kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Hivi ni ujinga kiasi gani mtu anapaswa kuwa nao mpaka atume pesa kwa mtu au kampuni hewa?

    Karibu kila wiki nakutana na matapeli wa mtandao kwa style tofauti. Huwa nawaacha mpaka waone pesa hizi hapa ndipo nawachana kuwa njia zao za utapeli ni za kitoto hivyo wanapaswa wabadili njia au waache hiyo kazi haramu wamrudie Mungu. Wengi wanaishia kunitukana na kuniblock maana nakuwa...
  2. M

    Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan. Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema...
  3. Lycaon pictus

    Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

    Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Kwako mkurugenzi wa TANOIL: Fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida

    Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa kujieleza hivyo sasa tunaweza walau hata kushauri kwa uwazi hata kukosoa pia. Pili napenda kuweka...
  5. Miss Zomboko

    Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam

    Inaelezwa Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, amesema DART itasaini makubaliano Mwezi ujao na Kampuni ya Emirates National...
  6. Mjukuu wa kigogo

    Hii Kampuni ichunguzwe

    Kampuni ya usafirishaji Mabasi, New force imehusika kwenye ajari nyingi sana. Ifike kipindi mamlaka husika itueleze tatizo lipo wapi vinginevyo roho za watu zitazidi kuteketekea tu kila kukicha.
  7. kelvinvevo

    Unaweza kufungua kampuni nje ya nchi? Hatua zake zipoje?

    Habari wakubwa natumai wazima. Nilikuwa natamani kujua kama inawezekana kufungua kampuni yako nje ya nchi na hatua za kufungua nje ya nchi zinaanzia wapi? Asanteni.
  8. The Assassin

    Serikali ya Marekani yaishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko la simu kinyume cha Sheria za Ushindani

    Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili. Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na kuzuia ushindani kwenye mfumo wake wa simu(Apple ecosystems). Serikali ya Marekani inaituhumu Apple...
  9. The Assassin

    Kampuni ya tathmini ya Moody's yaipandisha daraja Tanzania kutoka B2 kwenda B1

    Kampuni ya kutoa tathmini ya nchi juu ya uwezo wake wa kukopa na kulipa madeni, credit rating agency iitwayo Moody's imeipandisha daraja nchi ya Tanzania kutoka B2 kwenda B1. Pamoja na hilo nchi yetu bado iko kwenye kundi la nchi ambazo hazitabiriki. Yaani kuikopesha na kulipwa ni bahati...
  10. Dan Zwangendaba

    Kampuni za kuuza viwanja zinaumiza wananchi, Serikali iingilie kati

    Ni jambo la kushangaza unapopita mitandaoni kukutana na matangazo ya kampuni zinajinadi kuuza viwanja vya SQM 200, 300 nk, katika maeneo mbalimbali nje ya Jiji. Tena, mbaya zaidi wanaviuza kwa vipimo vya futi. Hivi kweli tunaruhusu viwanja vya SQM 200 miaka hii? Je, haya makampuni hayana...
  11. Bata Boy Official

    Ni nani au kampuni gani iliyotengeneza App ya Cheka Plus? Ya wale jamaa wa Cheka Tu?

    Kwema bandugu? Hata sina maneno mengi kwenye hili... Kama title inanyojieleza naomba kufahamishwa ni nani au akina nani? Waliotengeneza App ya Cheka Plus? Natanguliza shukurani.
  12. Pdidy

    Wanaokamata magari yanayoharibika barabarani ni kina nani?

    Kuna mambo yanatokea watu wanakaa kimya inasikitishaa sana Kuna mradii sijui wa nani yaan gari isiaribikee njian dk 😱 wako na breakdown wanavuta gariyako Inasikitisha sana naamini manispaa mkooo mnajua hawaa watu ushauri tu waonywe waondoke kuna siku mtasikia mambo ya ajabu watanzania...
  13. Ndagullachrles

    Vinywaji feki vya Highlife maeneo ya Moshi vyatishia kampuni ya Derick Global Trading

    Kuna wimbi kubwa la usambazwaji na uuzwaji wa vinywaji feki vya Highlife katika maeneo mbalimbali ya mji wa moshi unaofanywa na wafanyabiashara wasiowaaminifu. Hatua hiyo inatishia uzalishaji na uuzwaji wa Highlife halisi inayozalishwa na kampuni ya mwekezaji mzawa, Willy Lucas Tarimo...
  14. Mkoba wa Mama

    TCRA waichunguze kampuni ya simu za mkononi ya Halotel

    Mtandao wa Halotel umekuwa na tabia ya kukata salio la muda wa maongezi mara tu unapoongeza salio. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu sasa, na nikipiga simu huduma kwa wateja naambiwa kuna huduma nimejiunga inayokata salio hilo, wakati hakuna huduma yoyote ambayo mimi nimejiunga. Mbaya zaidi...
  15. C

    Naomba kujuzwa kampuni zinazopokea wanafunzi wa field Mbeya

    Habari, Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
  16. I am Groot

    Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  17. S

    Naomba muongozo, nahitaji kufungua kampuni ya general cleaning nahitajika kuwa na mtaji wa shingap

    Naomba msaada zaidi kuhusiana na ufunguzi wa kampuni ya usafi (general cleaning)
  18. A

    DOKEZO HR wa Kampuni ya G 1 Security Group Limited, amshambulia mmoja ya Wafanyakazi wake baada ya kwenda kufuatilia Sitahiki zake

    Mnamo tarehe 10/02/2024 Hr wa kampuni ya ulinzi ya G1 security iliyopo upanga jijini dar es salaam mtaa wa kitonga,kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wengine,walijaribu kumuua mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wao katika nafasi ya supervisor aliyefahamika kwa jina KESI. Mfanyakazi huyo alifika...
  19. Hidden Diamond

    Jamani Mbeya hakuna mtu anayejua viwanda au kampuni ijayotafuta wafanyakazi

    Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
Back
Top Bottom