kahawa

  1. Serikali yaondoa tozo 42 kwenye zao la Kahawa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 ambazo zitakuwa ni jumla ya Sh267 kwa kilo kutoka Sh830 za awali. Waziri Mkuu ametoa maamuzi hayo kufuatia tume maalum...
  2. Kahawa ya kutoka Lyamungo Kilimanjaro yauzwa na moja ya maduka makubwa Ulaya

    Nipo katika moja ya nchi za Ulaya kikazi na nimebahatika kuingia katika duka kubwa la Costco. Humo katika pitapita kwenye sehemu ya groseries nimekuta kahawa ya kutoka Tanzania sehemu ya Lyamungo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Kahawa hii ni nzima na imeokwa (roasted) na mtumiaji hutakiwa...
  3. Jifunze kutengeneza scrub ya kahawa" Coffee Scrub" kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi

    Mahitaji -Sukari ya brown kikombe kimoja -Kahawa ya brown nusu kikombe -Mafuta ya mzeituni nusu kikombe -Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp) Hapo kwenye kikombe waweza tumia kikombe Cha chai(mug)au vile vikombe maalum vya kupimia malighafi vile ambavyo vina alama za vipimo. Hii...
  4. Kilimanjaro: Wananchi wabadili aina ya kilimo cha mseto kwa kuondoa zao la kahawa

    Ukifika mkoani Kilimanjaro utaona ni jinsi gani kizazi hiki kinavyoenda kubadili kabisa aina ya kilimo cha kahawa kilichozoeleka tangu enzi ya mkoloni. Vijiji vichache nilivyotembelea katika wilaya ya Hai na wilaya ya moshi vijijini nimejionea wanavijiji wengi wakiwa wameondosha kabisa zao la...
  5. Kesi ya Mbowe imetufanya kuparaganyika. Lissu amebakia kulalama Twitter, Bavicha wanazurura kwenye vijiwe vya kahawa. Hakuna dira kabisa

    Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji. Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita. Bavicha...
  6. Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

    Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya. Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya. Mungu ibariki Bavicha.
  7. Jameni zao la kahawa linatupaisha kinoma

    Monthly coffee earnings rose to a record $50 million (Sh5.6 billion) in December as Kenya reaped from the frost that destroyed the crop in Brazil and the civil wars in Ethiopia, reducing supplies in the world market. Nairobi Coffee Exchange (NCE) said the earnings jumped 117.3 percent from $23...
  8. Ninahitaji Kahawa

    Habari za leo Ndugu wanajukwaa. Ninahitaji kampuni au mtu wa kunipa Kahawa Aa arabica ya Kilimanjaro zaidi. Ninaomba connection na muuzaji. 06247400
  9. L

    Kahawa ya Afrika Inazidi Kupata Umaarufu nchini China

    Na Tom Wanjala Ripoti ya maonyesho ya pili ya kibiashara kati ya Afrika na China yaliyofanyika kuanzia tarehe 26 hadi 29 mwezi Septemba mwaka huu katika mjini Changsha mkoani Hunan, inaonyesha kuwa kahawa kutoka Afrika inazidi kupendwa na wateja wa China. Afrika ni maarufu duniani kwa kilimo...
  10. Kahawa bora zaidi duniani

    Luwaki Coffee; Hii ni kahawa pendwa zaidi unapata ile radha haswaa ya kahawa. Hutumika zaidi nchi za baridi na restaurant kubwa, Wapenzi wa kahawa tafuteni hii ndio kahawa bora zaidi duniani Karibuni.
  11. Picha: Zitto Kabwe juu ya meza ya kunywea kahawa. Anajitutumua

    Act wazalendo wanajitutumua ili kupata kura hapo tar 16
  12. Kijiwe Cha KAHAWA na Mambo yake!!

    Unywaji wa KAHAWA hauleweshi na kuiondoa AKILI NA UTAMBUZI WA MWANADAMU..... Unaweza kwenda kijiweni ukiwa na shilingi yako 100 kwa lengo la kupata KIKOMBE KIMOJA TU ilihali nafsi yako inataka kunywa VINGI.... Kama MWENYEZI MUNGU amekupa UCHESHI NA ULIMI FASWAHA WA KUNENA basi anzisha MADA...
  13. S

    Naomba kuelewa mapato ya acre moja ya kila zao kwa mwaka: kahawa, korosho, migomba na parachichi

    Members wakulima na wazoefu wa hayo mazao, Naomba kuelewa kama muongozo kwa ufupi mapato ya wastani kwa mwaka kwa kila zao hapo juu. Naomba tu share uzoefu wetu kwa manufaa yetu sote.
  14. J

    Kwa sasa Geita inachangia pakubwa kwenye pato la Taifa, “inastahili" kama Kilimanjaro enzi za kahawa!

    Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine. Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa. Geita na...
  15. U

    Mbunge Mteule Arusha Mjini, Mrisho Gambo(CCM) awashukuru wapiga kura kijiwe cha kahawa soko kuu Arusha

    Tushukuru kwa kila jambo.
  16. Kwanini Serikali isiruhusu watu na kampuni binafsi wanunue kahawa mkoani Kagera?

    Kuna mambo mengine nchi hii yanashangaza na kusikitisha kweli. Mtu kalima kahawa zake, kwa pesa zake na nguvu zake halafu unampangia amuuzie nani. KCU imekusanya kahawa za wakulima halafu huu karibu mwezi wa 3 hawajawalipa pesa yao. Hiki chama cha ushirika hakina maana tena bora waache watu...
  17. Uchaguzi 2020 Kama umeshindwa kutatua tatizo la Kahawa kwa miaka 5, utaweza sasa hivi?

    Amani iwe nanyi wandugu! Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni?
  18. Kahawa safii kwa afya

    Kahawa ndio
  19. Waziri Mkuu Majaliwa ukimalizana na Mkonge Tanga, tugeukie Kahawa Moshi

    Kwako PM Majaliwa Awali ya YOTEE nikupongezee kwa zoezi linaloendelea Nichukue fursaa HIII kukuombaa BAADA yaaa kurejeshaa MALIZANA SERKL zilizomilikishwa kwa wahunii wasioitakiaa nchii hii memaaa upandee WA mkongee Tunaombaa MWELEKEZE paler kilimanjarooo kukaguaa malizote za bodi ya kahawaaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…