UTANGULIZI,
Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema,
Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano mkubwa wa Nchi ya Tanzania kufikia UCHUMI wa kati juu mwaka 2050 utakaokuwa na thamani ya(DOLA ZA KIMAREKANI TRILLION MOJA) $1Trililioni au TZS2,600Trilioni,
Kafulila anaonesha wasiwasi wake kwenye ukuaji wa Kasi wa Idadi ya watu nchini Tanzania kwani ukuaji wetu unaipiku Kasi ya ukuaji wote wa Dunia ambao ni 1% vile vile tunaipiku Kasi ya ukuaji wa Idadi ya watu wa Bara la Africa ambao ni 2% wakati sisi ukuaji wetu ni Kwa Kasi ya 3% Kwa mwaka,
Msikilize hapa mpaka mwisho,