David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

Awali walikuwa na sheria ya kuzaa mtoto mmoja, wakasitisha, by 2021 wakaruhusu watoto watatu per family
Walipogundua fursa ziko nyingi nje ya China ndipo walianza kuwahamasisha watu wao watoke nje waiteke dunia. Sasa hivi unajikuta eneo la ndani yaani ndani kabisa kijijini na wao wapo na vihafukasti vinachipuka
 
UTANGULIZI,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

Dalali/3rd part/Middle man.
 
Sasa Kafulila asituchanganye. Mwamba aliishattwambia TUFYATUE tu kwa maana nchi hii ni tajiri!
 
Ni mjinga sana Kafulila, tusizaliane Ili Watawala wabweteke, na rasilimali zetu wawape wageni Kwa kisingizio Cha uwekezaji! Kiufupi ni mpuuzi wa kupuuzwa sana
Huyu ana shida

Idadi ya watu haipo miongoni mwa factors zinazoathiri ukuaji wa uchumi

Myth sio vitu vya kuvichukulia umanani
 
Yaleyale ...mfunge mpinzani alafu ushiriki peke yako ukishinda unarudi kujigamba kwamba umeshinda kwa kishindo. Watu wasizae ili uchumi ukue...tofauti yake na marehemu Magufuri ndio hiyo...mtu asiyependa kushughulisha akili yake huwaza namna hiyo
 
China imegundua ilifanya kosa kubwa sana kusimamisha raia wake kuzaa watoto, nguvu kazi imeisha China na wanaotoka kwenda nchi nyingine ni wengi, China imejikuta inaweza kufeli na hivi sasa imeruhusu Wachina kuzaa watoto kadri mtu awezavyo.
Siyo kwamba China walifanya kosa.
Mwaka 1979 walipoweka dira ya taifa ya miaka 25 ya kukuza uchumi walitangaza sera ya kuzaa mtoto mmoja kwa kila ndoa. Walifanya hivyo kwa sababu walijua ongezeko la idadi ya watu la ndani ya ile miaka 25 ya dira,ingetibua mipango yao ya kiuchumi waliyojiwekea.
Mwaka 2004,miaka 25 ya dira ya ilikamilika,na China iliinuka sana kiuchumi,lakini bado hawakurusu wanandoa kuzaa zaidi ya mtoto mmoja. Mwaka 2016,baada ya kuangalia ukubwa na mwenendo wa uchumi wake,China ikaruhusu watu wake kuzaa watoto 2 kwa kila ndoa.
Mwaka 2021,sasa wameruhusu kuzaa watoto 3 tu.....,na siyo zaidi ya hapo.

Maamuzi ya China kudhibiti idadi ya kuzaa ililenga kukwepa kile ambacho sisi Tanzania kimetutokea na bado kinaendelea.....,kasi kubwa ya ongezeko la watu kuliko ukuaji wa kiuchumi. Madhara yake yanaonekana kirahisi katika huduma za afya na elimu. Kwa vile kuna ongezeko la idadi ya watu la 3% kila mwaka,hiyo ina maanisha kutahitajika kuongeza madawati,madarasa ,mashule na walimu kila baada ya muda mfupi.
Sasa kama pato na ukuaji wa kiuchumi haulingani na ongezeko la iadi ya watu,matokeo yake idadi kubwa ya watu kukosa elimu bora na huduma bora za afya n.k.
Sweden ina idadi ya watu milioni 10 leo, wakati mwaka 1960 ilikuwa na watu milioni 8 karibu sawa na Tanzania wakati huo,lakini leo ina zaidi ya watu milioni 60.
Ongezeko la idadi ya watu kwa nchi nyingi za ulaya ni 0.1, 0.23. 0.42 ....lakini kwa China akataka abane zaidi ili wasiingie gharama ya kuongeza mashule mapya,madawati mapya,kuajiri walimu wapya....ili pato la uchumi litakaloongezeka litumike kuhudumia kukuza vyanzo vingine vya mapato.
Tanzania kwa sasa haina hata uwezo wa kuajiri walimu wapya na madaktari wapya kutokana na pato haba..lakini kila mwaka inatakiwa kuongeza madawati na mashule na mahospitali pia.

Kupanga ni kuchagua, mataifa mengine yamefanikiwa kukuza uchumi bila kubana watu kuzaliana...lakini China ilitumia njia hiyo na imefanikiwa.
China imeruhusu kuzaa watoto 3 kwa sasa kwa lengo moja tu,kwa vile sasa wameshazalisha idadi kubwa ya vyanza vya kazi za kiuchumi,lazima kuwepo na watu watakaochukua nafasi ya ajira zilizopo sasa na zile zinazotarajiwa kuzalishwa miaka michache inayokuja.

