David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

Bado tuko wachache sana na maeneo makubwa sana bado tunayo.
Kama Taifa lazima tuwe na projection ya hata 100yrs kwa maana ya population na mipango yetu.

Population growth sio issue, tunapaswa kuendana na hiyo speed ya population growth in terms of mipango yetu.

Ndani ya mitaa ya Rostov.
Haya maeneo makubwa sio yenu, tayari yanamilikiwa na watu na mengine ni mbuga za wanyama na hifadhi za utalii.
 
Huyu ana shida

Idadi ya watu haipo miongoni mwa factors zinazoathiri ukuaji wa uchumi

Myth sio vitu vya kuvichukulia umanani
2012 tulikua 45m,2025 tupo 65m,yaani baada ya miaka 10 kuna ongezeko la watu 10-15m,hawa ni watoto, maana yake utahitaji kujenga shule kila mwaka,kuwalisha,kuwasomesha,malazi,mavazi, maana yake ni production to mouth economy,husogei kimaendeleo
Tupunguze kusikilizia utamu
 
B7051371-AEC2-4554-B670-66640207DEFD.jpeg
 
mkuu, hebu tuambie population per squire km ni ngapi?
 
Tukifika 300 million by 2050 ndio tunaweza kupanga uzazi kwa sasa kazi iendelee
 
Back
Top Bottom