kagame

Paul Kagame (; born 23 October 1957) is a Rwandan politician and former military leader. He is the 4th and current President of Rwanda, having taken office in 2000 when his predecessor, Pasteur Bizimungu, resigned. Kagame previously commanded the rebel force that ended the 1994 Rwandan genocide. He was considered Rwanda's de facto leader when he served as Vice President and Minister of Defence from 1994 to 2000. He was re-elected in August 2017 with an official result of nearly 99% in an election criticized for numerous irregularities. He has been described as the "most impressive" and "among the most repressive" African leaders.Kagame was born to a Tutsi family in southern Rwanda. When he was two years old, the Rwandan Revolution ended centuries of Tutsi political dominance; his family fled to Uganda, where he spent the rest of his childhood. In the 1980s, Kagame fought in Yoweri Museveni's rebel army, becoming a senior Ugandan army officer after Museveni's military victories carried him to the Ugandan presidency. Kagame joined the Rwandan Patriotic Front (RPF), which invaded Rwanda in 1990. RPF leader Fred Rwigyema died early in the war and Kagame took control. By 1993, the RPF controlled significant territory in Rwanda and a ceasefire was negotiated. The assassination of Rwandan President Juvénal Habyarimana set off the genocide, in which Hutu extremists killed an estimated 800,000 to 1,000,000 Tutsi and moderate Hutu. Kagame resumed the civil war, and ended the genocide with a military victory.
During his vice presidency, Kagame controlled the national army and maintained law and order, while other officials began rebuilding the country. Many RPF soldiers carried out retribution killings. Kagame said he did not support these killings but failed to stop them. A small number of these soldiers were later put on trial. Hutu refugee camps formed in Zaire and other countries. These camps were given food and medical aid by several western governments and aid agencies. The RPF attacked the camps in 1996, forcing many refugees to return home, but insurgents continued to attack Rwanda. The attack on the refugee camps killed an estimated 200,000 people. As part of the invasion, Kagame sponsored two controversial rebel wars in Zaire. The Rwandan- and Ugandan-backed rebels won the first war (1996–97), installing Laurent-Désiré Kabila as president in place of dictator Mobutu and renaming the country as the Democratic Republic of the Congo (DRC). The second war was launched in 1998 against Kabila, and later his son Joseph, following the DRC government's expulsion of Rwandan and Ugandan military forces from the country. The war escalated into a conflict that lasted until a 2003 peace deal and ceasefire.
As president, Kagame has prioritized national development, launching a programme to develop Rwanda as a middle-income country by 2020 (Vision 2020). As of 2013, the country is developing strongly on key indicators, including health care and education; annual growth between 2004 and 2010 averaged 8% per year. Kagame has had mostly good relations with the East African Community and the United States; his relations with France were poor until 2009. Relations with the DRC remain tense despite the 2003 ceasefire; human rights groups and a leaked United Nations report allege Rwandan support for two insurgencies in the country, a charge Kagame denies. Several countries suspended aid payments in 2012 following these allegations. Kagame is popular in Rwanda and with some foreign observers; human rights groups accuse him of political repression. He won an election in 2003, under a new constitution adopted that year, and was elected for a second term in 2010. Kagame was elected again in 2017, and due to yet another change in the constitution, he could potentially be President until 2034. His role in the assassination of exiled political opponents has been controversial.

View More On Wikipedia.org
  1. Paul Kagame: Nashangaa Afrika mashariki tunalima pamba na kuuza Nje ila tunaagiza nguo za mitumba kutoka nje

    Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda. Akihojiwa na mwandishi wa habari Mario Nawfal hivi karibuni kagame amesikitishwa na kitendo cha Afrika mashariki kuendelea kuingiza nguo zilizotumika maarufu kama mitumba...
  2. Nini kinachelewesha Kagame kushtakiwa ICC?

