G
guest-1790917349
Guest
Umesikiliza lkn vitu vilivyochukuliwa? Au umejibu tu hapa?maana mi hapa nimeandika ht robo yake haijafikaGuys usituletee vichekesho vya braza k, hizo laptop ndo zile chai za maziwa zenye hiriki nzito kikombe kinauzwa elfkumi?
Nenda kasikilize utaelwa hiyo pesa inafikaje
Vitu ni vingi mno tena vya gharama sio vya kitoto vilivyonunuliwa ndani ya miaka 30
Hilo kanisa ni cathedral sio tawi