Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda.
Akihojiwa na mwandishi wa habari Mario Nawfal hivi karibuni kagame amesikitishwa na kitendo cha Afrika mashariki kuendelea kuingiza nguo zilizotumika maarufu kama mitumba...
Paul Kagame, kama Rais wa Rwanda, anaweza kuchunguzwa na kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa madai ya ukatili unaofanywa na kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
ICC ina mamlaka juu ya mauaji ya halaiki, uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya...
Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya.
Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
Siku hizi kila mtu anazungumzia Kagame kwa mabaya, mara ooh ni dikteta, mara anatufanyia figisu, mara atoke madarakani. Lakini wachache sana wanajua ukweli wa historia yake na jinsi Tanzania ilivyoshiriki kwenye safari yake ya kuwa kiongozi mkubwa barani Afrika.
Kwanza kabisa, Kagame si mtu wa...
Perezida Paul Kagame yatangaje ko ingabo ziri mu butumwa bw’Umuryango w’Abibumbye (MONUSCO) ntacyo zamariye Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo, nubwo zashoweho amafaranga menshi.
Mu kiganiro n’umunyamakuru Mario Nawfal, Perezida Kagame yagaragaje ko ingabo za Loni zimaze imyaka 24 muri...
Congo DRC ikiwa kwenye hatihati ya kutekwa na Rwanda na Uganda, Wanawake wawili Diaspora wanaibuka na kuisadia nchi yao kuishawishi Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua stahiki dhidi ya Rwanda.
Sote tunafahamu namna Kagame alivyowekeza katika suala la Uhusiano wa Kimataifa.
Sote tunafahamu...
Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua!
Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT
8 Mar, 2025 19:36...
KUTANA NA AKILI KUBWA YA RAIS KAGAME,ONE OF THE BEST PRESIDENT,THE DREAM OF AFRIKA.
Leo 13:30hrs 20/12/2022
Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa...
Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii
Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko?
Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa...
Jeune Afrique: “U Bubiligi, u Bwongereza n'u Budage byavuze ku guhagarikira u Rwanda imfashanyo, ndetse bikomoza no ku gushyiraho ibihano. Murabasubiza iki?”
Perezida Kagame: “Ibihugu bimwe bifite n’uruhare muri iki kibazo nk’u Bubiligi n’u Budage byahoze bikoloniza (u Rwanda na DRC)...
Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka...
Kagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge?
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesema nchi yake haiwezi kukaa kimya wakati usalama wake unahatarishwa na DRC na kubainisha kuwa Rwanda imejaribu mara nyingi kuzungumza na...
"DRC haiwezi tu kutuambia tunyamaze wakati wanaongeza tatizo la usalama dhidi ya nchi yetu. Hakuna anayeweza kutuambia tunyamaze"
"Tumekuwa tukiiomba sana DRC na viongozi wake kwa muda mrefu, tumeshirikiana masuala yetu na kuwataka DRC wayashughulikie, wakakataa" - Rais wa Rwanda.
Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha!
Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa...
Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambapo Mkutano huo utakuwa chini ya uenyeji wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufuatia...
Leo na kesho naambiwa kuna mkutano WA Maraisi wa Congo na Rwanda na SADC na EAC
Huyu Bwana akikanyaga Tanzania mwambien tunalaan yote yanayoendelea congo na WANAJESHI wake WA M23
Na Wala msipotexe mda mwambien aondoe wale wahuni MAGAIDI WA M23
Soma: Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa...
Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua.
Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.