https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ
Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23.
Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo.
Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23.
Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa...
Mheshimiwa Kagame ameitaka SADC (yenye wanachama 16 ikiwamo Afrika Kusini) ikae mbali na DRC maana hayawahusu.
**Kagame anaongea Kama Nani? Msemaji wa DRC?
--
FOLLOWING a recent threat of military action against South Africa, the Rwandan government has now angrily responded to the Southern...
Fikiria hawa ni raia wameuawa na M23 huku askari wetu wawili wa JWTZ na askari wanne wa South Africa waliokuwa wakiwalinda raia nao wakiuawa kikatili.
Nchi ya Congo ingekuwa haina madini na rasilimali zingine sidhani kama huyu Paul Kagame na Kaguta Museveni wangekuwa na kashfa ya kuwa nyuma ya...
Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya.
Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda.
=================
President Paul Kagame says he doesn't know if...
Kagame anajua kuna beef la South Africa na USA kwasababu ya BRICS. Sasa kajioendekeza kwa Marco Rubio ambaye ni kama waziri wa mambo ya nje wa USA. Yaani migogoro yetu wanajenshi wetu wanakufa mpaka leo tunasubiria wazungu wazuie sisi kuuwana. Kijinga zaidi silaha tuna nunua kwao.! Lakini kagame...
Ni historia inayojirudia ambapo mkoloni ni kama ameona njia ya kuwapumbaza Waafrika na kuwatawala kiurahisi ni kuwataka wapigane wenyewe, waonane wabaya wao kwa wao.
Nchi ya DRC inakadiriwa kuwa na vikosi vya uhalifu zaidi ya 100 je tuseme vikosi hivi vyote vinadhaminiwa na Rwanda?..Inasemekana...
1. Wahutu wanahisi kukaliwa kimababu, mkono wa chuma na Kagame, hivyo kikipigwa Rwanda sio wamoja
2. Uchumi wa Rwanda ni fragile
3. Population ndogo
All in all vita ni mbaya maana ukiachana na vifo na wakimbiI, hufanya nchi maskini kuwa maskini zaidi.
Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.
Kagame apigwe, M23...
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide.
Bila Genocide hana cha kusimamia.
Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
Aliyewahi kuwa mkuu wa ujasusi Rwanda na Balozi wa Rwanda nchini India, Lt. Gen Kayumba Nyamwasa anasema matatizo yote yanayotokea mashariki ya Congo yanasababishwa na kagame.
Anasema Congo hamna tena tatizo la Banyamulenge ,lilishakwisha zamani na wana haki sawa na wanahudumu hata sasa katika...
Niaje waungwana
Chini ya miamba hii, nchi yetu ilikuwa salama, imara na tishio zaidi kuliko kipindi chochote kile kilichopita, kilichopo na pengine kinachokuja.
Joyce Banda alitest mitambo, kuona kikosi tu na vifaa vichache kwenye taarifa ya habari, huku boss mkuu Kikwete akizungumzia swala la...
Nimechagua kua upande wa kagame kwa kua na sifa zote za kiongozi bora anazo loyal kwa watu wake wa Rwanda anaiweka rwanda kwanza na watu wake hutu and tuts na sio maslahi binafsi
Intelligence, ni baba wa ujasusi east and central Africa , labda kidogo yeriko ndo ata mfikia( jokes)
Kiongozi anae...
Kumeibuka kundi la Watanzania ambao wanakerwa sana na Watanzania wenzao wanaomkubali Kagame. Hili kundi lililojivisha kilemba cha uzalendo wanawachukulia Watanzania wenzao wasiomchukia Kagame kama vile ni wasaliti wa nchi. Hii sio sawa, hakuna mwenye hatimiliki ya uzalendo.
Kama wewe unamchukia...
Haina haja ya salamu. Tunaoweza kiinglish tu ndo tutaelewa hapa. Wale wenzangu na mimi tuliokomea madrasa tu hatukufika Sekondari na Chuo... Huu uzi tutaupita kama tunaaga maiti. Kagame amesema hawa viongozi wasijifanye hawajui. Wanajua sana. Kashasema sasa na amekaa pale. 👉 Haka kajamaa...
Inaonekana hata Rais Kagame angetamani hii migogoro iishe ila ni kama kuna shinikizo kubwa sana ambalo hata yeye anashindwa kulimudu.
https://x.com/Sentletse/status/1885081658363203707?s=19
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.