Nahitaji kupanda miche ya kahawa/buni. Naomba kufahamu mbolea za kiwandani zinayotumika kwa upandaji.
Naomba pia kufahamu kipimo kinachofaa kwa kupandia kwa kila mche/shimo moja.
Soma Pia: Nimepanda kwa kutumia mbolea isiyofaa, hatua gani nichukue?
Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia.
Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
Na Bwanku M Bwanku
Kagera ni moja ya mkoa wa kilimo na mazao mbalimbali yanalimwa. Kwasasa ni msimu wa zao la kahawa ambalo ni moja ya zao linalolimwa.
Toka Tanzania ianze, bei ya zao la kahawa ilikua inagotea kuishia 1,100 kuzunguka hapo lakini leo chini ya Rais Samia Suluhu Hassan bei ya...
WAKULIMA WA KAHAWA KAGERA NI SHANGWE TUPU, BEI YA KAHAWA IMEPANDA: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kusimamia vyema Maono ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwainua Wakulima wa Kahawa na kuwezesha bei ya...
Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa ninaposoma Makala ya historia basi huenda kwenye kazi zangu zilizopita na kuangalia nini nimeandika.
Ndugu yangu Abdulkarim Ally ameandika makala (haipo hapa) iliyonivutia sana kuhusu siasa za Uchaggani wakati wa ukoloni.
Imesadif kuwa mimi nilitafiti na...
Nani mmiliki wa kahawa Tanganyika? Serikali au mkulima?
Kwa nini Serikali inatumia nguvu nyingi sana kuzuia wakulima kwenda kuuza kahawa yao Uganda, mahali wanakoamini kuwa watapata faida nzuri?
Serikali ya Tanganyika inaionea Uganda wivu?
Serikali haitaki raia wake "watajirike"?
Ni mbinu za...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias na Wataalam wa Idara ya Kilimo Wilaya ya Ludewa- wametembelea Kiwanda cha City Coffee kilichopo Mbeya- kwa ajili ya kikao kazi cha kuongeza tija kwenye zao la Kahawa...
Wana Jf kwa mara nyingine tena mwezi huu wa Pili nmeamua kuanzisha Threads hii ya kuhusu vijiwe vya KAHAWA kwa sababu ambazo zina faida nyingi kuliko hasara.
Kwa muda sasa nilijiapiza kuzoea katika ya vijiwe vya kahawa ambavyo vitakua Jirani yangu au hata nikiwa katika safari ya ugeni ambao...
USIKU KAMA MCHANA!, RUHORO AGAWA TV BUNGE LA KAHAWA - NGARA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television (TV) kwenye vijiwe/mabunge ya kahawa yaliyopo Wilayani Ngara.
Lengo kubwa ni...
Vuguvugu la maendeleo ulaya (the age of enlignment) lilianzia vijiweni na kwenye saloon ambapo watu walikutana kujadili ideas. Kwenye vijiwe vya kimasonic (Masonic Clubs ) pia ilikuwa ninsehemu walipokutana kupeana updates.
Muachane na vijiwe vya betting.
Vijiwe wa unywaji bia, na ulaji wa...
nikiwa kiraia zaidi, nimejumuika na wananzengo vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza. Stori na hadithi nyingi zimetekwa na jina la Rais, Dr Samia Suluhu Hassan.
Kwamba huyu mama ni hodari, anajali sana, ana bidii mno ya kazi, anaskiza sana maoni ya wananchi, ni mahiri na makini sana...
Kahawa ni miongoni mwa zao la biashara linalolimwa ukanda wa Afrika Mashariki ikiwemo na Tanzania.
Mkoa wa Kilimanjaro ni miongoni mwa mikoa ambayo zao la kahawa linapatikana hususani kahawa aina ya ARABICA.
Mnamo tarehe 16/10/2023 nilipata nafasi ya kuwapeleka watalii kijiji cha Materuni...
Kuna mambo ukiona yanajirudia ni vizuri kujiuliza ili kujifunza. Wana JF tusaidiane.
Enzi za uhai wake tulimwona Hayati John Pombe Magufuli akinywa kahawa na vijana wake huko Chato. Hivi majuzi akiwa ziarani Singida tukaoneshwa picha Rais Samia Suluhu Hassan naye akiwa na kina mama katika...
Ebu jaribu kutofautisha picha mbili hapo chini kwenye kila angle.
MAGUFULI akiwa Soko la Ferry, Dar es salaam
SAMIA akiwa Soko la Wamachinga parking, Nzega, Tabora.
BINAFSI: Nimeshangaa kijiwe cha wanywa kahawa wanawake, sijawai kuona kijiwe cha kahawa cha wanawake. Pili utofauti niliouona...
Pengine ni ushamba wangu au kukosa exposure, lakini tangu nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa kinachokaliwa na wakina mama (wanawake).
Tumezoea muda mwingi kama sio muda wote vijiwe vya kahawa ni akina baba huku wakiendelea na mijadala mbalimbali.
Wenzangu vipi mshawahi kukiona?
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro alishiriki zoezi la ugawaji wa Miche ya Kahawa lililofanyika Octoba 4, 2023 katika Kijiji cha Kashinga - Nyakisasa.
Miche hii ni matokeo mazuri ya Jitihada za Mhe. Mbunge katika kulikuza zao la Kahawa ili kuongeza mapato kwa Mkulima mmoja...
Sisi ni Chama makini sana.
Tunajua nini maana ya maslahi ya taifa.
Hatuwezi kuwa na fikra potevu kudanganya dunia kuwa kuna Demokrasia nchini Wakati hakuna. Zaidi ya CCM Kandamizi iliyojisahau na sasa inawakandamiza Watanzania kwa kila namna ya ufisadi.
Hatuwezi kuwa sehemu ya wasaliti wa...
Habari zenu.
Leo ngoja nishee story yangu kwa ufupi
Nakumbuka mwaka 2010 nikiwa na rafiki yangu tulishauriana kwenda South Afrika kutafuta maisha tukiamini kwamba huko maisha ni marahisi sana, basi ikabidi tuanze kutafuta nauli kipindi hicho ilikuwa nafanya biashara ya kuuza nguo za mtumba...
"Jina langu ni Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, nikiwa na dhamana ya kuiwakilisha pia nchi yetu katika nchi za Australia, New Zealand na Papua New Guinea.
Leo tumekusanyika hapa katika mojawapo ya makampuni makubwa nchini Japan yanayojishughulisha na biashara ya chakula Japan na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.