Hivi kampuni zinazotengeneza hii mitungi midogo ya gesi kwani hakuna namna hichi kifuniko cha plastic (seal) ikawekwa katika namna inayomuonesha mteja namna ya kukifungua?
Au kuna namna yake ya kuifungua na mimi sifahamu ndugu zangu? Maana unakuta hadi unatumia pliers, kisu, screwdriver, etc...
Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo.
Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni ya ulinzi na kuanza kuiendesha kuanzia mwaka 2021 hadi 2023 mwishoni,nilikuwa na wateja wa kawaida...
Wakuu,
Ni muhimu wanachama kuomba kikao cha dharura waweze kuelezwa hatma ya timu yao. Kama msipofanya hivyo subirini miujiza!
Hii timu mkitaka mfanikiwe msikubali hadithi za kale na takwimu za tupo nafasi ya ngapi CAF, ulizeni maswali magumu mjibiwe au watuachie timu tuungeunge hadi tupate...
Ziiki Media kampuni kutoka Kenya inasimamia usambazaji wa muziki kidijitali, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za ku-stream muziki online, wao wanakusambazia muziki kwenye platforms online kisha hukusanya mapato ya kwenye hizo platforms kwa niaba ya msanii.
Pichani ni boss wa ziiki...
Wananchi katika Mji Mkuu wa Freetown, na Miji mingine nchini humo wamelazimika kukaa gizani kwa Siku 7, baada ya Watoa huduma za Umeme kusitisha Huduma kutokana kutolipwa kwa muda mrefu
Kampuni ya Kituruki ya Karpowership, inayotoa sehemu kubwa ya umeme wa Freetown, imesimamisha huduma zake...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA inailipa Azam...
Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma.
Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
Moja kwa moja kwenye mada....
Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu...
Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa wakati 1000 ambao mahesabu yao ya kodi tayari yameshapitishwa na TRA.
Hao wafanyabiashara wakubwa na...
Kampuni ya Canal+ ya Ufransa inayomiliki vyombo vya habari, ambayo pia ni kampuni tanzu ya kampuni ya Vivendi SE, imetoa ofa mpya ya kuinunua MultiChoice, katika mkataba ambao utaitathmini kampuni hiyo kutoka Afrika Kusini kuwa thamani ya Dola Bilioni 2.9.
=======
French media company Canal+...
Habari ndugu mtanzania mwenzangu.
Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi.
Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :-
👉🏿Uuzaji wa viwanja na mashamba
👉🏿Upimaji wa ardhi
👉🏿Ubunifu na usimamizi wa majengo
👉🏿Urasimishaji
Na kwa maeneo...
Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.
Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu.
Kampuni inaitwa Credit Land
Anonymous
Thread
kampunikampuni ya mikopo
land
mikopo
udhalilishaji
Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake.
Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda...
Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia na kuwa N/A
Kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao...
Mtangazaji mkongwe ambaye ni mmiliki wa Platforms za Simulizi na Sauti ameituhumu kampuni ya Nishati ya Lake Energies (zamani lake oil) kuwa imemdhulumu malipo ya kazi aliyoifanyia kampuni hiyo na kila anapojaribu kufuatilia amekuwa akizungushwa.
Kitendo hicho kimefanya afikie hatua ya kuweka...
Ni jambo la kushangaza kidogo, kwasabu ni jambo ambalo halipo kisheria, hata katika makubaliano wakati unasajili laini laini za Tigo.
Hii Leo nimepokea ujumbe unaonilazimisha kuweka Salio ndani ya siku tatu, ikiwa Leo ni tarehe 2 mwisho tarehe 5.
Na naambiwa laini yangu itafungiwa kupiga simu...
Najuaga hakunaga vya bure. Nimekuwa nikipokea sms za kupokea vifurushi bure.
Una Dakika 20(Voda) na SMS 100 mpaka 2024-04-08 07:05:35 kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki. Kujua salio Piga *149*60#. Vigezo kuzingatiwa
nimajiuliza sana kwa ile kanuni ya HAKUNA CHA BURE HAPA DUNIANI yasije...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.