kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Waliochapisha vipeperushi vya kampeni 2020 wanaidai CCM zaidi ya 1B.

    Umoja wa kampuni za uchapishaji walioingia mkataba kwa ajili ya kuzalisha bidhaa na vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni mwaka 2020, wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mhe. @SuluhuSamia kuingilia kati suala la madai yao ili walipwe. Kwa pamoja wanadai zaidi ya bilioni 1. Natumaini...
  2. Kampeni ya Mguu kwa Mguu iliyofanyika Kawe ni fedheha kwa CHADEMA, kwani imekosa mvuto kwa wananchi

    Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni yao ambayo wameipa jina la Mguu kwa Mguu lengo likiwa ni kuwatembelea wananchi na kwahamasisha...
  3. Dada kaanza kampeni mapema mno!

    Kaanza mapema mno na hakika anaogopa upepo unaomtikisa!,Tena zaidi anaogopa upepo wakaka yake maana inaonekana upepo wa kaka ni mkali zaidi unampa shida,madira yake yanapeperuka huku na kule!. Hakika dada hawezi kuvaa viatu vya kaka vimemshinda ndio maana ameanza kuviponda!.. niwaambieni yule...
  4. Kampeni nyingi za utunzaji mazingira nchini zinazalisha fedha ambazo hazitumiki moja kwa moja kutunza mazingira

    Zipo kampeni nyingi sana zilizowahi kufanyika na zinafanyika Nchini juu ya utunzaji wa mazingira lakini kinachofanyika ni tofauti sana. Watu wanatumia gharama kubwa sana kuzunguka Nchini, posho nauli n.k lakini tukiangalia kwa kina tunaona fedha inayotumika kwenye kampeni hizo ni kubwa kuliko...
  5. Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

    Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe. Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
  6. Q

    Tufungue Ukurasa Mpya: Tujifunze siasa za Kenya. Leo Uhuru anampigia kampeni Odinga

    Kitendo Rais Samia Suluhu kukutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe huenda kikafungua ukurasa mpya katika siasa za Tanzania. Inasemwa kuwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu. Tukubali katika eneo la Afrika Mashariki na Kati kisiasa Kenya...
  7. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ nayo unabuma wanachama hewa

    Wanaukumbi. Chadema mnajitapa mna wanachama active 12 milioni. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ kwa wiki mnaomba 1K kwa kichwa nayo tia maji, tia maji. Hao wanachama 12m ni wafu au ‘Ghosts’? Kama katika 12m mnashindwa kupata 1K kwa mtu kwa siku 7? Chadema...
  8. Kenya 2022 Raila Odinga atoa wimbo wakati kampeni za uchaguzi zikishika kasi

    Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi. Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
  9. T

    Kampeni ya kusafisha jiji la Dar es Salaam

    Poleni wahanga wa kampeni hii ya kuliweka "JIJI" katika hali ya "usafi". Tumeshuhudia masoko yaliyopo katikati ya jiji letu pendwa yakiondoka moja baada ya moja ..Tulianza na Soko la kariakoo🔥 Soko la mitumba karume 🔥 Wats next? Ilala kwa wauza mitumba ? Poleni wahanga hususani wale...
  10. B

    Lukuvi, Chenge, Kabudi kubalini mmezeeka acheni kujipigia kampeni za uspika, vijana kama Steven Masele kachukueni fomu wakikata jina freshi tu

    Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani? Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi...
  11. Ina maana hawa wanaovaa makanga na matisheti ya CCM wakati wa kampeni CCM sio mali yao? Ni mali ya wajanja wa mjini

    Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?
  12. Kampeni ya "Twende na Majaliwa 2025" imezimwa kama mshumaa

    Hii kampeni #TwendeNaMajaliwa2025# ilikuwa chini ya Ayubu na wenzake. Ilikuwa imeshaanza kuota mizizi nchini kwani viongozi wengi wa chama na jumuiya pamoja na wabunge wengi wa CCM walikuwa wameshaingia mkenge kwenye kampeni hii. Ila maaaa weeee ghafla Hangaya amepindua meza mambo yamekuwa...
  13. T

    Ianzishwe kampeni ya "CCM Haina Wenyewe Bali ni ya Wote"

    Hali ya wanaCCM kuogopa kujiita wanaCCM kujiita wanaCCM imerudi tena baada ya baadhi ya wanaCCM kwa makusudi kabisa kuamua kunajisi taswira na jina la CCM mbele ya jamii. Jamii imeanza kupata uelewa na mwelekeo tofauti kwa CCM baada ya aliyekuwa katibu wake was itikadi na uenezi Nape Nnauye...
  14. Chongolo: Popote Duniani muda wa porojo za siasa ni kipindi cha kampeni pekee

    "...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi." "...sasa huu utamaduni wa eti kila wakati wanasiasa wafanye siasa hata huko Duniani haupo na...
  15. Mazingira: jiji la DSM haliitaji kampeni za usafi bali sheria ndogo ndogo zisimamiwe

    USAFI ktk Jiji la DSM limekuwa Donda Sugu, Kila RC akiteuliwa ana kuja na KAMPENI yake ya usaf lkn impact ya izo kampeni ni kitu ambacho hakidumu hata miezi 3. Kwa haraka haraka zilikuwepo kampeni kama shika fagio, izi zilijikita ktk usafi was maeneo ya katikati ya Jiji maeneo ya fukwe...
  16. J

    Chato ni Wilaya pekee nje ya Dar iliyotembelewa na Marais na Viongozi mashuhuri wa dunia, ni halali kuifanya mkoa sasa

    Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar. Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya. Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea...
  17. Kampeni ya Usafi wa Dar iendane na hili

    Niendelee kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa kusimamia maamuzi mbalimbali ya kuhakikisha Dar inasimama katika usafi na mpangilio wa biashara katika maeneo mengi. Katika hili kuna haja ya kuhakikisha Dar inakuwa katika hali ya usafi na mpangilio wa biashara katika hili kuna haja ya kusimamia...
  18. TANESCO sitisheni kampeni ya TUNAJIPANGA, watu wanachotaka ni kupata umeme

    Wiki ijayo jumatatu terehe 29/11, Tanesco watakua na kampeni ya TUNAJIPANGA. Lengo ikiwa ni kutambua changamoto ambazo wananchi wanazipata kwenye umeme. Hili naliona ni suala la ajabu, sasa hivi kuna shida kubwa sana ya umeme Tanesco yapaswa wajikite kutatua changamoto hizi za umeme kuliko...
  19. Tume ya Uchaguzi tangazeni kuanza kwa kampeni ili mwaka 2025 iwe ni kuchukua fomu tu

    Naona kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza kwa kasi chama tawala CCM kimeshateua mgombea wake na safari hii "wanaume no kugombea" ni zamu ya wanawake tu Ni vema Tume ya Uchaguzi ikatangaza rasmi kuanza kwa kampeni kwani CCM tayari wameanza mapema kabisa. Suala la uchukuaji fomu ndio lifanyike...
  20. Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama! Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi sasa imeanza kupendeza hasa majiji yetu! Nimepita Posta mpya leo na Kweli nimeiona Posta niliyoijua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…