Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka.
Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana.
Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea...