Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja.
Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
Kwa mujibu wa vyanzo nyeti kutoka klabu yetu pendwa, ni kwamba kocha Robertinho ametoa mapendekezo yafuatayo.
Beki wa kati wa rayon sports, na winga wa rayon sports Henry ntima. ( Wachezaji 2).
Winga wa Vipers Martin kiiza, na yule golikipa wa Vipers yule mkongomani. ( Wachezaji 2).
Huyu...
Ulishawahi kujiuliza, kwa nini JPM alibaki na Kasesera ambaye ni mwandani lia lia wa Benard Membe?!
Utaamini kwamba pamoja na mbwembwe zote Mchungaji Msigwa alikuwa mlisha habari wa JPM kutoka upande ule?!
Kwa nini JPM alimrejesha RAS yule kuwa DG....?!
Simulizi hiyo ifuatayo itakufanya...
Assalaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha ili tushirikiane katika fursa hii ambayo, bila shaka ni njia mojawapo ya kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi miongoni mwetu.
Kama unadhani uko tayari kivyovyote kushirikiana na Team yetu unakaribishwa ili tuweze kujenga jambo lenye...
Tangazo:
Habari za leo wateja wetu wapendwa,
Tunapenda kuwatangazia huduma zetu za ushauri wa kodi. Kama mmiliki wa biashara au mtu binafsi, tunaelewa ugumu wa kuendesha shughuli zako za kila siku na wakati huo huo kukidhi mahitaji ya kodi. Hapa ndipo tunapokuja na kusaidia kufanya maisha yako...
Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati.
Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na vipaji vya kweli vya mpira lakini wanakosa daraja la kupitia kwa hoja ya kuendelezwa.
Liwale ni wilaya inayokuwa kwa kasi sana kiuchumi na inajengeka mno tofauti na Ruangwa ambayo boss Majaliwa anaiforce iwe mji ila Karuangwa ni kadogo kama ngumi, kamji gani kama tarafa?
Liwale ina fursa sana ukianzia na ufuta, alizeti na korosho. Korosho ya Liwale ni bora ukilinganisha na ya...
Habarini wakuu
Nimewatengenezea MS Excel add-in ambayo inakusaidia kufanya translation, mfano kuna wakati unaweza kuwa na column ambayo ipo na rows nyingi ambazo content zake zipo kwa kiingereza na unataka kuzitafsiri kwenda kiswahili au lugha nyingine.
Si rahisi sana kufanya hivyo kwa kuandika...
Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume...
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.
Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.
Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni...
Ndugu zetu, kama maisha ni magumu bora upambane ukiwa hapa na usifikirie kwenda Bondeni, Southa Africa.
Kuna jamaa, amepost kwenye ukurasa wake wa kijamii Watanzania wenzetu kadhaa waliopoteza maisha huko South kwa kuuawa.
Sijajua walikuwa wanajishghulisha na kazi gani hawa ndugu zetu, lakini...
1. Job Ndugai; alipata madaraka makubwa na katika maeneo yote aliyowahi kuongoza hakuna eneo alifanikiwa kupewa sifa Bali siasa ilimfedgeesha.
Kwa SASA amezeeka lakini uzee wake umeambatana na fedhea kubwa Sana yakuondolewa uspika kabla ya kumaliza muda wake. Mdomo uleule uliompa nafasi ndio...
Habari za wakati huu waungwana!
Mbwa ni mfugo safi, muhimu sana, askari mbadala.
kila mtu yampasa afuge mbwa..
Mimi napenda sana mifugo,
Huyu mnyama mlinzi bora (mbwa) nampa kipaumbele sana!
sasa, sitaki mbwa wangu awe kama wale wengine wa mtaani, nataka mbwa bora.
-asiwe mjinga mjinga
-hali...
Ni masikitiko makubwa sana vijana wanapambana kupata gpa ila kuna wahuni wachache wanaamua wa kumuajiri wamtakaye, kwanza Mkuu wa Idara mmoja aliwakusanya hao watano Kwa nafasi Tano, wakapewa maswali na majibu ya oral, na wakafanya presentation za slides akawarekebisha kisha wakaingia interview...
Ndugu zangu naandika hii taarifa nikiwa mnyonge kama kinda la ndege lililonyeshewa na mvua ya mawe baada ya kutelekezwa na mama yake. Sitaki kuwachosha na maneno mengi ngoja niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuwa wengi wetu tumechoshwa na tozo hizi za mchongo zinazotukamua na kutuacha bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.