kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Uchaguzi 2020 Membe hajafanya kampeni lakini kawa namba 3, CHADEMA nendeni na Benard Kamilus Membe mwaka 2025!

    Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA. Napendekeza uchaguzi wa 2025 CHADEMA waende na Membe wanaweza kuambulia hata wabunge kadhaa wa kuchaguliwa. Membe ni wa...
  2. Uchaguzi 2020 Sisi Watanzania tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

    Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa...
  3. Burkina Faso yaanza Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa November 22

    Rais wa Burkina Faso Roch Marc Chrstian Kabore, amezindua kampeni yake ya kugombea mhula mwingine madarakani, akiahidi kuimarisha usalama na amani nchini humo. Burkina Faso imekuwa ikikumbwa na mashambulizi kutoka kwa makundi ya wapiganaji kwa mda wa miaka mitano sasa. Akihutubia wafuasi wake...
  4. T

    Uchaguzi 2020 Hongera Dkt. Magufuli kwa ushindi wa kishindo. Tuliyoyaona kwenye kampeni tujifunze

    Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza majukumu ya Urais. Niwashukuru pia wananchi kwa kukuamini na kukupatia awamu ya pili ya miaka mitano...
  5. Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kwenye kampeni zako ulimkumbusha Rais Magufuli juu ya ahadi yake aliyoitoa Singida kuitekeleza kabla ya 2020, amekusikia ametekeleza

    Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa atatumia njia gani, wengine walivyoona watu wanahudhuria mikutano ya kampeni ya upinzani walibeza kuwa...
  6. Uchaguzi 2020 Aliyoyatamka kwenye kampeni yote yametimia, kwanini asiapishwe?

    Wakati wa kampeni Magufuli alisikika akisema, nileteeni diwani na mbunge wa CCM, alikua na uhakika wa ushindi wake. Yale aliyosema yote yametimia. Majimbo karibu yote ya Tanzania yame pata diwani, mbunge na Magufuli wa CCM. Ni kwanini tupate tabu tena kuhangaika na uchaguzi 2025. Hizi pesa...
  7. Uchaguzi 2020 Maana halisi ya "Hata tusipofanya kampeni tutashinda" ndio hii

    Niliandika makala kadhaa hapa nikaonekana chizi, mara CCM, kumbe sina hata chama. Mm niliacha siasa baada ya Lowassa kukubali matokeo, bila action wala tamko wakati 2015 Watanzania walikua tayari kwa lolote. Miaka 5 imepita JPM kajitahidi kurudisha mioyo ya watu na kufanya mengi watu...
  8. Uchaguzi 2020 Hivi CHADEMA walikuwa wanawaambia nini Wananchi wakati wa kampeni?

    Wadau, amani iwe kwenu. Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili tuendeshe chama kisayansi na kuendesha kampeni kisasa na bila jasho. Kwenye kampeni zetu wagombea wetu...
  9. M

    Uchaguzi 2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

    Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM. Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya...
  10. Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  11. Uchaguzi 2020 Dkt. John Pombe Magufuli, Adv. Tundu Antipas Lissu, Maalim Seif Sharif Hamadi, Dkt Hessein Ally Mwinyi na wagombea wengine - hongereni kwa kampeni

    Waheshimiwa:- Dkt. John Pombe Magufuli Adv Tundu Antipas Lissu Maalim Seif Sharif Hamadi Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na Wengine - Salaam za 28/10/2020!!! Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa, maendeleo na maridhiano nimeandika uzi huu kwa ajili ya kuwapongeza sana sana kwa kushiriki kampeni za...
  12. Uchaguzi 2020 Pongezi nyingi sana kwa Lissu, Mkewe, Uongozi wa CHADEMA na Watanzania walioshiriki kwenye kampeni za CHADEMA

    Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Lissu kwa kampeni zake za hali ya juu na zilizokuwa na mahudhurio makubwa sana kila kona ya Nchi yetu uliyopita. Lugha zako za upendo ulizotumia na kutugusa mamilioni ya Watanzania Wazee, vijana na hata watoto. Ulikutana na vikwazo vya aina mbali mbali...
  13. Uchaguzi 2020 Sugu atikisa Soko la Mitumba Soweto, ni katika ziara ya mwisho kabla ya kufunga kampeni

    Hii ndio habari mpya inayozunguka Mjini Mbeya kwa sasa
  14. Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% , Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
  15. Uchaguzi 2020 Ni sawa Tanzania kuwa na idadi ya wapiga kura milioni 29 mwaka huu?

    Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo. Idadi ya wapiga kura walioandishwa mwaka 2015 ilikuwa ni 23,161,440 (22,658247 kwa Tanzania bara na 503193 kwa Zanzibar)...
  16. K

    Uchaguzi 2020 Kwenye Mkutano wa kufunga Kampeni wagombea watuambie mambo haya

    Kesho ni finally ya kampeni za Urais, hivyo ningependa kusikia hasa kutoka kwa Mh. Lissu na hata wagombea wengine wa upinza. Kwanza ainishe changamoto chache zilizopo na hapo hapo namna gani atazitatua changamoto hizo. Takwimu zitaboresha speech 1. Sheria kandamizi: akiwa Rais no Sheria zipo...
  17. Uchaguzi 2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

    Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam, Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo. Tarehe 28/10/2020 ni siku ya kupiga kura ya kurejesha Uhuru uliopotea tangu awamu ya tano iingie madarakani miaka mitano...
  18. Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

    CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia. Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa...
  19. Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

    Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na kampeni ya kuomba kura za kishindo kwenye baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro na Tanga. Kama kawaida yetu...
  20. Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: CCM imefanya kampeni za kistaarabu

    Wakati kampeni za uchaguzi Mkuu zikielekea ukingoni Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali amesema chama chake kimefanya kampeni za kisasa na kistaarabu. Dk Bashiru amesema licha ya mikutano ya chama hicho kufurika watu wengi haikuwa ya ghadhabu na hasira bali upendo na furaha vilitawala. Amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…