Sisi Wakulima wa Zao la Vanilla Kagera tulimuuzia Kampuni ya Sosaka Limited iliyopewa vibali na Ofisi ya Mkoa wa Kagera, vanilla zetu mnamo tarehe 19-23 July 2023 lakini mpaka sasa hatujalipwa hela zetu. Sosaka alikua ananunua vanilla kwa bei ya 15,000 Tsh na alikusanya takribani kilo 80,000...
KAMPUNI YA MARCOPOLO
Kampuni ya #marcopolo ilianzishwa tarehe 6 Agosti 1949 huko Caxias do Sul kama Nicola & Cia Ltd.
Wakati kampuni inaanzishwa ilikua na washirika 8 na wafanyikazi 15.
Mnamo mwaka 1971 kampuni ilibadilisha jina na kuwa Marcopolo S.A. (Marcopolo S.A. yaani mtengenezaji wa body...
Kampuni yenye ofisi zake jijini Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatafuta wanawake 10 wa kushusha lori 4 za saruji. Yaani kwa siku ni kushusha saruji kwenye malori manne. Hii ajira ni ya kudumu. Changamkieni fursa kina dada.
Tanzania inatafakari Mpango B kwa ajili ya mradi wake wa SGR huku kampuni ya Uturuki ikiachwa. Mawaziri wa fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa reli ya standard gauge (SGR) baada ya mkandarasi mkuu wa kampuni ya Uturuki Yapi Merkezi kuonyesha dalili...
Hii kampuni ilianza Kwa speed ya 5G , Kwa safari Za Dar Es Salaam kwenda arusha.
Ili fungua Ofisi kila mahali Huku Dar Es Salaam na Arusha .
Ukilipanda ulikuwa Unapewa soda , juice na pipi sasa gari zimeadimika barabarani Tatizo ni nini!!
Au wanahisi walichomoa Huku Hisa zao!!
Rais wa jamhuri ya Muungano mama Samia, alitengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TTCL Maharage Chande ,muda mfupi tu baada ya kuteuliwa .
Pamoja na Track Record safi , uzalendo na uchapakazi mzuri wa Peter Ulanga Rais aliamua kumrudisha madarakani Mkurugenzi Ulanga si tu kwa weledi wake...
Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake.
Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia, kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara.
Bali kikubwa ni biashara...
Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za Wateja ili kudai Madeni .
Pia, kuna Klabu ya Starehe ya Casa Vera Lounge ambayo imekutwa na Kosa...
Kwa wafanyabiashara wakubwa wa gas wa jumla na reja reja kuna mitungi ya Gas inauzwa.
Mitungi hii ni Empty haina Gas, kampuni za Gas zilizopo ni zote kasoro ORYX tu.
CAM GAS
MIHAN/TAIFA GAS
OGAS
LAKE GAS
PUMA GAS
MANJIS GAS
Ukija utachagua unataka mitungi ipi uchanganyiwe vipi.
Mnunuzi ni...
Wakuu natumai mpo salama otherwise poleni na majukumu.
Kuna kampuni moja inafahamika kwa jina la safe land world investment,inasadikika ni kampuni inayohusika na masuala ya uwekezaji ambapo unawekeza pesa yako na kuisubiria kwa muda wa siku takribani 170.
Kwa mujibu wa kampuni hii kiwango cha...
Bodi ya Wakurugenzi ni sehemu muhimu ya uongozi wa kampuni au shirika.
Majukumu ya Bodi ya Wakurugenzi:
1. Kutoa mwelekeo na sera za jumla za kampuni.
2. Kuchagua na kusimamia Mkurugenzi Mtendaji (CEO).
3. Kuhakikisha utawala bora na uwajibikaji.
4. Kuidhinisha bajeti na mipango mikubwa ya...
Acacia, kampuni ya uchimbaji madini iliyokuwa na shughuli zake nchini Tanzania kabla ya kuingia kwenye mgogoro mkubwa na Serikali, inadaiwa kutumia takriban Shilingi bilioni tatu (Dola za Kimarekani milioni 1.2) kwa mwaka kulipa maafisa waandamizi wa Serikali kati ya 2008 na 2015, uamuzi ambao...
Mahakama Kuu imewaamuru ndugu wawili na wakurugenzi wa Kampuni ya Saruji ya Dar es Salaam Cement Co. Limited kumlipa mwenyekiti wao na Mkurugenzi Mtendaji, Pardeep Hans, zaidi ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza katika kampuni hiyo kinyume cha sheria na kuiuza kwa Kampuni ya Amsons Industries (T)...
Hizi kampuni fake zinadai zimesajiliwa na serikali lakini zinafanya kazi ya utapeli, zipo nyingi, cjui tala imarisha maisha. Tulia mikopo online na zingine zinatumia majina ya Jokate Mwegelo na kuna hawa wanatumia matangazo na video za watu mashuhuri kwa kuziedit.
Watanzania wamepigika...
Kampuni ya Azam Media inashtakiwa Mahamani na Kampuni ya 'Hall of Fame Boxing and Promotion' ambayo inajihusisha na uandaaji wa mapambano ya ngumi za kulipwa wakiitaka iwalipe kiasi cha pesa Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha hewani maudhui yao kwenye kipindi kinyume na makubaliano.
Katika kesi hiyo ya...
Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) ni shirika ambalo lilianzishwa tarehe 23 Machi 2000 chini ya Sheria ya Vyama, SURA 337.
TAOMAC inajitahidi kukuza sekta endelevu na yenye ushindani wa mafuta ya petroli, ambapo makampuni yote ya uuzaji wa mafuta (OMCs) yanaendesha...
Habari!
Jamani natafuta mtu anaehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi. Ninayo leseni lakini sina mtaji natafuta mtu mwenye mtaji tufanye partnership Kama umekuwa interested
Mawasiliano.
0672650624
Kuna kampuni moja inatumia jina la go bet, Hawa jamaa ni matapeli Sana, wanatumia namba ya kampuni iliyokuwa inatumia na betpawa pamoja na namba ya malipo, namba ya kampuni ni 122122 malipo ni 60124815, ukiweka pesa umeliwa hakuna huduma wanazotoa namba ya simu 0677040553 hawapokei simu na...
Anonymous
Thread
iliyokuwa
jamaa
jina
kampuni
mali
matapeli
moja
namba
pamoja
Wana familia ya Jf,
Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe.
Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
WAZIRI ADAIWA KUMWAGA NOTI KUNUNUA KAWE BEACH, NHC YASEMA HAIJAUZWA NI MALI YAKE NA KAMPUNI YA DUBAI
WAZIRI mmoja mwandamizi, anadaiwa kuibua hali ya sintofahamu kwa wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa eneo la Kawe Beach, kwa kuwalipa mamilioni ya fedha ili waondoke kupisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.