    Paul Kagame, kama Rais wa Rwanda, anaweza kuchunguzwa na kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa madai ya ukatili unaofanywa na kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ICC ina mamlaka juu ya mauaji ya halaiki, uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya...
  3. Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  4. Paul Kagame: Mwanajeshi Aliyelelewa na Tanzania, Shujaa wa Ukombozi wa Afrika

    Siku hizi kila mtu anazungumzia Kagame kwa mabaya, mara ooh ni dikteta, mara anatufanyia figisu, mara atoke madarakani. Lakini wachache sana wanajua ukweli wa historia yake na jinsi Tanzania ilivyoshiriki kwenye safari yake ya kuwa kiongozi mkubwa barani Afrika. Kwanza kabisa, Kagame si mtu wa...
  5. Kagame na Mario Nawful kuhusu DRC

    https://www.youtube.com/watch?v=IvXf5JgmIxs
  6. Matunda ya Diaspora: Namna Wanawake Diaspora 2 walivyoweza kumuweka Kagame na Rwanda kwenye kona. Tanzania tuna la kujifunza

    Congo DRC ikiwa kwenye hatihati ya kutekwa na Rwanda na Uganda, Wanawake wawili Diaspora wanaibuka na kuisadia nchi yao kuishawishi Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua stahiki dhidi ya Rwanda. Sote tunafahamu namna Kagame alivyowekeza katika suala la Uhusiano wa Kimataifa. Sote tunafahamu...
  7. Je, huu ni mwanzo na mwisho wa Kagame?? Marekani kuisaidia kijeshi DRC!

    Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua! Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT 8 Mar, 2025 19:36...
  8. Akili ya Rais Kagame

    KUTANA NA AKILI KUBWA YA RAIS KAGAME,ONE OF THE BEST PRESIDENT,THE DREAM OF AFRIKA. Leo 13:30hrs 20/12/2022 Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa...
  9. P

    Trump akimwambia Paul Kagame out, Ni dhahiri nchi zetu si lolote kwa Kagame?

    Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko? Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa...
  10. F

    Kagame anampiga vita Raila

    Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
  11. Kagame anataka DRC iwatambue waasi wa M23 lakini yeye hataki kuwatambua waasi wa kihutu!

    Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka...
  12. Rais Kagame ataka M23 watambuliwe na Serikali ya DR Congo

    Kagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge? RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesema nchi yake haiwezi kukaa kimya wakati usalama wake unahatarishwa na DRC na kubainisha kuwa Rwanda imejaribu mara nyingi kuzungumza na...
  13. Kagame you got guts mzee baba

    "DRC haiwezi tu kutuambia tunyamaze wakati wanaongeza tatizo la usalama dhidi ya nchi yetu. Hakuna anayeweza kutuambia tunyamaze" "Tumekuwa tukiiomba sana DRC na viongozi wake kwa muda mrefu, tumeshirikiana masuala yetu na kuwataka DRC wayashughulikie, wakakataa" - Rais wa Rwanda.
  14. Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

    Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha! Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa...
  15. Barabara nne Dar kufungwa kuimarisha Usalama mkutano wa SADC na EAC kujadili mzozo wa DRC na M23

    Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambapo Mkutano huo utakuwa chini ya uenyeji wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kufuatia...
  16. Kagame aondoe majeshi yake Congo. Akigoma tuwaondoe kwa nguvu zote

    Leo na kesho naambiwa kuna mkutano WA Maraisi wa Congo na Rwanda na SADC na EAC Huyu Bwana akikanyaga Tanzania mwambien tunalaan yote yanayoendelea congo na WANAJESHI wake WA M23 Na Wala msipotexe mda mwambien aondoe wale wahuni MAGAIDI WA M23 Soma: Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa...
  17. Hili ndio suluhisho la mgogoro wa Congo na Rwanda, kati ya Kagame na Tshisekedi

    Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua. Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
  18. Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  19. L

    Tanzania Tumepoteza Wanajeshi Wawili Nchini Congo Katika Mapambano na M23

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo. Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23. Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa...
  20. Kagame aitaka SADC ikae mbali na DRC

    Mheshimiwa Kagame ameitaka SADC (yenye wanachama 16 ikiwamo Afrika Kusini) ikae mbali na DRC maana hayawahusu. **Kagame anaongea Kama Nani? Msemaji wa DRC? -- FOLLOWING a recent threat of military action against South Africa, the Rwandan government has now angrily responded to the Southern...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…