Tanzania tunaweza kuamua njia yetu pia,..lakini hadi sasa ukweli unabaki pale pale kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu kwa mwaka kuliko ongezeko la uchumi.
Isitoshe India kwa sasa ndiyo nchi yenye idadi kubwa ya watu duniani...,watu wa China wana hali bora kuliko India.
 
UTANGULIZI,

Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,

Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,

Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,

Msikilize hapa mpaka mwisho,

Tanzania Is Not Overpopulated—The Problem Is Systemic Underdevelopment

In recent years, public discussions around Tanzania's development challenges have often blamed rapid population growth for worsening poverty, straining public services, and limiting economic growth. While population dynamics can influence national planning, the claim that Tanzania is overpopulated is deeply flawed and misleading. It distracts the nation from the real causes of underdevelopment: resource mismanagement, weak governance, outdated laws, corruption, and lack of political will. In fact, the growth of population should be seen not as a curse but as a strategic opportunity—a growing market and workforce that, if well-managed, could accelerate development and national prosperity.

Abundant Land and Natural Wealth Remain Untapped
Tanzania is blessed with vast stretches of land, much of which remains uninhabited or underutilized. The country's total land area is over 945,000 square kilometers, yet only a fraction of it is effectively used for settlement, agriculture, or investment. Large areas of arable land lie fallow, while food shortages and poverty continue to plague many households. This mismatch is not because there are too many people—but because of poor planning, land misallocation, and lack of modern infrastructure in rural and agricultural zones. In truth, there is enough land to support a population several times the current size, provided that it is distributed fairly and supported with the right development policies.

Uneven Development Between Urban and Rural Areas

Tanzania's development is characterized by a sharp imbalance between urban and rural areas. Cities like Dar es Salaam, Arusha, and Dodoma receive a disproportionate share of infrastructure, services, and investments, attracting waves of internal migration from rural regions. This has led to the overcrowding of urban areas and the neglect of rural communities, creating the illusion that the country is overpopulated. The reality is that our population is not too large—but too concentrated in a few places, while rural regions with enormous potential remain ignored. A strategic and inclusive national development plan would redistribute opportunities across all regions, making full use of both people and land.

Massive Resource Mismanagement and Waste
Tanzania is rich in natural resources, including minerals, forests, fertile lands, lakes, and gas. Yet the country continues to experience widespread poverty and inequality, not because of scarcity but due to mismanagement and exploitation. The annual reports from the Controller and Auditor General (CAG) have repeatedly exposed cases of massive financial losses, embezzlement, and unaccounted-for government funds. Investments in key sectors such as health, education, water, and roads are often poorly implemented or delayed. This has nothing to do with population size—it is a direct reflection of governance failure, lack of accountability, and misplaced priorities. If these resources were efficiently utilized and equitably distributed, the nation could thrive—even with a larger population.

Flawed Legal Frameworks and Political Control of Institutions
Many of Tanzania’s laws, especially those inherited from colonial systems or passed during early post-independence years, remain outdated, rigid, and disconnected from the realities of the modern economy. Some of these laws continue to concentrate power in the hands of a few and a president to be specific, promote bureaucratic inefficiency, and discourage innovation and local enterprise. In addition, several legal frameworks serve to protect political elites and their allies, instead of promoting justice, equity, and transparency.
The failure to revise and modernize these laws has created a political climate where economic progress is often held hostage by narrow interests of the politicians and elite class. True development requires modern and relevant legal reform, decentralization of power, and laws that reflect the voice and needs of the people—not those that preserve privilege.

Lack of Political Will and Visionary Leadership
One of the most devastating weaknesses in Tanzania’s development journey is the lack of genuine political will under Chama Cha Mapinduzi to drive transformative change. Many leaders enter public offices with ambitious promises but later become part of a system that protects power and wealth rather than serving the majority people. Critical national issues such as land redistribution, education reform, youth employment, industrialization, and rural development are discussed endlessly but rarely implemented with urgency or integrity.
Moreover, development projects are often politicized, delayed, or abandoned based on party interests, rather than national benefit. Without bold and visionary leadership—grounded in values of service, accountability, and patriotism—the nation will continue to waste its potential, regardless of population size.

The Myth That Population Growth Hinders Development

History has shown that population growth can be a powerful driver of development when matched with good governance and investment. Countries such as China, India, and Nigeria have leveraged their large populations to create domestic markets, attract foreign investment, and develop powerful labor forces. In contrast, blaming the poor for having children while failing to address systemic inefficiencies is unjust and dangerous. A growing population means more entrepreneurs, more consumers, more innovators, and more workers—all of whom can contribute to national growth if given the opportunity. The fear of population growth is, in many cases, a distraction from confronting corruption, inequality, and policy failure.

