Mwamba msimu uliopita alifunga magoli mengi sana katika michuano yote mpaka tukambatiza jina la utani “JINI”
Msimu huu imekuwa tofauti, Haaland ana struggle kiasi kikubwa sana. Huwezi amini katika mechi nne zilizopita za mashindano yote hajafunga hata goli moja. Au ndio kusema anamkosa KDB...
John Malecela
Salim Ahmed Salim
Mrisho Kikwete
Balozi Mahiga
Liberata Mulamula
Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi)
Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof)
Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla.
Kizazi...
Bwana Yesu asifiwe watu Mungu.
Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri kama wafanyavyo wapambanaji wengine.
Haikuwa kazi rahisi kulifikiria hili suala ila namshuku Mungu...
Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa.
Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema CHADEMA kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa...
Safari ya kumsaka mrithi wa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, inatarajia kuanza wakati wowote kuanzia sasa wakati kikao cha Halmashauri Kuu ya Kanisa hilo kikitarajiwa kukaa ili kupokea majina matatu ya maaskofu waliopendekezwa kugombea wadhifa huo wa...
MAMLAKA YA KUFICHUA UOVU
Mathayo 10:926-28
26 Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana.
Mathayo 10:26
27 Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba.
28...
MHE. CONDESTER SICHALWE - "KARIBUNI MTEMBELEE BANDA LETU LA MOMBA NANENANE MBEYA 2023"
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ametembelea Banda la Momba Nanenane Mbeya na kuitumia fursa hiyo kuwaalika watu wote kuona fursa mbalimbali za Kilimo na Mifugo...
NANE NANE MBEYA 2023
KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA
Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
Kupitia mtandao wa ICSID kuna taarifa za kutia moyo kuwa Katibu Mkuu wa ICSID amesajili maombi ya kubatilishwa kwa tuzo yaliyowasilishwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa maombi hayo, ICSID imesitisha kwa muda utekelezaji wa tuzo iliyotolewa dhidi ya Tanzania kwenye kesi iliyofunguliwa...
kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
Takwimu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu zinaonyesha migogoro 28,773 ya wanandoa imepokewa kati ya Julai, 2022 na Aprili mwaka huu.
Kati ya migogoro hiyo, 22,844 ilisuluhishwa, huku 5,929 ikikosa usuluhishi licha ya kukatiwa rufaa ngazi ya Mahakama.
Kutokana...
Ubora wa nguo unapimwa kwa vigezo kadhaa. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia ubora wa nguo:
1. Vifaa vya malighafi: Vifaa vya malighafi vinavyotumika kutengeneza nguo ni muhimu sana katika ubora. Nguo zilizotengenezwa kwa malighafi bora zinakuwa imara, rahisi kutunza, na zinadumu kwa muda...
Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa"
Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi...
Habarini za wakti Wana JF,
On the point, nimekuwa napigwa na mshangao sana kwa haya yanayoendelea katika Wizara zetu hizi nyeti ambayo ni Afya na pacha wake pia Elimu.
Nianze kuzungumzia sekta ya Afya ambayo imekuwa muhanga wa hii kadhia,, hivi karibu kumekuwa na mambo mbalimbali ya ovyo ambayo...
Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma.
Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji...
Ningependa kufahamu anaye mwandikia Ali mashairi siku hizi.
Kwani Toka Ngoma ya UTU to the latest songs ie mahaba and on fire it seems mwandishi ni mmoja kabisa.
Kusema kweli mashairi ya kwenye hizi nyimbo yamepangiliwa na kupangika kwelikweli.
Ndiyo maana nyimbo zake hizi latest vijana...
Vyanzo ndani ya Kanisa Katoliki vinatabanaisha kutakuwa na kikao rasmi cha Baraza la Maaskofu huku pamoja na mengine litajadili SINTOFAHAMU kubwa inayolikumba Taifa kwa sasa kuhusu suala la BANDARI.
"...baba Maaskofu watapewa mwaliko wa kutaniko ndani ya wiki hii na tayari Mhashamu Rais wa TEC...
Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.