kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Nsanzagee

    Pre GE2025 Kwa kuwa CHADEMA ndio chama kikuu, nashauri kampeni zake ziwe kama za Kiinjilisiti

    Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
  2. Venus Star

    Pre GE2025 Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia - Singida, 10 Januari, 2024

    Kampeni hii ni mahususi kwaajili ya kuwafikia na kutoa msaada wa kisheria kwa Wananchi wote buree, Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya kisheria na kusikiliza migogoro yote ya kisheria ikiwa ni pamoja na mirathi, ardhi, ndoa na usajili pamoja na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na mengineyo kwa...
  3. Venus Star

    Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia

    KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI? Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa...
  4. D

    Huu ni mwaka wa uwekezaji-TIC

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania,TIC kimezindua kampeni yake maalum ya kuhamasisha uwekezaji nchini. Kampeni hiyo imezinduliwa leo katika mkoa wa Mwanza na Mtendaji Mkuu wa Kituo hicho Bw. Gilead Teri na inalenga kufikia mikoa 15 nchini. Akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha Clouds Tv...
  5. Venus Star

    Pre GE2025 Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Kampeni - Singida Januari 10, 2024

    UZINDUZI WA MAMA SAMIA LEGAL AID KAMPENI - SINGIDA Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya kisheria na kusikiliza migogoro yote ya kisheria ikiwa ni pampja na mirathi, ardhi, ndoa na usajili pamoja na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na mengineyo kwa Wananchi wote pasipo gharama yoyote. Mgeni...
  6. R

    Pre GE2025 Dr. Slaa: Ni dhahiri Milioni 150 zilizotolewa na Rais Samia zimeingia kwa sura ya kampeni, anayebisha abishe!

    Kwenda kwenye ujenzi wa kanisa moja na kutoa milioni 150 wakati wananchi wanaishi maisha magumu, milioni 100 ingepelekwa maeneo hayo ya Moshi bei ya chakula ikashuka, ingesaidia maelefu, hii ndio kazi ya fedha za umma. Fedha hizi zinazotapanywa namna hii zinaingia kwa sura ya kampeni kama...
  7. and 300

    Chanjo ya COVID-19 mbona sisikii kampeni tena?

    Lile dili la kuchanja watu nchi nzima limeishia wapi? Maafisa, wameshakula pesa zao na kununua Apartments Dubai, wamesizi wanasikilizia mchongo mwingine? Aisee mjini mipango!
  8. Jaji Mfawidhi

    CCM imeanza kampeni uchaguzi 2025. Jokate amuombea kura Samia, apiga magoti

    Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa Katibu Mkuu wa...
  9. William Mshumbusi

    Kama Benchika ni kocha mzuri kampeni za nini? Acheni timu ijieleze na hana ubora wa kumpiga benchi Chama. Washabiki tumechoka kuvumilia

    Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu. Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi. Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama akiendelea kunyanyasika kama hajawahi kuifanyia lolote Simba. Kama sio mtu aliyeirudisha Simba makundi...
  10. JanguKamaJangu

    Taifa Stars chini ya TFF yaunga mkono Kampeni ya 'Piga Mpira Usipige Mwanamke'

    Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ chini ya uongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) wanaunga mkono Kampeni ya PIGA MPIRA SIO MWANAMKE. Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali THAMANI WOMEN TANZANIA (thamani.tz) inaendesha kampeni hiyo ya kupaaza sauti dhidi ya ukatili kwa wanawake na...
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    Nani yupo nyuma ya kampeni ya kumchafua Chongolo?

    “Wana CCM hatuaminiani ndio maana ukiacha glass ya maji ukatoka nje ukirudi huwezi kuinywa” - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga. Nimeanza kumnukuu aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm, Mzee Kikwete kuhusu hali ya kutoaminiana baina ya wanachama wa chama hiko. Huko katika mtandao wa X zamani twitter...
  12. Erythrocyte

    Mbarali: Kampeni ya kuifuta CCM yafika vijiji visivyofikika , Liberatus Mwang'ombe aongoza kikosi cha ufutaji

    Hali ndio kama mnavyoiona Aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali kwa tiketi ya Chadema, ndugu Liberatus ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu wanachoendelea kukifanya huko katika kusajili wanachama kidigitali. Ameandika "Hii ni kata ya Miyombweni, Mbarali. Unaendesha barabara...
  13. sky soldier

    Bilioni 2.15 za tigo, Mwana Fa huenda alizitumia kuingia kwenye siasa, Ay kawekeza wapi?

    Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
  14. BARD AI

    Kampeni za Uchaguzi zimeanza DRC, Fomu ya Urais Tsh. Milioni 150

    Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wagombea urais wanatakiwa kuonyesha risiti ya malipo ya faranga za Congo milioni 160, sawa na zaidi ya Sh150.3 milioni kama ada zisizorejeshwa kwa Tume Huru ya...
  15. Mohamed Said

    Bibi. Titi Memorial Festival Ikwiriri Rufiji: Kampeni ya Kumtoa Jomo Kenyatta Kifungoni

    https://youtu.be/EGlJS8PwzoA BIBI TITI MEMORIAL FESTIVAL IKWIRIRI RUFIJI 27 NOVEMBER - 2 DECEMBER 2023 DONDOO KATIKA MAISHA YA BIBI TITI Msukumo mkubwa nchini Kenya ilikuwa kufanya kampeni ya nchi nzima kuwashinikiza Waingereza wamwachie huru Kenyatta aliyekuwa akichukuliwa na wananchi wote...
  16. R

    Natoa wito kwa Watanzania kumuunga mkono Prof. Jay katika kampeni ya kumpata fedha za kuhudumia wagonjwa wa figo

    Nitoe pole kwa Prof. Jay kwa machungu aliyopitia kipindi chote cha ugonjwa. Ninashukuru mwenyenzi Mungu kwa kuzidi kumpa nguvu na afya yakumtumikia. Nimpongeze pia Prof. Jay kwa kuona upo umuhimu wa kuwa na foundation itakayosupport wagonjwa wa figo. Hii ni vision nzuri na nia njema kwetu ambao...
  17. R

    Kuna kampeni ya kuua Tembo na wanyama pori inaanzishwa taratibu kwa kauli mbiu " Tembo/wanyama siyo bora kuliko binadamu"

    Ndugu zangu watanzania tuwe makini na wanasiasa hasa kipindi cha uchaguzi. Tuliona namna wanasiasa wa kanda ya ziwa walivyopambana kushangilia uvuvi haramu wakidai ziwa ni mali yao na wapo tayari libaiki kama swimming pool . Kauli hizi walizitoa wakitaka watu wavue bila kudhibitiwa na...
  18. T

    Je, CCM wameanza kampeni za uchaguzi wa 2025?

    Wanajamvi Nauliza iwapo kampeni zimeanza, maana ninachokiona kwa CCM ni kama wameanza mapema mno bila vyama vingine kushtukia. Mifano na viashiria ni vingi lakini leo nitazungumzia ziara ya kufunga mbio za Mwenge Manyara zilivyoombatana na wasanii wa ‘Mama ongea na Mwanao’. Hii imekaaje?
  19. GENTAMYCINE

    Kumbe Mzururo wetu wa Bombay ni Kutunukiwa PhD ili ije kutusaidia Kutamba nayo kwa 'Mazuzu' Jukwaani katika Kampeni ya 2025?

    Na ni matumaini yetu tutaitumia Ziara hii pia kuweza Kutibu tatizo letu Kubwa la Kifua na Upumuaji ikizingatiwa kuwa akina Panjuani na Samjo wa Bombay Kiasili ni Wataalam mno wa Kutibu Changamoto hiyo tofauti na kule Marekani na Canada ambako tulikuwa tukienda sana. Halafu awali tuliambiwa ni...
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kampeni kabla ya NEC kutangaza uchaguzi ni uchuro na kuwakosea wananchi

    Nawaandikia wanachama wenzangu wa ccm popote pale mlipo! Kuna ka tabia kame zuka ka hovyo sana ka kuwapigia kampeni viongozi waliopo kabla ya muda wa uchaguzi wakati bado hawajatimiza KAZI waliotumwa na chama kupitia ilani yetu,Tabia hii huwatoa viongozi kwenye Reli na kuanza kufikiria uchaguzi...
Back
Top Bottom