Investigation Unit
JF-Expert Member
- Nov 26, 2023
- 394
- 403
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema,
Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za kidemokrasia,
Kafulila anaendelea kwa kusema nchi zenye uwezo wa kuishi kidemokrasia Kwa miaka mingi hadi miaka 25 ni nchi zenye kipato cha juu ya $3,000.
Hivyo Tanzania kitendo Cha kufikia Pato la Mtu mmoja la $7,000 kabla ya Mwaka 2050 itajihakikishia usalama wake Kwa mud mrefu kwani vijana wengi wataishi katika ajira nzuri na za kidumu
Msikilize mpaka Mwisho hapa,