karibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kuna jambo lazima litafanyika hivi karibuni nchini Urusi ili kumaliza vita ya Urusi na Ukraine, na bei ya mafuta inaweza kuanguka kuliko kawaida

    Vita ya Urusi na Ukraine imeathiri karibu nchi zote duniani, na hasa upande wa mafuta. Vita hii imeleta hali ambayo haikubaliki duniani kote na ndani ya Urusi pia. Kimsingi, Putin ndio anaonwa kua chanzo cha haya yote. Na ni wazi Putin hakutarajia kwamba hali ya vita na Ukraine ingekua kama...
  2. H

    Taasisi za makanisa karibuni mtumie mfumo wa kidigitali kusimamia taarifa za kanisa

    Habarini! Tunazikaribisha taasisi za makanisa kutumia mfumo wa kidigitali wa ChurchMIS kusimamia taarifa za kila siku za kanisa kama vile Kuhifadhi taarifa za waumini Kuhifadhi na kufuatilia taarifa za fedha Kuhifadhi taarifa za miradi ya kanisa Kuhifadhi na kusimamia taarifa za idara...
  3. T

    Mambo sita mapya niliyoyaona kwenye kikosi cha Simba kwa hivi karibuni

    Amani iwe nanyi Katika siku za hivi karibuni mara baada ya Simba kumteua Master Guardiola Mgunda, nimeweza kugundua masuala kadhaa! Ungana nami uweze kuyajua mambo hayo. 1. Mzamiru amezaliwa upya, nikiri kuwa nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakikosoa sana uchezaji wa Mzamiru Yasin...
  4. Tunauza magodoro vitasupreme

    Habari rafiki, karibu ujipatie godoro nzuri ya uhakika kiukweli hauta jutia kabisa.Nakushauri kitu kimoja kwenye sekta ya magodoro kuna aina nyingi sana za godoro na kwa watu wengi tunakalili majina tu. Utajuwaje godoro ni la uhakika Uliza density na iyo density iyanzie 25 hapo itakuwa angalau...
  5. RAIS WA EU: Ulaya itashuhudia kipindi kigumu sana hivi karibuni

    Rais wa Halmashauli ya umoja wa Ulaya Ursula Von der Leyen ametahadharisha juu ya kipindi kigumu kiuchumi, nishati na mgogoro mkubwa wa kibenki kitarajiwacho Ulaya na Ulimwenguni kwa ujumla baada ya Urusi kuitumia nishati yake ya gesi na mafuta kama silaha ya kulipiza kisasi kwa umoja huo...
  6. L

    Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.

    Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.
  7. Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano. Muda wa...
  8. Mapendekezo: Karibuni tupunguze ukubwa wa Serikali

    Habari wandugu. Kwa sasa na maisha na uchumi wa dunia ni mgumu sana. Kila mtu anatakiwa kujibana. Hivyo na Serikali nayo inatakiwa kujibana. Ili kupunguza matumizi, inahitajika ukubwa wa serikali nao upungue. Leta maoni juu ya namna ya kupunguza ukubwa wa serikali. Mimi maoni yangu. 1. Cheo...
  9. N

    GEITA GOLD KARIBUNI MAZOEZI YA WAZI BUNJU JUMATATU&JUMANNE

    Karibuni sana wachimba madini, team letu ni la kisasa na la kizungu halina mambo ya kizamani yale ya kiswahili eti kufanya mazoezi kwa kjifichaficha Karibuni sana Mo arena kuanzia kesho jumatatu tunarudi pale baada ya jana kuendeleza uteja kwa utopolo fc Hata mkirekodi kwenye simu au kuja na...
  10. Leo Taikon yupo kwenye sherehe za makambi, Mtaa wa Manzese, Karibuni.

    Sabato Njema! Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi Kwa mwaka huu 2022 katika mtaa wa Manzese. Maandalizi yaliyofanyika ni makubwa Mno. Mwitikio wa watu hi mkubwa Sana, Nina wasiwasi eneo linaweza kuwa dogo Kama ongezeko la watu litaendelea hivi! Kwaya kubwa zinazoimba vizuri...
  11. Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  12. M

    Karibuni tupeane 'Maujanja' ya kujua jinsi Wanawake (Wapenzi Wetu ) Wanavyoturoga sana Wanaume

    1. Ukiona Siku yoyote unasifia mno Chakula na Mpenzi au Mkeo jua ameshakuroga. 2. Ukiona mkiwa Mapenzini halafu umemaliza Kupiga Mshindo Milionea ( yaani Umemkojolea ) na haraka sana anawahi kutaka Kukufuta tena kwa Kitambaa chake jua unaenda Kurogwa vibaya sana. 3. Ukiona Mpenzi/ Mkeo...
  13. Karibuni kwa Majawabu kwa Mwenye Kujua.

    Ila for My opinion is that the answer to this question depends on the culture of those questioned. . If U have a culture where one man can marry up to 7 wives then u have a total of 49 (parents) and 49 children! . Au nasema uongo jamani, With a light touch
  14. Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya Wabunge 19 kutimuliwa chamani, ahadi yao ya kupewa ulaji mkubwa na heshima kubwa ipo wazi ni suala la muda tu. Ni wazi Halima Mdee ni kiongozi wa kundi la wanawake walioamua kujipeleka Mjengoni pasipo ridhaa ya chama wala baraka za viongozi wakuu. Ni wazi pia...
  15. M

    Tanzania Daima mitaani kwa kishindo. Lema na Lissu kuwasili nchini hivi karibuni.

  16. Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road. Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali. Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza...
  17. Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni. Kipaumbele itakuwa kupambania Katiba mpya na mikutano ya siasa ya hadhara.

    Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
  18. Marafiki wa January Makamba na Wadau Neutral kimitizamo karibuni

    Hello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kabisa, nchi hii ina umpumbavu mwingi, makosa ya wazi kabisa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri. Mfano, hii ishu ya tozo January...
  19. Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

    Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako? i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu. ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
  20. J

    Mchengerwa aelezea Ligi ya Vipaji ya Samia ambayo itafanyika Mtaa kwa Mtaa, Kijiji kwa Kijiji, Nchi Nzima

    SAMIA CUP SAKA VIPAJI MTAANI KWAKO Tarehe 24/3/2022, DODOMA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Mchengerwa, akiwa anazungumza katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ameelezea dhamira yake ya kuleta mageuzi makubwa katika Tasnia za Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…