwa la kuzaliana kwa wingi usiku na mchana
Inasikitisha/huzunisha/shangaza huyu mwanasiasa chapati aanze kutupotosha kwa faida na maslahi ya nani naomba kuwasilisha msisitizo mkuu uwe sisi watanzania ni UNDERPOPULATED tufyatue usiku na mchana in voice of the late JPM.
Lakini ndugu Waziri wa jeshi, hakusaidii kulea. Ujue ukifyatua lawama zote ni kwako. Nimeanza kujinunulia mahitaji nikiwa na miaka 8. Sitaki mwanangu ayapitie Yale hata kwa dawa. Ni Bora asije duniani kuliko kuja kuteseka vile. Nimeenda shule na kaptula iliyochanika, shati Moja jumatatu mpaka ijumaa hapana kwa kweli. Nitazaa kwa idadi ninayoweza sio tu kuilisha bali na kuilisha.Tumbili amesahau muheshimiwa aliyepita alisema tufyatue
SIO TATIZOmbona kama kuna ukweli hivi, asilimia zaidi ya 60 ya watanzania ni wategemezi(umri 0-24)
wanavyoongezeka sio tatizo kweli?
Mkuu, kapicha japo tusafishe macho nione jiji la ROSTOV
Maana nimeona several times ukilitaja jina Hilo.
Itapendeza mkuu 😊 maana waswahili husema kizurii kula na nduguzoo
Unajua uchumi wewe?Vipi kuhusu China Mhe
For us plz 🥺hahahaha, Mkuu bahati mbaya mimi sio mtu wa mapichapicha, lakini unaweza kugoogle tu ukapata mapicha yakutosha na habari za Rostov.
ndani ya mitaa ya Rostov.
umeelewekaKachanganyikiwa huyu..... Tanzania tupo UNDERPOPULATED uki compare ardhi na watu unagundua tuna jukumu kubwa la kuzaliana kwa wingi usiku na mchana
Inasikitisha/huzunisha/shangaza huyu mwanasiasa chapati aanze kutupotosha kwa faida na maslahi ya nani naomba kuwasilisha msisitizo mkuu uwe sisi watanzania ni UNDERPOPULATED tufyatue usiku na mchana in voice of the late JPM.