kagame

  1. Suley2019

    Mkuu wa Majeshi Afrika Kusini amjibu Rais Kagame

    Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Kitaifa la Afrika Kusini (SANDF), Jenerali Rudzani Maphwanya, amejibu kauli ya Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusu mchango wa vikosi vya ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), akisisitiza kuwa jeshi la kikanda limeisababishia hasara kubwa M23...
  2. Crocodiletooth

    Tuzijadili hoja za Rais Kagame kwa kina, je zina maswali na hoja za kimsingi?

    Umoja wa Mataifa, Congo na Rwanda – Paul Kagame auliza maswali magumu "Tumesikia kuhusu Walinda Amani Umoja wa Mataifa ndani ya Congo una zaidi ya miaka 30 sasa…" — Paul Kagame... Rais wa Rwanda anauliza, UN imekuwa Congo kwa miongo mitatu, lakini mgogoro hauishi. Kuna tatizo gani? Kagame...
  3. Minjingu Jingu

    Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

    Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri. Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu...
  4. Lord denning

    Kagame awatuhumu SADC na Ramaphosa kuwaunga mkono Congo. Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama SADC ni Rais Samia!

    Kagame kweli kajaa kiburi! Kwenye kurasa zake za Mitandao ya Kijamii amerusha Video akiongea kuhusu Mgogoro wa Congo jana kwenye kikao chake na Wakuu wa EAC Kamgombeza kama mtoto mdogo Rais wa Afrika Kusini kuhusu majeshi yake yanavyoisaidia Congo. Kawananga SADC ambayo mwenyekiti wa Kamati...
  5. Father of All

    Kama Kagame alimshindwa Habyarimana hadi akamtungua na kuanzisha mauaji ya kimbari na kutwaa madaraka, anaiweza Tanzania iliyomchakaza Amin?

    https://www.youtube.com/watch?v=VSeLKOuuolI&t=729s Ukimsikiliza vizuri na kwa utuo imla wa Rwanda, Paul Kagame anavyoongea kwa kujiamini huku akipiga vijembe kuwa wanaomtisha ni maputo yanayoweza kutobolewa kwa sindano, unashangaa anapata wapi jeuri au ni usahaulifu wa binadamu. Madaraka...
  6. chiembe

    Jumuiya ya Afrika Mashariki imzuie Kagame kunywa damu ya wakongo, na kula nyama zao katika vita ya Mashariki mwa Kongo

    Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki. N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
  7. britanicca

    Katika majukumu 2018-2022 Nchi za Urusi, Armenia,Vietnam,Thailand na Singapore, nilidakwa na Binti Mnyaru kimahusiano nikagundua kagame Noma Hatari

    Asalaaaaamu, Britanicca hapa! Matumaini yangu ni wazima ! Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake! Kagame mnyoshee mikono! Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka...
  8. T

    Paull KAGAME ku kibazo cya Congo

    “Dufite ingamba ndetse n’abayobozi baziyoboye ariko icy’ingenzi kuri bo ni ukwigaragaza imbere ya camera basinya amasezerano runaka, ibyo bikarangirira aho. Usiga ikibazo cya nyacyo ukigira ahandi.’’
  9. Dabil

    CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

    Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo. Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
  10. Megalodon

    Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

    Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history. Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi...
  11. BLACK MOVEMENT

    Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  12. Nandagala One

    Kujali Majanga ya ajali kama Kariakoo Rais Samia ajifunze toka Rwanda kwa Kagame 9/Mei/2011

    Wananajamii forum,heshima kwenu. Ajali ya Jengo Kariakoo kuanguka,kwa maoni yangu kulikuwa kuchelewa kufanya juhudi kwa haraka Serikali hasa JWTZ wakati wa majanga. Vifaa sahihi, watu sahihi kwa majanga walichelewa kuja, na kuanza kazi yao. Ambassador choir of Christ wa wa Rwanda walipata...
  13. F

    Tetesi: Rais Paul Kagame kufunguliwa mashitaka The Hague kwa uhalifu nchini Congo DRC

    Habari za siri zimeanza kuvuja kuwa Kagame kageukwa na wazungu. Leo mwendesha mashitaka wa mahakama ya ICC ameanza uchunguzi wa uhalifu wa kivita mashariki mwa Congo. Inadaiwa mlengwa sio mwingine bali ni Rais wa Rwanda Paul Kagame. Tusubiri tuone kama watafanikiwa kumnasa Chuma cha Pua.
  14. Stuxnet

    Paul Kagame Amteua Major Gen Alex Kagame Kuwa Chief of Staff wa Reserve Forces na Maj Gen Andrew Kagame kuwa Commander wa Div 1

    Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
  15. D

    Wazungu Wanamtumia Paul Kagame kuiba madini ya DRC halafu baadae watamuua

    Sisi waafrika tumelaaniwa na sidhani kama Mwenyezi Mungu alituumba na akili sawasawa. Ona Paul Kagame anavyotumiwa na nchi za Magahribi kuiba na kuua wacongo. Ninavyojua mimi wanamtumia ti wakiwa wanamtegesha tu kwamba madini yakiisha tu wanammaliza Kagame mwenyewe. Au Kagame akishtuka tu...
  16. M

    Kupitia Paul Kagame nimejikubali.

    For so long time nimekuwa well off kwenye mchezo wa kikubwa ila kuna jambo lilikuwa linaninyima raha sana. Mimi ni mwembamba mrefu, kama Kagame, ingawa Kagame amenizidi kimo na wembamba. Nilianza kumjua Kagame kwa kumfuatilia kwa ukaribu kupitia social media, nikiwa chuoni. Kagame ameoa mke...
  17. Richard

    Raisi Kagame leo ateua mabrigedia jenerali wawili na makanali 14. Pia waziri wa ulinzi awapandisha vyeo mbalimbali wanajeshi wapatao 4392

    Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda. Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua waziri mpya wa ulinzi Juvenal Marizamunda, mkuu mpya wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Mubarak Muganga...
  18. GENTAMYCINE

    Tusione Aibu kuiga hili Jema kutoka kwa Rais Kagame na Rwanda yake

    Hatua hii ya Kimakusudi imekuja ili kuyaondoa Makanisa ya Kipumbavu Kipumbavu ( ya Kitapeli tupu ) ambayo yamejaa sana katika nchi moja ( nimeisahau Jina kwa sasa ) yenye Raia Wabishi, Wasioshaurika, wenye uwezo mdogo wa Kufikiri na Wanaodhani kuna njia ya shortcut katika Kufanikiwa kupitia...
  19. covid 19

    Kwa nilichokiona kwenye sherehe za uapisho wa Rais Kagame Rwanda, tuna la kujifunza kutoka kwao!

    Hakika zile sherehe zilifaana sana kuanzia maandalizi, muonekano, mpangilio na protoko isee hawa wenzetu wameweza na wanajua kweli. wenzetu si wakispot spot wanania kweli ya jambo na inaonekana wakiamua kitu lazima wafanye. Kwetu tanzania tunaweza kufanya zaidi ya wao kama tu tutapangilia...
  20. T

    Muri iyi manda y'imyaka 5 Perezida Kagame yatorewe, hakwiye kwibandwa ku ki?

    Hari byinshi byakozwe,dushima,ariko hari n'ibindi bitameze neza tutabura kugaya no kunengwa. Mu bigaragara,n'ubwo atabasha kugeza ijisho kuri buri kimwe,ariko na bamwe mu bamwunganira,harimo ababaye impamvu ya byinshi bitagenda neza kandi birangira bishyize ubuzima bwa benshi aho bidakwiye ko...
Back
Top Bottom