Kwenye uchaguzi mkuu uliopita wa 2015 CCM ilipata kura 8,882,935 za urais, karibu nusu ya kura zote zilitoka kanda ya Ziwa na kanda ya Kati.
CCM ilipata kura 3,638,623 kutoka mikoa 9 tu ya Dodoma, Singida, Tabora, Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kagera na Shinyanga, huku CHADEMA ikiambulia kura...