PostGE2025 Kanisa la Ufufuo na Uzima ladai kuporwa mali zenye thamani ya Tsh. Bilioni 2 wakati limefungwa kuendesha huduma

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.007 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24, ikiwa ni miezi sita tangu lilipofungwa na Jeshi la Polisi Juni 2, mwaka huu.

Kwa mujibu wa viongozi wa kanisa hilo, siku ya kufungwa polisi walilizingira eneo lote la kanisa na kulichukua bila makabidhiano rasmi. Uongozi wa kanisa unasema ulijaribu kutafuta makabidhiano tarehe 21 Juni lakini ulipokea maneno ya kejeli kutoka kwa polisi.

Kanisa lilipofunguliwa, ukaguzi uliofanywa Novemba 25 na Mkuu wa Wilaya pamoja na Kamati ya Amani ulibaini kuwa vifaa mbalimbali vya kanisa vilikuwa vimeharibika au kupotea.

​

SaveClip.App_590751154_18066879278529676_3669871621485142820_n.jpg

SaveClip.App_588941990_18066879269529676_7635929632205858448_n (1).jpg
SaveClip.App_588617401_18066879242529676_1294778383683419724_n (1).jpg
SaveClip.App_588086061_18066879260529676_2726095515417861201_n (1).jpg

SaveClip.App_589170070_18066879251529676_6106112956375251809_n (1).jpg
SaveClip.App_587950472_18066879287529676_5632602330114414852_n (1).jpg
SaveClip.App_590367041_18066879296529676_2836672159385780068_n (1).jpg
 
Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.7 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24, ikiwa ni miezi sita tangu lilipofungwa na Jeshi la Polisi Juni 2, mwaka huu.

Kwa mujibu wa viongozi wa kanisa hilo, siku ya kufungwa polisi walilizingira eneo lote la kanisa na kulichukua bila makabidhiano rasmi. Uongozi wa kanisa unasema ulijaribu kutafuta makabidhiano tarehe 21 Juni lakini ulipokea maneno ya kejeli kutoka kwa polisi.

Kanisa lilipofunguliwa, ukaguzi uliofanywa Novemba 25 na Mkuu wa Wilaya pamoja na Kamati ya Amani ulibaini kuwa vifaa mbalimbali vya kanisa vilikuwa vimeharibika au kupotea.

Wale polis walinzi walikuwa wanafanya nn?
 
Uongozi wa kanisa unadai Kanisa la gwajima watu wanaodaiwa kuwa ni polisi waliokuwa wanalinda kanisa hilo wameiba mali zenye thamani ya billion 2.7

FB_IMG_17645031172497334.jpg
 
Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.7 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24, ikiwa ni miezi sita tangu lilipofungwa na Jeshi la Polisi Juni 2, mwaka huu.

Kwa mujibu wa viongozi wa kanisa hilo, siku ya kufungwa polisi walilizingira eneo lote la kanisa na kulichukua bila makabidhiano rasmi. Uongozi wa kanisa unasema ulijaribu kutafuta makabidhiano tarehe 21 Juni lakini ulipokea maneno ya kejeli kutoka kwa polisi.

Kanisa lilipofunguliwa, ukaguzi uliofanywa Novemba 25 na Mkuu wa Wilaya pamoja na Kamati ya Amani ulibaini kuwa vifaa mbalimbali vya kanisa vilikuwa vimeharibika au kupotea.

Muliro atueleze vibaka wake
 
Askofu Baraka Thomas Tege wa Kanisa la ufufuo na uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima ametao taarifa ya jumla kuhusu upotevu wa mali uliobainika baada ya kufanya tathmini ya mali na vifaa vingine vilivyopotea tangu kanisa hilo lifungiwe na kuweka chini ya uangalizi wa Jeshi la Polisi. ‎

‎Akisoma taarifa hiyo Novemba 30, 2025, mbele ya Waumini wa kanisa hilo pamoja na Vyombo vya Habari vilivyokuwepo, ikiwa ni pamoja na Jambo Tv, amesema thamani ya vitu vyote vilivyopotea na kuharibiwa ni zaidi ya shilingi bilioni 2 na milioni saba. ‎

"Milango ya kawaida mitatu imevunjwa, Meza ile ya Baba imevunjwa zile droo zimefunguliwa vifaa kule havipo, documents hazipo, na sefu ya kuhifadhia fedha zetu kama nilivyosema, imevunjwa vunjwa kabisa, Hizi sio mali za siku moja, ni mali ambazo zimekusanywa kwa miaka 30, thamani yake ni bilioni 2, milioni saba, laki sita sabini na sita na mia tano" amesema Askofu Tege. ‎

‎Tathmini ya upotevu na uharibifu wa mali za kanisa hilo lililopo Ubungo jijini Dar es salaam, ulifanyika ikiwa ni sehemu ya maagizo ya Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando alipofika kanisani hapo kwaajili ya kuruhusu kuendelea kwa shughuli za kikanisa.

Askofu Baraka Thomas Tege wa Kanisa la ufufuo na uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima ametao taarifa ya jumla kuhusu upotevu wa mali uliobainika baada ya kufanya tathmini ya mali na vifaa vingine vilivyopotea tangu kanisa hilo lifungiwe na kuweka chini ya uangalizi wa Jeshi la Polisi. ‎

‎Akisoma taarifa hiyo Novemba 30, 2025, mbele ya Waumini wa kanisa hilo pamoja na Vyombo vya Habari vilivyokuwepo, ikiwa ni pamoja na Jambo Tv, amesema thamani ya vitu vyote vilivyopotea na kuharibiwa ni zaidi ya shilingi bilioni 2 na milioni saba. ‎

"Milango ya kawaida mitatu imevunjwa, Meza ile ya Baba imevunjwa zile droo zimefunguliwa vifaa kule havipo, documents hazipo, na sefu ya kuhifadhia fedha zetu kama nilivyosema, imevunjwa vunjwa kabisa, Hizi sio mali za siku moja, ni mali ambazo zimekusanywa kwa miaka 30, thamani yake ni bilioni 2, milioni saba, laki sita sabini na sita na miatano" amesema Askofu Tege. ‎

‎Tathmini ya upotevu na uharibifu wa mali za kanisa hilo lililopo Ubungo jijini Dar es salaam, ulifanyika ikiwa ni sehemu ya maagizo ya Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando alipofika kanisani hapo kwaajili ya kuruhusu kuendelea kwa shughuli za kikanisa.
Hawa wapekuliwe wanahusika
Screenshot_20251130-084956~2.png
 
Back
Top Bottom