Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na vijiwe vya kahawa eti ndo wapigania uhuru hao
Wako wanaosema historia ya Tanzania imechakachuliwa...
MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO - HABARI NJEMA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA
MASWALI NA MAJIBU WIZARA YA KILIMO
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiuliza swali Wizara ya Kilimo - "Wizara ya Kilimo ina Mkakati gani wa kuhakikisha wakulima wa Kahawa Wilaya ya Ngara wanaendelea...
HESHIMA KWENU WAKUU
Nimekaa nikiwaza sana kuhusu biashara ya mazao haya mawili. Sasa naomba mwenye kufahamu uendeshaji wa biashara ya kununua na kuuza haya mazao mawili (kahawa na parachichi). Hasa kwa kuzingatia yafuatayo;
1. Sehemu ya kununua
2. Soko
3. Mtaji
4. Changamoto zake
5. Utaratibu...
Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATCL, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa?
Ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi.
Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia...
Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha wao wenyewe badala ya wakulima wa zao hilo.
Wakulima wa zao la Kahawa wanafanya kazi wakati wa mvua na jua kwa kipindi cha mwaka mzima, lakini kwa asilimia kubwa wanaonufaika ni...
Vijiwe vya kahawa nchi hii ni sehemu mojwapo maarufu ambayo mengi huzungumzwa na kujadiliwa yanayohusu siasa za ndani na nje ya nchi,historia mahusiano,dini, biashara, uchumi n.k.
Mambo yanayojadiliwa mara nyingi huegemea katika nadharia za kinjama(consipiracies theories)...
Kuna mwanafalsa mmoja wa kiingereza aliwahi kusema "To be or not to be that is question" hivi ndivyo ambavyo wanachadema tunaposhindwa au ndivyo tunavyoweweseka kuimba Ile nyimbo yetu Pendwa ya katiba mpya kwa sababu tunaona aibu kuendelea kuimba kuhusu katiba mpya baada ya kulewa kashata na...
Habari wadau,
Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati.
Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani...
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa Oktoba 31, 2022 na taasisi ya JAMA Network Open inaonesha Watoto walioathiriwa na kiasi kidogo cha Kafeini kabla ya kuzaliwa wamebainika kwa wastani kuwa wafupi kuliko watoto wa watu ambao hawakutumia Kafeini wakiwa wajawazito.
=======================...
Kahawa maarufu tunayotumia hapa Tz ni Africafe. Kale kakopo, 50mg kanauzwa Tsh 4000. Maana yake kilo moja ya kahawa ile ni Tsh 80,000.
Na kahawa hii ni ile ya quality ya chini tu. Ndiyo maana inasemwa kuwa ukiacha mafuta, bidhaa inayofuata kuwa kuwa na jumla ya pesa nyingi duniani ni kahawa...
SHAKA ATUMIA KIJIWE CHA KAHAWA TABORA KUELEZA MWELEKEO WA RAIS KATIKA KILIMO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, (NEC) ya CCM, tikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea kijiwe cha Kahawa Lumumba kilichopo Tabora Mjini na kunywa kahawa na wananchi na kutumia fursa hiyo kuelezea hatua...
Sababu kubwa ni kuwa magari hayakua na heating system. Ukisikia baridi ndani ya gari ukiweza kutengeneza kikombe cha kahawa ili kuongeza joto la mwili.
Hii technology ilikufa walipoweza kuweka heater kwenye magari.
Nahitaji kuingia kwenye hii biashara ya zao la kahawa... Yani ninunue then nije kuuza baadae wanasema wanauza kwenye ushirika kwa kule Mkoa wa Ruvuma! Mwenyw ABC au uzoefu wa hii ishu afanye msaada wa kufunguka. Natanguliza shukrani 🙏🙏🙏
Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
Ile ajenda ya Kodi za zamani aliyoisema Mh. Rais na Mbunge wa Bukoba Mjini ni taa ya kukaa sawa dhidi ya Moses Machali, mkuu wa wilaya ya Bukoba, kwamba "walangila wameshamkalia vikao, na hawamtaki".
Bukoba ni wilaya ambayo Siasa imetamalaki, na Kuna wafanyabiashara wameshamuunguzia Uzi, na...
Tamasha la kahawa lilifanyika kwenye uwanja wa HALO mjini Shenzhen, China tarehe 5 mwezi huu likikutana na sikukuu ya jadi ya Duanwu ya China. Tamasha hilo lililoanza Mei 50 limetoa fursa kwa wenyeji kutulia na kujifurahisha, ikiunganisha shughuli mbalimbali za kahawa, pikniki na masoko.
Tuendelee vivi hivi. More exports is important for our economy.
(BOLLORE ) - Bolloré Transport & Logistics was recently commissioned to handle a logistic operation organizing the first direct shipment of coffee by Kenyan farmers to South Korea without the use of a coffee brokerage. This was...
Nb:Naomba mods kuheshimu thread za watu, kazi yenu isiwe kufuta au kuunganisha thread za watu, sometime mnakera kinyama
Dunia haijawahi kuwa na wasiwasi kuhusu kahawa.
Iwe tunakunywa kikombe kimoja cha kuamka asubuhi, espresso baada ya chakula cha mchana au cappuccino jioni, hatujawahi kutumia...
Habari wakuu?
Kuna rafiki yangu aliniomba nimkaangie buni ya kahawa ya Kilimanjaro nimtumie ujerumani,sasa nimeenda pale postal EMS wamesema hawatumi kahawa mpaka kibali na wenyewe hawajui kinapatikana wapi.
Msaada wakuu kama kuna mtu anakijua hicho kibali Cha Nini na kinapatikana wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.