Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa.
Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji wake haupo tena na kila mtu anasema gari ni jini mara inakula mafuta mara spare zake ni ghali kila...
Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa kalipio kali mkatibu wakuu wastaafu wa ccm taifa, Abdulrahman Kinana na mzee Yusufu Makamba...
Karibu ujipatie kitabu cha Fursa za mtandaoni
👉Huku utafahamu Fursa zote zilizopo mtandaoni na Jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato
👉 Bei ni Tsh 5000 tu tunapatikana Dar es salaam number 0684861947 / 0692436124
Kwanza kabisa komasavaa wadau wote wa SOC 2024. Sauti tunazopaza katika makala hizi ziwe sauti zenye kuleta mabadriko kweli na zisiwe sautibubu zakuishia hapahapa jf. Mapendekezo yangu ni kama ifuatavyo kwa leo.
Wajibu na haki: serikali kupitia wizara husika ihakikishe sasa inatoa...
(ombeni hamadi silaa)
UTANGULIZI,
MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA
Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini.
Kupambana na...
Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu "
Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni?
Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera.
Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga.
Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu...
Wasalaam!
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration.
Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu nilianza kama ticha baadae nikaamia kwenye development projects za education.
Kwa sasa nipo free, nimepata...
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana.
Sema biashara sahivi haijachanganya sana, mje mniunge mkono nisije nikafa njaa mkakosa majeneza yakisasa.
Nichukue Nafasi Hii Kuwakaribisha Wananchi Walio Ndani na Nje Ya Nchi, Kuendelea Kujiunga Na Chama Cha Mapinduzi
Kuna Faida Kuwa Chama Cha Mapinduzi…
Miongoni Mwa Faida Hizo, Ni;
Kukujenga Kuwa Na Uwezo wa Kujiamini
Kukusaidia Kuongeza Ujuzi wa Akili na Vitendo, Kuhusu Mambo Mbalimbali...
Mimi ni miongoni descendants of Songwe River wenda kuna watu wengine humu na share nao same Ancestors.
Nimekuwa inspired na jamii za Asia katika kutafuta asili yangu finally nimeweza kuipata.
Nina miaka miwili sasa nimekuwa nikizuru mto Songwe na nafikiri utakuwa utaratibu wangu wa kila mwaka...
Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo.
1. Sitolala ukweni.
2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu.
3. Ntavaa simple sana( shati yangu ya mikono mirefu, suruali na balaghashehe kichwani) na kiatu changu cheusi
4. Nitaongea kwa...
Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana
Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa
La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10.
La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
RUVUMA.
Huko wilayani namtumbo kuna Kijiji wananchi wamegundua madini, hali ilivyo ninkila mtu anajaribu bahati yake hali iliyopelekea kwa gafla maisha kubadirika.
Usafiri kwenda eneo hilo umekuwa mgumu na wa garama, ukisema uchukue bodaboda wanachaji nauli kubwa.
Kwa sasa magari hayawezi...
Mitando imekuwa na huduma mbovu ya Network sana, Mfano Vodacome now day inasumbua mnoo, kutuma sms, internet kuna mtu haifanyi kazi, Je, Ni kuwa imeelemewa sana wateja wameongezeka ikiwa hawajaongeza jitihada ya kuwamudu. Au tatizo liko wapi!
Na tigo ndo kabisaaaa
Hawatoi tamko lolote lile...
Kipindi linatokea hilo tukio mimi nilikuwa ni mgeni kwenye hiyo mitaa kuna biashara yangu niliihamishia huo mtaa.
Nyumba niliyokodi frem nilikuta yeye akiwa tayari anabiashara hapo,
nilihamia hapo kipindi akiwa na mgogoro na mmewe, kwa maana hiyo mume sikuwahi kukutana nae wala kumfaham...
Yaani ukiagiza Japan gari la Miaka ya 1990's ushuru wa TRA upo chini. Ila ukijiroga uagize gari la miaka ya 2010's utafurahi na roho yako jinsi ushuru wa TRA ulivyo juu.
Unakaa unajiuliza hivi hii nchi kuna mtu ana roho ya korosho hataki watanzania waendeshe magari mazuri?
Nani anafanya hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.