April 16, 1983 katika Derby ya Kariakoo @yangasc1935 ilishinda mabao 3-1. Charles Boniface Mkwasa aliswazisha bao Mussa Kihwelo, Juma Mkambi na Omar Hussein wakaongeza mawili. Miaka 40 Derby inajirudia katika tarehe ileile. ππ acheni uoga ndugu nawakumbush.
Je tarehe 16 inaweza kujirudia tena...