Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).
Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo:
1. Elewa Sheria na Taratibu za Uchaguzi
Soma na kuelewa Sheria ya Uchaguzi wa Tanzania, kanuni za NEC (Tume ya Taifa ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na masuala mbalimbali ya kijamii mkoani Mtwara la Faidika Wote Pamoja (FAWOPA), Baltazar Komba amewataka wanaume kuelewa juhudi zinazofanywa na serikali na wadau mbalimbali za kuwawezesha wanawake kupata nafasi za kugombea...
Jana nilikwenda kumsalimia ndugu yangu Kibamba nikasikia kwenye gari la kampeni za uchaguzi serikali za mitaa gari lilikuwa la chadema.
Kuna baadhi ya chenja wametohoa na wanazipiga katika gari lao la mikutano.
Nilisikitika maana naona ni kama kutaka kuleta mambo ya siasa kwenye majeshi yetu...
Wakuu
Katika tukio la kipekee Afisa wa jeshi la Polisi alijikuta akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa chama chake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, katika kijiji cha Nyankwi kata ya Busunzu, jimbo la...
Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Mhoja, ametoa taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi ulio karibu kufanyika. Akizungumza na waandishi wa habari, Mhoja amesema kuwa hali ya utulivu inaendelea kutawala katika mji huo na kwamba kampeni za uchaguzi zinaendelea kama...
Ninajaribu kudadisi kuona namna CCM inavyoendesha kampeni zake.
Naona hazina Mvuto. Nimejaribu kuangalia kwenye magroup ya wasapu kimya kingi.
Nafatilia mtaani wengi wanasubiri kupewa chochote.. wafia chama wamepungua Sana.
CCM embu changamkeni Ili kampeni zichangamke.
Au komba kakosa...
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika baada ya Tundu Lissu na John Pambalu kumaliza mkutano, wawasindikiza Lissu na Pambalu kwa maandamano hadi hotelini walikofikia, Pambalu atoa neno la shukrani.
CCM ITAHESHIMU RATIBA YA MIKUTANO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho katika kipindi chote Cha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kitaheshimu ratiba ya mikutano...
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa za Chama chake huko Arusha.
Lema kwa Ufupi amewaambia Wananchi wasiichague ccm na...
Naibu katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania Bara ndg. John Mongella amewataka wanachama wote wa CCM washiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora watakao kuwa watatuzi sahihi wa shida zao na sio kujinufanisha binafsi, sambamba na hilo alipata wasaa wa...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara.
Soma, Pia:
MARA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
Special...
Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara na mwanasiasa mashuhuri, amepokelewa kwa shangwe na hamasa kubwa mkoani Mara wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi huu muhimu. Uzinduzi wa kampeni hizi umefanyika katika kijiji cha Dutwa, Wilaya ya...
Wanabodi,
Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa?
Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
Wakuu
Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena.
Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo Novemba 20 katika Kata ya Mikumi na Kata ya Ruaha.
Pia, Soma:
• Morogoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.