Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020.
Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba...