PostGE2025 Kanisa la Ufufuo na Uzima ladai kuporwa mali zenye thamani ya Tsh. Bilioni 2 wakati limefungwa kuendesha huduma

PostGE2025 Kanisa la Ufufuo na Uzima ladai kuporwa mali zenye thamani ya Tsh. Bilioni 2 wakati limefungwa kuendesha huduma

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kanisa sasa limekuwa kama kakikundi cha wahuni.
Billioni 2.7 za nyoko.
Uongo mwingine daahhh
1764511138716.jpg
 
Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.7 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24, ikiwa ni miezi sita tangu lilipofungwa na Jeshi la Polisi Juni 2, mwaka huu.

Kwa mujibu wa viongozi wa kanisa hilo, siku ya kufungwa polisi walilizingira eneo lote la kanisa na kulichukua bila makabidhiano rasmi. Uongozi wa kanisa unasema ulijaribu kutafuta makabidhiano tarehe 21 Juni lakini ulipokea maneno ya kejeli kutoka kwa polisi.

Kanisa lilipofunguliwa, ukaguzi uliofanywa Novemba 25 na Mkuu wa Wilaya pamoja na Kamati ya Amani ulibaini kuwa vifaa mbalimbali vya kanisa vilikuwa vimeharibika au kupotea.

​
View attachment 3509660
Sijamsikia Askofu akisema tena Police!!
 
Haya Mapolisi ni yana njaa na dhiki ile MO29 yaliiba sana yakasingizia GnZ,
Kumbe yenyewe
Ona kama hili tahira Lao hapo hamna kitu kichwani hapo!
 

Attachments

  • downloadfile-7.jpg
    downloadfile-7.jpg
    48.1 KB · Views: 20
Hivi 2 billion mnaijua kweli?
Tumieni akili kidogo.
Ht km haifiki hasara itakua kubwa ...
Laptops
Desk top
Vifaa vya muziki(hapa ndo balaa) nadhani unajua music km mixer tu millions....bado vingine
Pesa zilizokuwa kwenye safe...
Milango ilivunjwa ambayo ni auyomatic
Chumba ambacho kina mashine ya kisasa ya printer na kila kitu chake

kwa nilivyosikia vile vifaa vimechukuliwa ni halali hiyo pesa
Polisi masikini wamechukua mpk vyombo vya kupikia 😄 🤣
Viti nusu ya kanisa ....

Nimerudi kusikiliza aisee ni halali hiyo pesa ifike 😢 😭 😢
 
Jasusi la jehanamu ni tapeli sana, ndo kusema hilo kanisa lilikuwa ni ghala la dhahabu sasa?
 
Polisi wa Tanzania ni vibaka kuliko wale wa Kariakoo
 
Ht km haifiki hasara itakua kubwa ...
Laptops
Desk top
Vifaa vya muziki(hapa ndo balaa) nadhani unajua music km mixer tu millions....bado vingine
Pesa zilizokuwa kwenye safe...
Milango ilivunjwa na vitasa ?
Polisi madikiji wamechukua vyombo vya kupikia 😄 🤣
Viti nusu ya kanisa ....
Hapa ni meongekea baadhi sijui vingine ...
Guys usituletee vichekesho vya braza k, hizo laptop ndo zile chai za maziwa zenye hiriki nzito kikombe kinauzwa elfkumi?
 
Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.007 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24, ikiwa ni miezi sita tangu lilipofungwa na Jeshi la Polisi Juni 2, mwaka huu.

Kwa mujibu wa viongozi wa kanisa hilo, siku ya kufungwa polisi walilizingira eneo lote la kanisa na kulichukua bila makabidhiano rasmi. Uongozi wa kanisa unasema ulijaribu kutafuta makabidhiano tarehe 21 Juni lakini ulipokea maneno ya kejeli kutoka kwa polisi.

Kanisa lilipofunguliwa, ukaguzi uliofanywa Novemba 25 na Mkuu wa Wilaya pamoja na Kamati ya Amani ulibaini kuwa vifaa mbalimbali vya kanisa vilikuwa vimeharibika au kupotea.

​
View attachment 3509660
Wawalipe kwanza gharama hiyo yote...
 
Back
Top Bottom