kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Zambia: Edgar Lungu apigwa marufuku kufanya mazoezi hadharani akidaiwa kuendesha Kampeni

    Jeshi la Polisi limemuonya Edgar Lungu kutokana na utaratibu wake wa kufanya matamasha ya Mazoezi hadharani huku likieleza kuwa Kiongozi huyo amekuwa akitumia matamasha hayo kuendesha ajenda za Kisiasa. Taarifa ya Polisi imesema Lungu amekuwa akiambatana na wajumbe wa Chama chake cha Patriotic...
  2. econonist

    Hizi ni ziara za Rais au ni kampeni za uchaguzi?

    Nimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi. Sababu zangu ni zifuatazo: 1. Sababu ya kwanza, Kila anayesimama anampigia debe Rais kana kwamba ni mkutano...
  3. Ambassador David Richard

    Mfanyabiashara wa kitanzania, David Richard ateuliwa kuwa balozi na kuwavutia wawekezaji kupitia kampeni ya #chaguatanzania

    Tarehe; 12 Septemba 2023 Mahali; ARUSHA Katika hatua ya kusisimua kwa jamii ya biashara ya Tanzania, David Richard, mfanyabiashara maarufu, ameteuliwa kuwa Balozi wa Mtandao wa Biashara wa Kikristo wa Afrika (PACBN). Uteuzi huu utamwona akiiwakilisha taasisi hiyo katika eneo la Afrika...
  4. R

    Mbarali wamegoma kumsupport Mizengo Pinda uzinduzi wa kampeni za Ubunge

    Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa: Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Kampeni ya kutowahonga wanawake inawanufaisha wanawake wenye vipato na kuwaumiza walalahoi na fukara

    Jumapili iko Pouwa bila Shaka! Kampeni inayoendelea Kwa Vijana isemayo "linda kibunda chako" inaratibiwa Kwa kificho na Wanawake wenye vipato au wenye kazi za kuajiriwa. Wakati nipo chuo nilibahatika kukutana na Wanawake wenye uwezo WA kiuchumi na wenye kazi zenye Mishahara mizuri. Mara Kwa...
  6. Ambassador David Richard

    David Richard aanzisha kampeni ya #CHAGUA-TANZANIA: Kuifanya Tanzania kuwa mahali pa Uwekezaji wa kuvutia

    Tanzania, nchi iliyoko Afrika Mashariki, imekuwa ikitambuliwa kama mojawapo ya maeneo ya uwekezaji yenye fursa nyingi barani Afrika. Hii ni kutokana na rasilimali zake tajiri, mazingira mazuri ya biashara, na ukuaji wa uchumi ulioendelea. Sasa, David Richard, mfanyabiashara mwenye tajriba na...
  7. R

    Kampeni ya rudisha kadi za CCM fukuza DC inaratibiwa ndani au nje ya chama?

    Huduma zimekwama kwenye halmashauri, wenyeviti wa vijiji viongozi wa kata hadi wilaya wapo ofisini hakuna anayekwenda kutatua kero za wananchi. Viongozi wengi wa vijiji awakuchaguliwa na wananchi bali walipitishwa kinyemela 2019. Leo hii badala yakuhudumia wananch wanajihudumia. Hali hiyo pia...
  8. Mganguzi

    Wananchi wamewapuuza wapinzani wa Samia. 2025 hata CCM wasipofanya kampeni Samia atashinda kwa kishindo

    Eleweni hili na ikiwezekana msipoteze muda kuweka Wagombea akina Lissu na Msigwa sijui na yule wa Tarime au Mbowe mwenyewe. Labda mkatafute mgombea kutoka CCM, tutawaazima hata yeyote mnaemtaka ili angalau mthubutu lakini kwa wapinzani hawa nao wajua majina yao hakuna mwenye uwezo wa kushika...
  9. The Shah of Tanganyika

    Waarabu wanaendelea na kampeni ya kuteketeza waafrika weusi huko Darfur

    Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao. Nionavyo mimi, ni muda tu hawa watu watatugeuka na kuanza kuendesha kampeni ya kutuangamiza ili wabakie...
  10. JanguKamaJangu

    Ecuador: Mgombea Urais auawa kwa kupigwa risasi

    Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito. Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani...
  11. U

    Najitolea kwa hiari na upendo mkubwa kumpigia kampeni Rais Samia aendelee kuongoza awamu ijayo

    Ndiyo ndugu zangu Watanzania, naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti mbele yenu. Ni kwa sababu za kiuzalendo, upendo wadhati, hekima niliyonayo, uelewa mkubwa nilionao, na kutambua Mchango, uwezo na weledi mkubwa mkubwa alionao Rais wetu mpendwa Najitolea kumpigia kampeni Mama Samia aendelee...
  12. H

    DPW na "Madongoism investment" in Tanzania yaani; CCM, Bunge, na Serikali ni kama DPW na DPW ni kama CCM, BUnge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  13. S

    Fedha anazotumia Tulia kwenye kampeni zinatoka wapi?

    Fedha anazotumia Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson kwa ajili ya kampeni ya kuzunguka dunia nzima ili achaguliwe Urais wa Spika wa Bunge la Dunia anazitoa wapi. Ni muda mrefu sasa Spika yuko nje ya nchi na jopo lake la wapambe kumuombea kura nchi mbalimbali kwa gharama za nani? .
  14. Pfizer

    Kampeni ya Rais Samia ya msaada wa kisheria kuleta usawa nchini

    Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Sarah Mwaipopo ameiwakilisha Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango mjini Songea yenye kauli Mbiu isemayo...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Kampeni ya Kili Challenge 2023 kuchochea malengo ya kuzifikia sifuri tatu

    Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya Virusi Vya UKIMWI ambapo mwaka huu mpya wa fedha wa 2023/2024 zimetengwa fedha nyingi zaidi kuhakikisha kila Wizara na Taasisi ya Umma zinawezeshwa katika mapambano hayo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...
  16. BARD AI

    Kanye West akosa michango ya Kampeni za Urais, huenda akajiondoa kabisa

    Kwa mujibu wa taarifa za Tume ya Uchaguzi ya Marekani (FEC), Rapa huyo aliyetangaza nia ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024, hadi sasa akaunti yake ya Kampeni ina salio Tsh. 55,985,680 tu. Pia, imeelezwa kuwa Kanye ametumia zaidi ya Tsh. 4,868,320,000 katika shughuli mbalimbali...
  17. Kilimbatzz

    Naanzisha kampeni na programu ya kumlinda na kumhifadhi(protect) mwanamke mweusi anayeelekea kupotea duniani

    Mwanadamu tangu kuumbwa kwake Kwa kudhamiria au bahati mbaya ameshaharibu viumbe wengi amabao Kwa sasa hawapo kabisa(extinct) Mifano ipo mingi,nikihamua kuiandika hapa nitaijaza JamiiForums nzima Karma ya kuangamiza viumbe wengine sasa imemugeukia binadamu mwenyewe Mwanamke mweusi siku hizi...
  18. MGOGOHALISI

    Tetesi: Imejulikana, CCM wanategemea kupewa hela za kampeni uchaguzi ujao Toka DPW.

    Mara nyingi CCM hutegemea pesa za uchaguzi Toka kwa matajiri Ambao huzawadiwa rasilimali zetu kiholela. Wakati huu imekua ni zamu ya DPW ndio maana inatetewa kwa nguvu zote. Bibi tozo amehakikishiwa mpunga mrefu wa kampeni kwa chama chake ili waendelee kukaa madarakani na kuwalinda hawa...
  19. Stephano Mgendanyi

    Kampeni za Uchaguzi wa Diwani Kata ya Magubike Kilosa

    MBUNGE NORAH MZERU ASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA MAGUBIKE WILAYA YA KILOSA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa Diwani Kata ya Magubike Wilaya ya Kilosa. "Nimesimama hapa kumuombea...
  20. T

    2025 Kampeni zake itakuwa, Nipeni kura nikarudishe nchi mikononi mwenu, huku ni kusema ccm imeturudisha utumwani!

    Tulizoea kuona kila chama kikija na mikakati ya kuboresha maisha ya watanzania, ya kuwatoa mahali walipo na kuwasogeza pahala! Kwa sasa jambo kubwa kabisa ambalo litakuwa kuanza kuzungumziwa kwenye Kampeni za 2025, itakuwa ni hilo ndipo yafuate mengine, Hii ni sawa na kusema! Ccm imetuuza...
Back
Top Bottom