wilaya ya kahama kuwa na vyanzo vya mapato na madini lakini kama naona makao makuu ya mkoa yana lazimisha shinyanga kuwa yenye kila kitu kizuri kuanzia barabara za ndani mataa ya barabara wakati kumejaa baiskeli nyingi.
Kwa nini kahama ilikataliwa kuwa mkoa au kupewa hadhi ambayo bila magufuri...
Wanawake wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri bila riba na kuachana na mikopo umiza.
Rai hiyo nimetolewa na Katibu tawala wa Wilaya hiyo Glory Absalum ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Mboni...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (wa tatu kutoka kulia), akiwa katika uzinduzi Rasmi wa tawi la benki ya Exim Tanzania wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Exim Bank, Bw. Jaffari Matundu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi...
Sisi Wakazi wa Kahama kiukweli tunayo kero ya barabara kutokuwa na ubora mzuri hali ambayo imekuwa ikitupa shida kwenye kutekeleza majukumu yetu.
Barabara za mjini takribani kote ni changamoto, mashimo mashimo kila kona jambo ambalo linahatarisha usalama wa vyombo vyetu kuharibika mara kwa...
Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni ..
Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia...
Nimetembelea kahama Leo takribani siku ya Tano mfululizo mita Kwa mitaa naona jinsi biashara zilivyoshamiri, Kahama Kuna pool kubwa Sana ya walipa Kodi kiasi kwamba naona TRA kana kwamba hawawezi kuwafikia wote.
Kwa ujumla mji wa Kahama umechangamka Sana kibiashara kila angle zote za mji, Kati...
Kwa wadau wote wa biashara ya dhahabu, hasa wale waliobobea katika ununuzi na uuzaji wa dhahabu kwa wingi (Broker na Dealer). Nimekuwa nikifikiria kuanzisha biashara ya ununuzi wa dhahabu hapa Tanzania, na ningependa kusikia ushauri wenu.
Nina bajeti ya takriban shilingi milioni 400 hadi 500 za...
Wakuu habari nahitaji msaada wa kujua gharama za kusafirisha mzigo kutoka mbeya kuja arusha (tani 14) na kahama kuja arusha(tani 10). Bidhaa ni mchele
Kwa anaejua gharama naomba msaada
Ni hali ya kushangaza sana na taratibu ya ovyo.
Leo nimetembelea ofisi ya TANESCO Kahama, kwa issue inayohusu umeme...cha ajabu naambiwa nirudi nikapige simu nakuomba huduma nikiwa nyumbani...namba niliyopatiwa ni namba ambayo muda wote iko "busy" 0733105423
TANESCO KAHAMA MJITAFAKARI.
Mambo yamezidi kuwa moto huko
Bukondamoyo kata ya Mhungula wilaya ya Kahama wakishinikiza mgombea kupitia CHADEMA atangazwe
Sijui itakuaje. Asubuhi walikamata kura feki.
Habarini za muda huu wakuu,
Mimi ni kijana mwanajukwaa mwenzenu nipo Kahama hapa naona maisha yananiendea kombo hiki kipindi kiasi kwamba mpaka kula yangu inaelekea kuwa jambo la mashaka,hivyo naomba yeyote mwenye kuweza kunipa kazi/kibarua anipe nisije nikafa njaa hapa mjini.
Kitaaluma mimi...
Wakuu,
Kwahiyo lile gari alilotoa Rais Samia kupitia Makonda kwa yule shehe Arusha, TAKUKURU.... au basi!
====
Kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 Mwaka huu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Kahama imesema itachukua hatua za...
Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup.
Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu?
Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.
Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama.
Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika mara kwa mara bila taarifa maalum, hadi mara 5-9 kwa siku. Hali kadhalika, huduma ya maji pia...
Wakuu nipo kahama natafuta kazi ya kupiga debe kamahama stendi
Yeyote mwenye connection na magari nipo tayari kufanya kazi na campun yeyote nipo vizuri katika kushawishi na kuongea
Msaada wana jamiiforums
Habari zenu wana JamiiForums
Naomba mnisaidie natafuta kazi yoyote kahama kama kuna mtu anamtafuta mtu wa kumsaidia kwenye kazi zake kama kuuza duka au kwenye restaurant kazi kama hizo naweza na ni mchapa kazi na muamifu na nmesoma pia nna diploma ya account
Jinsia -Mwanamke
Umri-24
Wakuu,
Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi?
======
"Tushikamane na serikali yetu na chama chetu CCM katika chaguzi zinazikuja za serikali za mitaa, tuwachague wagombea wanaotokana na CCM...
Ndugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu.
Ndugu walipewa Habari za kifo cha ndugu yao aliyepatikana akiwa amechinjwa wilayani Kahama, bado haijajulikana chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas.
Hivyo basi tunaliomba Jeshi la polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.