Imperialism and the Exploitation of Underdevelopment

We need to understand that if we Tanzanians are not empowered through quality and relevant education, land access, fair markets, and legal protection, we will be reduced to spectators in our own country, watching as foreign corporations, international investors, and local political elites exploit the nation's resources. A small, weak population means fewer voices to resist exploitation, fewer entrepreneurs to claim ownership of the economy, and fewer citizens to challenge oppression. It is not only foolish—but dangerous—to fear a growing population while the real threat lies in elite capture, foreign domination, and passive citizenship.

I can affirm that it is not population growth that threatens Tanzania’s future—it is the failure to plan, to govern wisely, and to serve the people with integrity. Citizens must begin to challenge the narrative that they are the problem, and instead demand accountability from those in power. The Constitution must be reviewed to reflect modern values of transparency, participation, justice, and opportunity. Development must be decentralized and inclusive, with an emphasis on rural transformation, education, and youth empowerment. Until then, blaming the people for the country’s failure is not only unfair—it is a betrayal of truth. Let Tanzanians unite in building a nation where people a
re not feared, but valued as the greatest resource of all.
 
Aache ujinga hii nchi bado mapori mengi sana, tuzaliane kwa wingi ili tuzalishe zaidi tuwazidi majirani zetu. Tatizo la hii nchi ni viongozi wa serikali hawana uwezo wa kuhandle idadi kubwa ya watu ndio maana hata sasa watu milioni 60 imekuwa mtihani kuwamudu.
sio kweli kuzaliana hata hivyo kama ni masikini hanina tija
 
Vipi kuhusu China Mhe
Siyo kwamba China walifanya kosa.
Mwaka 1979 walipoweka dira ya taifa ya miaka 25 ya kukuza uchumi walitangaza sera ya kuzaa mtoto mmoja kwa kila ndoa. Walifanya hivyo kwa sababu walijua ongezeko la idadi ya watu la ndani ya ile miaka 25 ya dira,ingetibua mipango yao ya kiuchumi waliyojiwekea.
Mwaka 2004,miaka 25 ya dira ya ilikamilika,na China iliinuka sana kiuchumi,lakini bado hawakurusu wanandoa kuzaa zaidi ya mtoto mmoja. Mwaka 2016,baada ya kuangalia ukubwa na mwenendo wa uchumi wake,China ikaruhusu watu wake kuzaa watoto 2 kwa kila ndoa.
Mwaka 2021,sasa wameruhusu kuzaa watoto 3 tu.....,na siyo zaidi ya hapo.

Maamuzi ya China kudhibiti idadi ya kuzaa ililenga kukwepa kile ambacho sisi Tanzania kimetutokea na bado kinaendelea.....,kasi kubwa ya ongezeko la watu kuliko ukuaji wa kiuchumi. Madhara yake yanaonekana kirahisi katika huduma za afya na elimu. Kwa vile kuna ongezeko la idadi ya watu la 3% kila mwaka,hiyo ina maanisha kutahitajika kuongeza madawati,madarasa ,mashule na walimu kila baada ya muda mfupi.
Sasa kama pato na ukuaji wa kiuchumi haulingani na ongezeko la iadi ya watu,matokeo yake idadi kubwa ya watu kukosa elimu bora na huduma bora za afya n.k.
Sweden ina idadi ya watu milioni 10 leo, wakati mwaka 1960 ilikuwa na watu milioni 8 karibu sawa na Tanzania wakati huo,lakini leo ina zaidi ya watu milioni 60.
Ongezeko la idadi ya watu kwa nchi nyingi za ulaya ni 0.1, 0.23. 0.42 ....lakini kwa China akataka abane zaidi ili wasiingie gharama ya kuongeza mashule mapya,madawati mapya,kuajiri walimu wapya....ili pato la uchumi litakaloongezeka litumike kuhudumia kukuza vyanzo vingine vya mapato.
Tanzania kwa sasa haina hata uwezo wa kuajiri walimu wapya na madaktari wapya kutokana na pato haba..lakini kila mwaka inatakiwa kuongeza madawati na mashule na mahospitali pia.

Kupanga ni kuchagua, mataifa mengine yamefanikiwa kukuza uchumi bila kubana watu kuzaliana...lakini China ilitumia njia hiyo na imefanikiwa.
China imeruhusu kuzaa watoto 3 kwa sasa kwa lengo moja tu,kwa vile sasa wameshazalisha idadi kubwa ya vyanza vya kazi za kiuchumi,lazima kuwepo na watu watakaochukua nafasi ya ajira zilizopo sasa na zile zinazotarajiwa kuzalishwa miaka michache inayokuja.

Tanzania tunaweza kuamua njia yetu pia,..lakini hadi sasa ukweli unabaki pale pale kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu kwa mwaka kuliko ongezeko la uchumi.
Isitoshe India kwa sasa ndiyo nchi yenye idadi kubwa ya watu duniani...,watu wa China wana hali bora kuliko India.

C&P
 
Anaongea nini, nchi nyingi zinakumbwa na tatizo la uhaba wa manpower.
 
Back
Top Bottom