Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ametunuku vyeti vya usajili kwa wathamini 38 katika Mahafali ya Tano ya Bodi ya Usajili wa Wathamini yaliyofanyika tarehe 22 Oktoba 2026, katika Ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Akizungumza katika hafla...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Msumbiji (Joint Permanent Commission for Defence and Security – JPCDS)...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Kanali Donald Wilson Msengi.
Mara baada ya kuwasili, Mhe. Mmuya amepokea taarifa...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kufanya kazi kwa kujitoa na weledi ili kutoa huduma bora na za haraka kwa wananchi.
Mheshimiwa Mmuya ametoa wito huo leo, Juni 18, 2026, alipotembelea banda la Wizara ya Ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.