Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
Habari wanajukwaa mko salama?
Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake.
Natanguliza shukuran.👏
Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni.
Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini...
Habari zenu wadau
Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania
Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate muongozo
Source: Bloomberg
Subscribe
China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon
The government is increasingly relying on Huawei — the company Washington tried to destroy — to lead the country’s efforts to build an independent semiconductor ecosystem.
By Bloomberg News...
Taarifa ya kusitishwa kwa malipo iliripotiwa kwa mara ya kwanza na FT, huku wafanyakazi wakipata nyongeza ya mishahara ikiwa tu watapandishwa vyeo rasmi, kabla ya mapumziko ya Krimasi
Inasemekana kwamba washirika wa KPMG hulipwa zaidi ya pauni £700,000 kila mwaka kabla ya malipo ya ziada...
Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA.
Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina...
Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana..
Miongoni mwa vifaa...
Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA)...
Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo,
Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun
=====
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
habarini wanajukwaa natuamini wote ni wazima wa afya na mlio na changamoto mungu awe nanyi katika kila hatua AMEN.
Naomba muongozo wa taratibu gani za kufuata ili kuweza kupunguza thamani ya hisa za kampuni. mfano katika memats ya kampuni tuliandika thamani ya hisa moja ni 2 million lakini...
Wakati wa awamu ya nne tuliona kampeni kubwa za kugawa tenda za ujenzi kwa makandarasi wazawa. Tuliona kampuni ya Mayanga Construction ilivyomwagiwa tenda mpaka ikashindwa na kuishia ku-subcontract kwa makampuni ya nje! Leo tunajua Mayanga Construction ilimilikiwa na nani.
Kampeni za kunyanyua...
Wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuzifuatilia taasisi na kampuni za utoaji mikopo kwa Wafanyabiashara kutokana na kuwepo kwa malalamiko ya udanganyifu ikiwa ni pamoja na utoaji mikopo kandamizi.
Hayo yamebainishwa na Wafanyabiashara hao katika Baraza...
Aliyekuwa CEO wa Kampuni ya Open AI ambayo imejikita katika masuala ya akili Bandia Bwana Sam Altman
Amekubaki kurudi Tena kuiongoza Kampuni hiyo baada ya kufukuzwa kazi siku chache zilizopita.
Ikumbukwe baada ya Sam Altman kufukuzwa kazi Kampuni hiyo imejikita ktk changamoto kubwa ikiwemo...
Hongera sana Haji Manara kwa nafasi hiyo adhwimu.God bless!!!
Aliyepewa kapewa.
Itoshe kusema kwamba Mganga wa Haji sio tapeli.
---
Kupitia Ukurasa wake rasmi wa Instagram HajiManara anathibitisha kupata usemaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo. Katika kulieleza hili Haji Manara anaandika...
Hii kampuni ya SuperFeo ilianza safari zake za kutoka Songea-Dodoma-Arusha mwanzoni mwa mwaka jana 2002. Tulifurahi sana maana ilikuwa ni ukombozi wa safari ya moja kwa moja kutoka kusini mwa nchi yetu mpaka kaskazini.
Kwa wiki huwa na safari 2, walianza vizuri sana, ulikuwa unakata tiketi...
Je, wapenzi wa football na swaga za kubet je hii kampuni Ina wafanyakazi waaminifu? Customer care service wako active kupokea simu za wateja?
Kuhusu maamala ya mikeka hasa ya ushindi hasa wenye account zao binafsi kwenye internet, uaminifu wa cashiers kwenye kudeposit pesa za wateja kwa wakati...