kanisa la ufufuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ulinzi umeimarishwa kanisa la ufufuo na uzima, akisuburiwa Askofu Gwajima kwa mara ya kwanza tangu kanisa lifunguliwe

    Kanisani kwa Gwajima Leo ulinzi umeimalishwa tukimsubiri kwa mara ya kwanza anajitokeza live lakini atakuwa chini ya ulinzi mkali saaaana!!!
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji Patrick Kigava: Suala la ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima halikutenda haki

    Mchungaji wa kanisa la Redeemed Assemblies of God Tanzania RAGT Patrick Seif Kigava, amekosoa hatua za kufungwa hadi kufunguliwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu wake mkuu Mchungaji Dr. Josephat Gwajima akisema kufungwa kwa kanisa hilo hakukuwa kwa haki.
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anasema tukutane kesho Desemba 7 kwenye siku ya Baba na Wanae, kanisani Kibo

    Askofu Gwajima kushiriki ibada kesho Desemba 7, 2025 kanisa la ufufuo na uzima lililopo eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam. Itakuwa ni ibada ya pili kufanyika tangu kanisa hilo kufunguliwa ambapo Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, alitoa...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kanisa la Ufufuo na Uzima ladai kuporwa mali zenye thamani ya Tsh. Bilioni 2 wakati limefungwa kuendesha huduma

    Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.007 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24, ikiwa ni miezi sita tangu lilipofungwa na Jeshi la Polisi Juni 2, mwaka huu. Kwa mujibu wa viongozi...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima kwa Jeshi la Polisi zinaweza kupelekea kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu

    Kutuhumu Jeshi la Polisi au chombo chochote cha usalama kwamba kimeiba mali au fedha, hasa bila ushahidi wa moja kwa moja, ni jambo lenye uzito mkubwa na athari kubwa. Baadhi ya athari hizo ni kama: Kupoteza Imani ya Wananchi kwamba Jeshi la Polisi linajihusisha na wizi. Kuharibu Taswira...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Mwigulu kukutana na Kitima mkajadili muanze na kufungua kanisa la ufufuo? Mwamtega jasusi la mbinguni sio

    Heee! Mitego ya kanga hiyo imnase Simba mwachekesha walahi. Mmejadili ya kujadili mwaona la kuanza muanze na hilo. Nye Nye! So Gwajima mnatakaje. Nyingine dili atulize watu eeh. Mjue sio ishu ya gwajima. Polepole au Chadomo. Jambo la wananchi walahi. Na bado
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu kanisa la Ufufuo na Uzima (Askofu Mwanamapinduzi) akimbia nchi kunusuru maisha yake

    Hii taarifa rasmi imetolewa na Askofu Emaus Mwamakula. Nimewawekea hapa chini tamko lake soon hapa (kwa njia ya video). Ameelezea kwa kina kilichomsibu na hata kutishiwa maisha. Askofu Gwajima yupo hatarini
  8. S

    JamiiForums Tanzania Swalii gumu alilouliza Gwajima: Serikali ya Samia imefungia Imani au imefungia Kanisa la Ufufuo?

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na uzima wamefanya jitihada mbalimbali za kutafuta majengo na mabanda mbadala ili waweze kuendelea kuabudu, lkn kote huko wamefurushwa. Wamefurushwa ktk maeneo 7 tofauti.. Ndipo sasa Gwajima anaulliza serikalini ya Samia imefungia imanii ya waumini hao ama imefungia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Wakatoliki wote Tanzania, waumini wa Ufufuo na Uzima hawatapiga kura mwaka huu?

    Kwa mjibu wa maelezo ya Askofu mkuu wa Kanisa la ufufuo na uzima Tanzania.Itakuwa maajabu kama wafuatao wataenda kupiga kura 1. WAKATOLIKI:Kufuatia kupigwa kwenye makazi yake Padre Dkt. Charles Kitima ambaye pia ni Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) na shambulio hilo kuhusishwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi iliyofunguliwa na Kanisa la Ufufuo na Uzima inaendelea kuunguruma Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma leo Agosti 12, 2025

    Kesi iliyofunguliwa na kanisa la ufufuo na uzima inatarajiwa kuendelea siku ya leo Agosti 12 katika Mahakama Kuu kanda ya Dodoma ambapo Naibu Katibu Mkuu wa Kanisa hilo Askofu Machumu Maximillian Kadutu (Mwanamapinduzi) ameongoza jopo la Maaskofu pamoja na Wachungaji kuelekea katika kesi hiyo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
  12. JamiiForums Tanzania Tamko la TLS kuhusu kinachoendelea kwa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na haki ya kuabudu

    Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada. Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania THRDC: Serikali na Kanisa la Ufufuo na Uzima wakae meza moja wamalize mvutano

    DMtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito kwa Serikali, kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani na Jeshi la Polisi, kukaa meza moja na uongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa lengo la kuhitimisha mvutano unaoendelea kwa njia ya mazungumzo ya amani na maridhiano. Pichani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…