Ipo video inatembea Youtube inayoonyesha namna serikali ya Rwanda ilivyofungua bandari kavu tayari kwa ajili ya mzigo wa DP World. Tayari kwa ajili ya biashara ya kuweka mzigo unaokuja bandari ya Dar na kwenda Dubai.
Mwarabu alijipanga siku nyingi sana. Hii ni biashara iliyoanza tangu miaka...
Wasalaam, nakumbuka rais paul kagame enzi za utawala awamu ya nne aliwasema Tanzania hakuna viongozi wenye uchungu na rasilimali za nchi bali kuna wachumia tumbo watanzania tulio wengi tulimbeza na kumtukana. Mh kagame akaenda mbali zaidi kwa kusema kwa nchi km tanzania BANDARI ya dar pekee bila...
Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu.
Bandari tuwape JKT waiendeshe.
Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah
Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru hatuwezi kuendesha mambo yetu mpaka tuwapigie magoti watu wengine?
Ukiona Mtu yoyote anapendwa au anakubalika na GENTAMYCINE jua huyo Mtu ana Akili Kubwa halafu Kabarikiwa na Mwenyezi Mungu na ukiona namchukia Mtu jua ni Mpumbavu na Mwendawazimu mno.
Mapema mwishoni mwa mwaka 2022 na mwanzoni mwa mwaka 2023 Rais wa Rwanda Paul GENTAMYCINE Kagame na Rwanda yake...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinazochangia...
Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu.
Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu nimewaza mambo kadha wa kadha.
1. Tayari huko Congo ya mashariki vurugu inaendelea. Na sote tunajua yule...
Fuatilia yanayojiri kwenye Mapokezi ya Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwasili nchini Tanzania leo Aprili 27, 2023.
Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili nchini leo na kupokelewa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Lawrence Tax kwenye uwanja wa Kimataifa wa...
Huu utamaduni wa kualika wageni kwenye mikutano ya vyama haikosi kuja na yake:
Kama mambuzi Dodoma yamemkuta Tolu mwamba wa Kigali.
Kwa mwendo huu pana siku yanaweza kuwa makubwa zaidi ya haya.
Afande Kagame siku nyingine najua unapitia pitia mitandao ya kijamii ya Watanzania iliyoandikwa kwa lugha za Kiswahili ama Kingereza kama Jamii Forums na kadhalika.
Afande najua hupendi kuulizwa maswali ila mimi ngoja nikuulize swali, mbona unakuwa muoga wa kurudi frontline kupambana na haya...
" Congo DR iache kila mara Kulaumu Kuvamiwa na Rwanda, tumechoka na kabla ya Kuwashutumu Majirani zao Wajiimarishe hasa Kiusalama na Kuimarisha kama Taifa kwa Umoja na Kuwaunganisha Wakongo wote* amesema Rais wa Ufaransa Manuel Macron alipokuwa Ziarani nchini Congo DR.
Chanzo Taarifa: Amka na...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amepeleka shutuma hizo kwa Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi akidai anakiuka makubaliano kadhaa wanayoafikiana kuhusu mgogoro baina ya Nchi hizo unaoendelea.
Rais Kagame amedai licha ya kufanya mikutano na kukubaliana lakini Rais...
Moja kwa moja..
Nimecheki hii video nimeamini huyu jamaa ni jeuri sana halafu anajiamini .Ila lafudhi ya kingereza chake hata akisimamishwa na mimi niliyesoma pangu pakavu tia mchuzi mimi nitaonekana nimesoma IST au muingereza kabisa .
Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake.
Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu...
Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao!
Kwa haya yanayoendelea kubainika kuhusu utawala wa Rwanda ambayo sio mazuri kidiplomasia, lakini mimi yananidhihirishia kwamba nguvu na...
Wa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC.
Zaidi ya nusu ya suppy ya madini muhimu yanayotumika kwenye technolia mbalimbali za kisasa kama lithium batteries yanatoka DRC.
Kwa miaka mingi vita na vurugu za wanaoitwa "waasi" vimesababisha...
Kwa wasiojua, Banyamulenge ni watu wenye asili ya kitutsi wanaopatikana DRC kabla hata ya mipaka ya wazungu, kama ambavyo Wamasai wako Kenya na Tanzania. Tunaongelea zaidi ya miaka 200. Kagame anavyofanya fujo Africa Mashariki watu wote wenye asili ya Rwanda/Burundi wanajikuta wahanga. Hata hapa...
Zipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72.
Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake naona mwisho wa PAKA umewadia.
Ngongo kwasasa Kivu ya Kaskazini,
=====
UPDATES
=====
Habari...
Rais Paul Kagame amesema matatizo ya Congo hayakuundwa na Rwanda na si matatizo yao pia hawezi kuwajibika kwa matatizo yanayosababishwa na Wakongo wenye asili ya Rwanda wanaodai kunyimwa Haki zao kama raia.
Kauli ya Kagame inakuja kukiwa na ongezeko la vifo na mwagaji damu katika maeneo...
Hatimaye sasa its official kuwa Kagame analisaidia kundi la waasi wa M23 wanaopigana na serikali Mashariki mwa Congo DRC.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Blinken, amekutana na P. Kagame na kumpasulia wazi kuwa aache kuisaidia M23 , kikundi kinachoua na kutesa wananchi wa kawaida huko...
🚩 “Rwandans sio maadui wetu, ni dada na kaka zetu, adui yetu ni Kagame na Serikali yake, nawaambia wanyarwanda mnahitaji msaada wetu ili muwe huru, nahitaji sasa kuwasaidieni dhidi ya mu imla Kagame"
-President Felix Tshisekedi wa DRC
Kipi kifuatacho?
MAREKANI NAYO YATOA KAULI KWA RWANDA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.