kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Tusiende Kariakoo

    Masikini wezangu, kutokana na mgomo ambao umetangazwa na wafanya biashara wa Kariakoo wa kutofungua maduka mpaka changamoto zao zitakaposilizwa na Serikikali, Mimi mwenyekiti wa Masikini Tanzania, ninomba tuungane na hao wafanya bishara ili changamoto zetu zitatuliwe pia Scheme za umwagiliaji...
  2. Serikali ihakiki umiliki wa vizimba Kariakoo na masoko mengine

    Moja ya watu wasumbufu katika masoko ni wale wanaomiliki vizimba zaidi ya kimoja na kuwapangishia wafanyabiashara wengine. Hii husababisha migogoro mingi. Kwa mfano, soko lenye vizimba 100 linaweza kuwa na madalali, wahuni au wanasiasa wawili au watatu wanaomiliki vizimba 30 hadi 40, ambavyo...
  3. Principal Estate Officer II at Kariakoo Market Corporation

    Kariakoo Market Corporation (KMC) is a corporate body established under the Kariakoo Market Corporation Act No. 36 of 1974(Revised by Act No 16 of 1985) to manage and control the Kariakoo market and establish and manage other markets in the city of Dar es salaam. Being a commercial entity, the...
  4. Wafanyabiashara Kariakoo kugoma muda wowote kutokana na madai yao kupuuzwa

    Ikiwa baada ya siku chache kupita ambapo Viongpozi walibembelezwa kusikiliza na kutatua kero za Wafanyabiashara kariakoo bila mafanikio, wafanyabiashara hao wameadhimia kugoma mgomo usio na kikomo mpaka watakaposikilizwa na kutatuliwa kero zao. Kwa uchunguzi wa chini chini kuhusu mgomo huo...
  5. Uliyeniuzia simu hii hapo Kariakoo, niseme tu sisi ni watu na sio milima, tutakutana

    Hizi simu za Market Place ni basi tu. Baada ya makubaliano akaniambia nikachukue huo mzigo kwa bei che ya 60k. Nimefika, ile kutest kila kitu kiko poa Niko home nikasema wacha niibusti, nashangaa inafika 64% inaacha kupeleka chaji. Nikatumia hivyo hivyo, ile inafika 30%, chaji inashuka kwa...
  6. OSHA yazuia ubomoaji wa Jengo la Zamani la DDC Kariakoo kwa kutofuata utaratibu

    Saa chache tangu Mwanachama wa JamiiForums.com alipolalamikia juu ya mchakato wa ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo, akidai unafanyika kiholela bila kuzingantia hatua za kiusalama, hatua zimechukuliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA). Kuhusu hoja ya memba, soma hapa ~...
  7. N

    DOKEZO OSHA mko wapi? Ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo unafanyika kiholela, ni hatari kwa usalama wa Watu

    Kuna zoezi la ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo karibu na kituo cha Mwendokasi Msimbazi B, zoezi hilo linaloendelea linafanyika bila uwepo wa kizuizi chochote kulingana na madhari ya eneo husika, kutokana na hali hiyo sasa inasababisha ajali kubwa sana wanaokatiza eneo hilo kwa magari...
  8. Taka zimemwagwa Mtaani Msimbazi B, hii ni hatari sana kwa Watumiaji wa Soko la Kariakoo

    Hali halisi ya Mtaani wa Msimbazi B Kariakoo Kwa hali hii watu tutaacha kupata magonjwa ya tumbo, kuhara au hata kipindupindu? Uongozi wa Soko hauoni hii hali na kushughulikia?
  9. Miaka ya Udogoni Kariakoo 1963

    UHURU WA ZANZIBAR 1963 Picha hiyo hapo chini ni ya rafiki yangu wa utotoni Mohamed Kitunguu. Tumekutana juzi na sote tulifurahi kuonana. Miaka mingi imepita. Tulijuana sote tukiwa na umri wa wastani miaka 10. Tutembee pamoja katika barabara hii ya kumbukumbu. Nakumbuka kuangalia gazeti...
  10. Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

    Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea. Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese, Magomeni, Fire hadi mnazi mmoja zimeanza kazi rasmi leo. Hadi muda huu bado zipo chache sana, ila kwa...
  11. WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
  12. D

    Nauza abaya dresses kwa Tshs 50,000

    Nauza abaya dresses, Size l,Xl,2xl&3xl, Bei Tsh 50,000/= Tunapatikana kariakoo Mtaa wa Raha πŸ“ž0686841100
  13. Sauli Amon (S.H.AMON) abambwa kwa Utapeli wa nyumba Kariakoo

    Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na kampuni ya udalali ya Benki Imeamriwa kwamba S H AMON awagawie aliowadhulumu sehemu ya Hisa za...
  14. DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  15. Nauza power bank

    itakayo weza kukupa uhakika wa matumizi ya simu yako Vaa mkanda twende pamoja πŸ”‹πŸ’‘ Chaji Bila Wasiwasi na Green Lion 22.5W Power Bank πŸ’‘πŸ”‹ Karibu kwenye thread yetu kuhusu power bank ya Green Lion 22.5W! Mimi ni Abubakari muuzaji wa power bank za Green Lion, na nataka kushiriki nawe kuhusu...
  16. R

    Nini kifanyike kuondoa wachuuzi Raia wa Kigeni Kariakoo?

    Wachina, Wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo. Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania. Lakini uchuuzi huu unawaondoa watanzania sokoni kwa sababu wachina wanakopeshwa bidhaa kutoka viwandani huku...
  17. Halmashauri ya Jiji imeshindwa kumsimamia Mkandarasi kuzoa taka kwa wakati Mitaa ya Kariakoo

    Hili siwezi kukaa nalo lazima niliseme maana alihitaji uelewa zaidi wa kibobezi. Mimi nafanya harakati zangu za kutafuta riziki mitaa ya Kariakoo sasa nina mwaka mmoja na miezi kadhaa lakini kuna jambo naomba nililete hapa jukwaani wana JF tusaidiane kulipazia sauti. Kama tunavyojua kwenye...
  18. Kariakoo ni soko kubwa sana na litanufaisha watanzania kama serikari mambo kadhaa

    kariakoo hii Mpya ambayo inaweza kufunguliwa hivi karibuni, inaweza kuwa na Fursa nyingi kwa vijana na kwa watanzania kwa ujumla kama serikali itaacha mambo kadhaa yafuatayo 1. Kubana uhuru wa wafanya Biashara wadogo wadogo 2. Kupunguza tozo za biashara 3. Kutengeneza miundombinu itakayovutia...
  19. Huu ndiyo muonekano wa soko jipya la Kariakoo

  20. Tangazo la Azam Dabi ya Kariakoo halina mvuto

    Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile? 1. Tangazo halina vibe lolote. 2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga? Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…