kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Dhuluma na wizi unaofanywa na kampuni zinazokopesha bodaboda (pikipiki)

    Habari wana jamvi. Kuna baadhi ya KAMPUNI za kukopesha BODABODA (mkihitaji sana nitaitaja) kuna tabia ya DHULUMA, utapeli au UWIZI naweza sema inafanya kwa vijana wa tanzania. Kila kijana anaye kopa PIKIPIKI kwenye hizo KAMPUNI pale anapo maliza deni, watu 9 kati ya kumi ambao nimekutana nao...
  2. Kampuni ya Elon Musk yapandikiza kifaa kwenye ubongo wa binadamu

    Bilionea wa kiteknolojia Elon Musk amesema kwa mara ya kwanza kampuni yake ya Neuralink imefanikiwa kupandikiza kifaa maalum cha elektroniki kwenye Ubongo wa binadamu kisichotumia nyaya. Inatarajiwa kuwa kifaa hicho kuwa kiunganishi cha ubongo na kitawasaidia watu waliopooza viungo vyote...
  3. Kampuni ipi ya kuandaa Movie inakukosha?

    Kwa wapenzi wakuangalia Movies, ni Kampuni gani kati ya hizi ukiiona kwenye movie unakuwa na hamu ya kuangalia hiyo Movie. Mimi ni WB (Warner Bros) Boqin Naomba ubadilishe Thread Title isomeke "Kampuni ipi ya usambazaji Movie inakukosha?
  4. TCRA mnawezaje kutoa mamlaka kwa kampuni kuingilia mawasiliano ya mtu?

    Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo kwenye sm yako na ambazo ukuwapa hapa mchawi nani. Kampuni ya sm au TCRA maana tumeshahisi hakuna...
  5. Kwenye kampuni/ biashara binafsi ni heri ufanye kazi kwa Muhindi, Muarabu, Mchina ama Mbongo mwenzako?

    Kiwango cha malipo chenye afadhali kulingana na mzigo unaopiga Muda wa kupumzika Uvumilivu/ Tolerance wa kufanya makosa Uhuru wa kufanya mambo yako kwa kiasi uwapo kazini Job Security
  6. Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

    Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100. Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea...
  7. Viongozi wa kampuni ya Prezzdar washtakiwa kwa ubadhilifu na uchepushaji

    Shauri la Uhujumu Uchumi namba 1638/2024 limefunguliwa Januari 10, 2024 Jamhuri dhidi ya Bw. Edward Jonas mashenene, Anurphus Mpanju, Ronald Semtanda, Resperius Ishengoma, Desidery Falician Ndibalema na Elgidius Eldelfonce Kamugisha ambao ni Wakurugenzi na Watendaji wa kampuni ya Prezzdar...
  8. Mahakama yaamuru Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) kuilipa Puma Energy Tsh. Bilioni 30

    Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara imeiamuru Kampuni ya Yapi Merkezi Insaat Ve Sanayi kuilipa Kampuni ya Puma Energy Tanzania Ltd salio la Tsh. Bilioni 30 baada ya kusambaza mafuta ya Petroli katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR. Hakimu Deo Nangela ametoa uamuzi huo baada ya kukubali...
  9. Wafanyakazi wa kampuni ya mabasi ya KILIMANJARO wakamatwa Moshi, walishindwa kuwatafutia abiria usafiri mbadala na kujificha

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA. Chanzo gazeti la Mwananchi.
  10. Naibu Waziri wa Nishati, Kapinga akutana na Kampuni za ETDCO na TCPM

    Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Kapinga akutana na Kampuni za ETDCO na TCPM #Awaasa kusimamia majukumu yao kwa weledi na kutekeleza miradi iliyokusudiwa kwa maslahi mapana ya nchi Dar es salaam Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameziagiza Kampuni za kutengeneza Nguzo za Zege Tanzania...
  11. Kampuni za ujenzi zilivyokimbia kazi Gavao Same

    Tarura wanatangaza tender location ni kupanua barabara ya changarawe kuanzia saweni juu mpaka gavao Kabla ya kuomba kazi kampuni ya ujenzi inataenda kutembelea eneo husika ili kujirithisha sababu kuna habari za chini chini walizipata kwamba gavao hapafikiki kirahis Safari inaanza wanaenda...
  12. Kampuni za maji mnashindwa vipi kuomba udhamini mdogo wa hizi timu

    Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
  13. Timiza malengo yako ya kibiashara 2024

    Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo; 1. Kusajili Kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and article of...
  14. Naomba Ufafanuzi: Kampuni ya Puma Energies imetoa msaada kwa wananchi wa Hang lakini wananchi wanamshukuru 'mama'

    Kampuni ya Puma energies imetoa msaada wa vifaa vya ujenzi yenye thamani ya TSH 70 milioni kwa wananchi wa Hang waliokumbwa na janga la maporomoko ya udongo. Sijaelewa Logic ya hii dhana ya wananchi wa Hang kumshukuru 'mama' wakati waliotoa msaada ni Puma energies. Mama amehusikaje hapo...
  15. Hii baiskeli ilitengenezwa na Kampuni gani?

    Heri ya Chrismas wakuu. Visiting home for Christmas kula pilau kwa bimkubwa, nimekuta hii baiskeli kuna bwana mdogo—Uncle wangu yuko form one day school—ameifufua na anaitumia usafiri wa kwenda shule. Kabla ya ujio wa pikipiki hizi za kichina, Pre–2009, Baiskeli hizi zilikuwa zinatumiwa sana...
  16. Mwisho wa Enzi: Kampuni ya Toshiba yaachana na soko la hisa la Tokyo baada ya miaka 74

    Wale Wazee wa zamani watakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na wakati ambapo moja ya runinga yako, kompyuta, redio au bidhaa nyingine muhimu za kielektroniki zingetengenezwa na Toshiba. Hata hivyo, Kampuni hiyo kubwa ya Kijapani ya vifaa vya kieleteoniki ya KijapanoToshiba, iliyotawala kwa ubora...
  17. Kampuni za Logistic

    Habari za mida wadau.... Kama kuna mtu mwenye kampuni, anaefanya kazi, anaejihusisha na mambo ya usafirishaji wa mizigo kuanzia bandarini mpaka kumfikia mteja ndani na nje ya nchi including masuala yote ya clearing and forwarding za mizigo mbalimbali inayoingia nchini tafadhali naomba contacts dm.
  18. Tusaidiane kujua kampuni nzuri za uhakika kwa ajili ya bima za nyumba

    Habari. Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame. Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba...
  19. Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya Wametapeli...
  20. Kwanini nchi nyingi za Kiafrika zinaikataa Kampuni ya StarLink?

    Hivi karibuni mamlaka ya mawasiliano ya Afrika ya kusini imetoa kauli ya kuzuia uingizwaji wa vifaa vya starLink. Baada ya Afrika ya kusini Mamlaka ya mawasiliano ya Ghana nayo imepiga marufuku India ni moja ya nchi barani Asia zilizo zuia pia, Uturuki na Egypt pia. Ukiacha tetesi za CIA kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…