kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Baada ya kuona Mbowe anapigiwa kampeni na machawa wa CCM, naona Lissu ni mgombea sahihi kwa sasa

    Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini. Nimegundua CCM inahofu kubwa...
  2. comte

    Kampeni za Harris Kamala zimetuonyesha nani wa kuongea naye wakati wa kampeni

    “There’s just no value — with respect to my colleagues in the mainstream press — in a general election, to speaking to The New York Times or speaking to The Washington Post, because those [readers] are already with us,” deputy campaign manager Rob Flaherty said during an extensive interview with...
  3. Upekuzi101

    Usidanganye wananchi wa Arusha kwenye kampeni kisa unataka uongozi

    Kama una mpango wa kugombea nafasi yoyote ya uongozi Arusha, kuwa mkweli na usipange kudanganya maana wananchi wa Arusha wameshachoka siasa za kijinga na uongo wa wana siasa. Kama una nia thabiti ya kuleta maendeleo basi karibu Arusha, omba uongozi utapewa, vinginevyo utadhalilika.
  4. T

    Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  5. M24 Headquarters-Kigali

    Timu ya kampeni Prof. Janabi WHO ijumuishe wataalamu wenye uzoefu

    Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono. PIA SOMA - Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO
  6. Roving Journalist

    Polisi Kinondoni yazindua Kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Jijinsia, yataja waliofungwa maisha kwa makosa ya ukatili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni umefanya uzinduzi wa Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambao umebeba kauli mbiu isemayo Kuelekea Miaka thelathini ya Beijing Chagua kutokomeza Ukatili wa Kijinsia. Akizindua kampeni hiyo leo Disemba 06, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni...
  7. M

    Kwanini kuna mgawanyiko katika Ligi ya Premia kuhusu uungaji mkono wa kampeni ya wapenzi wa jinsi moja?

    Kwanini kuna mgawanyiko katika Ligi ya Premia kuhusu uungaji mkono wa kampeni ya wapenzi wa jinsi moja? Uamuzi wa nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy wa kutovaa jezi ya upinde wa mvua kuunga mkono kampeni ya kuunga mkono haki za wapenzi wa jinsi moja na jamii ya LGBTQ+ ya Rainbow Laces ya Ligi...
  8. Roving Journalist

    Zanzibar: Kampeni ya kupinga ukatili na udhalilishaji kwa Watoto, Wazee na Wanawake kuanza Desemba 14, 2024

    Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni Mboni Yangu imesogezwa mbele na kutarajiwa kuanza Desemba 14, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa kushirikiana na Taasisi ya Ndoto Ajira. Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto...
  9. M

    LGE2024 CCM MAGENIUS? Sijasikia wamepata misukosuko kwenye kipindi hiki cha uchaguzi

    Naomba kujua tu 1. Sijaona kupata msuko msuko kwa vyombo vya dola wakati wa kampeni 2. Sijasikia kuenguliwa kwa wagombea wake 3. Sijasikia kupata msuko msuko kwa wakala wake Hii tofauti na vyama vya upinzani, naomba kujua hawa ni Genius? 100% perfect PIA SOMA - Kuelekea 2025 - LGE2024 -...
  10. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Balozi Nchimbi Ahitimisha Kampeni Akihamasisha Watanzania Kujitokeza Kupiga Kura

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM mkoani Dar es Salaam kwa kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Jumatano, tarehe 27 Novemba 2024, kuchagua viongozi, hususan...
  11. Suley2019

    LGE2024 Kampeni za uchaguzi huu ni kama unasikiliza taarabu, zimejaa mipasho mwanzo mwisho!

    Salaam ndugu zangu Wanasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure, katika harakati zangu za mtu mweusi ndani ya hizi siku mbili nimejikuta nakumbana na Wagombea kadhaa wa Chama cha Mapinduzi na CHADEMA, Nilidhani kwamba kampeni hizi zitahusisha sera za Wagombea kuwaeleza nini hasa Watafanya ili...
  12. Waufukweni

    LGE2024 Mongella ahitimisha Kampeni za CCM Shinyanga kwa maandamano ya hamasa

    Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu. Sambamba na hilo Mongella ameongoza maandamano makubwa kutoka ofisi za CCM, Mkoa hadi kata ya Kitangili kuhamasisha wananchi...
  13. Waufukweni

    LGE2024 Kigoma: Mgombea Uenyekiti kupitia ACT Wazalndo ajitangaza mshindi kabla ya Uchaguzi akihitimisha kampeni

    Waguu Mgombea wa Uenyekiti kupitia Chama cha ACT Wazalendo huko Kigoma amejitangaza kuwa ni mshindi kabla ya Uchaguzi wakati wa kuhitimisha Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
  14. Mindyou

    LGE2024 Tundu Lissu anazungumza kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ikungi Singida

    Wakuu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019...
  15. Waufukweni

    LGE2024 Kigoma Yafurika, Umati wajitokeza kuhitimisha Kampeni za Zitto Kabwe na Chama Chake

    https://www.youtube.com/watch?v=yAJUwVQvbUo
  16. Waufukweni

    LGE2024 Eric Shigongo afanya kampeni ya nyumba kwa nyumba Kata ya Irenza

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni ya kupita nyumba kwa nyumba katika Kata ya Irenza, Buchosa kuomba kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024 nchi nzima. Soma pia: Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa...
  17. K

    LGE2024 Naweka kumbukumbu sawa: mtaani kwenye Kampeni za Upinzani wahudhuriaji walikuwa 15 tu

    Ikiwa imebaki siku moja kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa tarehe 27.11.2024 ,naweka kumbukumbu sawa Ili usiwepo upotoshaji wakati wa kutangaza washindi. Tukumbuke kuwa: Mtaani ninapoishi watu ni waelewa na wafuatiliaji wazuri wa siasa. Watu wanaamini siasa ni maisha...
  18. BigTall

    LGE2024 Dkt. Stergomena Tax: Msiridhike na shamrashamra za Kampeni na mafuriko ya Mikutano, kapigeni kura

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 25 Novemba 2024, ameshiriki Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya Magu, kwa kuwanadi na kuwaombea kura Wagombea wa nafasi za Wenyeviti wa Vitongoji, Mitaa, pamoja na...
  19. Waufukweni

    LGE2024 Mussa Zungu ajitosa kampeni za Mtaa kwa Mtaa, awaombea Kura Wagombea CCM, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mussa Azzan Zungu, ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, ameendelea na kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Upanga Magharibi, jijini Dar es Salaam. Amengia kuogea na wananchi mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba, Zungu amewanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
  20. N

    Kampeni ya Kitaa Fest yahitimishwa kwa kishindo jijini Dar

    Mpishi maarufu kutoka Kenya, Dennis Ombachi akimuelekeza Jonathan Jooste, Kaimu Meneja Mkuu wa Coca-Cola Kwanza namna ya kupika Chicken wings wakati wa hafla ya kufunga mwaka la Kitaa Food Fest lililofanyika siku ya jumamosi jijini Dar. Dar es Salaam, Novemba 24, 2024. Tamasha la Chakula la...
Back
Top Bottom