Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).
Kuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila mtoto wa Leo atakuwa Samiah wa Kesho?.
Je, ni kweli kila mtoto anataka kuwa Kama Samiah? Je wawe...
Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...
DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan.
Nandy aliyekuja kuzungumzia tamasha lake litakalofanyika Mwanza kesho, alikuwa amevaa ushungi mweusi...
Kwa Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake, wala haihitaji akili nyingi wala 'D' mbili kuweza kutambua jinsi nchi ilivyorudi nyuma tangu awamu hii iingie madarakani. Tukiacha suala lililopo mezani la utekaji na mauaji makubwa ya kutisha linalopelekea raia na watanzania kuishi kwa hofu na...
Freeman Mbowe ni mwanasiasa mtulivu, mwenye werevu na uvumilivu mkubwa sana. Hadi imefika Mbowe anaamua kuwa Samia Must Go, basi ujue kwa kweli mambo hayaendi vizuri katika nchi hii na kuna tatizo kubwa mno.
Pamoja na kwamba uvumilivu ni jambo jema sana kila wakati, kuna mahali inafika hata...
Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (Kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa mshindi wa mwezi wa kampeni ya Ni Balaa! Amina Gwila mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha Tawi la Dodoma mwishoni mwa wiki katika hafla iliyofanyika duka la Vodacom jijini...
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini?
Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi?
Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo?
Najiuliza tamasha hili nani anafadhili?
Limejaa watumishi wa Mkoa wa Mwanza nadhani ndiyo wameanzia mwanza ila hii CHALLENGE inaenda mikoa YOTE!
Walimu hawajaachwa nyuma. wana kwaya nzuri sana.
Kuna waimba mashairi na wacheza ngoma.
Je, mfadhili ni nani? Nilishuhudia mwaka 2015 Lowasa...
Rais Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa wakuu wa nchi watakaoshiriki uzinduzi wa kampeni za uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), unaowaniwa na Raila Odinga.
Ushiriki wa Rais Samia katika kampeni hiyo ni baada ya kualikwa na Rais wa Kenya, William Ruto kwenda katika taifa hilo kwa...
Haya wale Machawa wake Gegedo mlioko hapa JamiiForums njooni mnijibu ili nami nikaombe msaada kwani Nimeibiwa Mbuzi wangu kutokea Zizini Kwangu hapa Tanzania Bara na Mwizi kasepa / kaenda nao kwenda Paje Kizimkazi Zanzibar ili akawauze kwa Waarabu.
Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma.
Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma.
Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
Chadema apange safu ya kuzunguka kijiji kwa kijiji kama ifuatavyo
1. Singida na Dodoma- Tundu Kisu
2. Tanga, Pwani na DAR es salaam- Freeman Mbowe
3. Mwanza na Mara -John Heche
4. Lindi na Mtwara Dr. Slaa
5. Arusha na Kilimanjaro Godbles Lena
6. Morogoro na Iringa John Mnyika na Mwabukusi
7...
Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.
Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao;
1. Achana na kampeni kabla ya muda.
Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa...
Video kutoka kwa Mohamed Dewji "MO"
Mwezi uliopita, tulizindua kampeni ya kuongeza ukusanyaji wa chupa za rangi. Tulikusanya tani 21 za chupa nyeusi kwa ajili ya kuchakata!
MeTL ni fahari kuwa mwanachama wa Petpro, shirika la wajibu wa ziada za wazalishaji wa chupa za PET kwa ajili ya...
Tulidanganywa sana
1. Eti kuna mtu alikuwa akipata mil 7 kwa sekunde kupitia EFD
2. Eti nchi inajenga miundombinu kwa hela za ndani wakati mikopo inakopwa kimyakimya
3. Eti tumeingia uchumi wa kati wakati ilikuwa uongo kabisa.
4. Kuna ajira elfu 13 zilitangazwa kwa mbwembwe sana kumbe...
Hivi hizi kampeni za upandaji miti huwa ni usanii au kitu gani? Maana unakuta baada ya zoez Hilo hakuna mwendelezo Wala ufuatiliaji. Korea/Seoul miti kila pahala. Sisi yupo bize na kukopwa tu
Nimekuwa nikiona Wanaume wakilalamika kwamba Masuala ya Ufeminia yamekuwa yakiwaacha nyuma kwa kutoa kipaumbele kwa Wanawake na Wasichana na kumsahau Mtoto wa Kiume
Mimi ningetamani kufahamu Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.