Habari wanajamii
Naomba muongozo kuhusu kahawa, nahitaji kununua kahawa na kusafirisha kwenda Uganda. Je ni taratibu gani nitumie kwenye ununuzi? Kwa upande wa moshi naambiwa ni lazima nifanye ununuzi kupitia auctions kuna mwenye experience na ununuzi wa kupitia auctions? KNCU/KCU na je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.