Kitandu Nkoru
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 901
- 985
Ukweli ni kuwa anaongea uongo mkuuUKweli ni upi mkuu?
Ukweli ni kuwa anaongea uongo mkuuUKweli ni upi mkuu?
nakubaliKafulila huyu ni Dikteta ajae
Una sahau nchi zote hizo zilizoendelea huko nyuma wakati wanaanza kufuata demokrasia au wanapata uhuru zilikuwa maskini? Sasa wanepataje maendeleo?Nakubaliana nae kwa kiasi kikubwa
sasa unabishia uatafiti?Una sahau nchi zote hizo zilizoendelea huko nyuma wakati wanaanza kufuata demokrasia au wanapata uhuru zilikuwa maskini? Sasa wanepataje maendeleo?
Unasahau pia Katika nchi maskini nyingi ni hizo za kidikteta au demokrasia nusu.
Demokrasia huchohea maendeleo ya haraka.
nakuelewa ila sikubalianiUna sahau nchi zote hizo zilizoendelea huko nyuma wakati wanaanza kufuata demokrasia au wanapata uhuru zilikuwa maskini? Sasa wanepataje maendeleo?
Unasahau pia Katika nchi maskini nyingi ni hizo za kidikteta au demokrasia nusu.
Demokrasia huchohea maendeleo ya haraka.
ndioAiseeeeeee